msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nyoka wananimalizia mayai ya kuku wangu

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ninafuga kuku wa kienyeji hapa shambani kwangu. Kwa kweli kuku wanastawi vizuri na nilishaanza kufurahia matunda ya jasho langu, lakini ghafla nilianza kuona mayai yakipungua wakati kuku wanataga kila siku. Niliamini pasipo na shaka itakuwa nyoka...
  2. Kendrick Rama

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayefahamu bei ya Toyota Alphard

    anayejua bei ya hii gari Toyota Alphard naomba anisaidie please! naimani humu JF ni sehemu ya kupata jibu sahihi kuliko huko mtaani
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapokea msaada kutoka Sweden ili kuboresha sekta ya elimu

    Serikali ya Tanzania imetiliana saini mikataba miwili ya msaada na serikali ya Sweden kwa kupatiwa fedha kiasi cha dola milioni 90 sawa na shilingi Bilioni 240.95 kutoka mfuko wa ushirikiano wa Elimu Duniani GPE. Akizungumzia msaada huo jijini Dar es salaam Katibu Mkuu wizara ya fedha na...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayeyajua haya matunda

    Naomba msaada kwa yoyote anayeyafahamu matunda haya na upatikanaj wake Tanzania
  5. toto zuli

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanaoifahamu kozi ya Business Administration with Education

    Naombeni ushauri kuhusu hii kozi ya Business Administration with Education, kama nikisomea naweza fanya kazi za aina gani?
  6. al-bauly

    JamiiForums Tanzania Msaada wa orodha ya vituo vyote vilivyofanya mtihani wa CSEE kwa mikoa

    Habari zenu, Nilikuwa naomba orodha ya shule zilizofanya mitihani ya kidato cha 4 mwaka 2019 kwenye mpangilio wa mikoa.
  7. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kujua Chuo cha Afya cha private kizuri ngazi ya diploma

    Habar za humu ndan wakuu.Naomba msaada wa kujua chuo cha Afya cha private kizuri ngazi ya diploma (Clinical officer) kinachopatikana Dar es Salaam au Dodoma. Nikipata mawasiliano yao itapendeza zaidi. Shukrani!!
  8. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria: Je, jukumu la kumtunza/kumlisha mtu aliye Lumande ya Polisi ni nani?

    Je, jukumu la kumtunza/kumlisha mtu aliye rumande ya Polisi ni nani? Ni polisi, ndugu au walalamikaji? Ukiweka sheria na kifungu husika itapendeza zaidi. NB: Hapa namaanisha mtu aliye rumande miezi kadhaa na hajapelekwa mahakamani.
  9. senzoside

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kujua kuhusu kozi za afya

    Habari za wakati huu wanajanvi, Naombeni msaada wenu kwa mwenye uelewa juu ya jambo hili. Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne mwaka huu ana division four ya 26 CIVICS D, HISTORY F, GEOGRAPHY D, KISWAHILI C, ENGLISH C, BIOLOGY D, MATH F Je anaweza kusoma kozi gani ya afya? Ahsanteni
  10. Kapepo

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu

    Habari wakuu , natumai ni wazima was afya, naombeni msaada ya tatizo hili yapata mwaka na nusu sasa na tatizo la kuwashwa au kuchinyota nyia ya haja kubwa , ngozi ya mwili kuwasha , kusikia njaa kila mara na joint kuuma , nimeenda sana hospital kubwa na ndogo nimesafanya vipimo vingi sana kama ...
  11. Ndama dume

    JamiiForums Tanzania Msaada haraka kabla sijakata moto

    Nipo cafe shop hapa nimeagiza Juice natural mixer ya embe passion, Tende,Chungwa na Nanasi, sasa najiuliza sijatengeneza sumu kweli hapa. Tafadhali wataalamu wa afya njoon huku na wale wa chemistry
  12. Mzee Tola

    JamiiForums Tanzania Msaada wa aliyewahi kufanya written interview ya Relationship Officer

    Habari zenu wana jamvi, jamani naombeni kusaidiwa maswali yanayotoka kwenye mtihani wa written interview katika kada ya Relationship Officer tafadhali. Nawakaribisha wanajamii wenzangu tupeane uzoefu hapa kwenye hii thread karibuni sana.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Utunzaji wa nywele za asili

    Kwa wale ambao tuna nywele asilia a.k.a natural hair, tayari tunafahamu changamoto kadhaa tunazokumbana nazo. Kwa wale mnaofikiria kuanza kuwa na nywele asilia, karibuni sana tuendelee kujuzana namna ya kutunza nywele zetu kama tulivyopewa na Mungu Katika mada ya leo,nitakwenda kuzungumzia vitu...
  14. Complex

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni wapi ninapoweza kununua engine kamili ya 1HZ na iliyo katika hali nzuri?

    Habari zenu wadau. Kama kichwa cha habari kinavyoonyesha. Ni wapi naweza pata engine ya 1HZ iliyo katika ubora mzuri. Pamoja na swala hilo la ununuzi, pia ningependa kufahamu mambo yafuatayo juu ya hiyo engine. 1. Bei yake inaweza range kiasi gani? 2. Ni vitu gani vya kuzingatia katika...
  15. Nukta5

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kujua utumikaji wa mafuta kwenye Valve Matic Engine

    Huu ni mfumo mpya mbadala wa VVTi upo kwenye gari aina ya Allion 2009 na premio 2009. Mwenye gari aina hizo naomba ufafanuzi wa matumizi ya mafuta
  16. Aysenem

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kati ya boda boda mpya 1 na used mbili ipi ninunue

    Wakuu za mwaka mpya, Mwenzangu anataka kufanya biashara ya boda boda sasa ameniomba ushauri anunue used 2 au mpya moja na ana 1.8 M. Mimi nimemwambia anipe muda ili nimshauri vizuri, kwa kuwa mimi sijui chochote kuhusiana na biashara hii nikaona nije huku wakuu. Naomba pia kujuzwa utaratibu wa...
  17. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu bei ya windscreen anisaidie

    Jana ilikuwa siku mbaya kwangu baada ya mtoto wa jirani kufanya hii kazi hapo juu. Naomba clue kwa anaefahamu bei ya windscreen kwa sasa ni Tsh. ngapi maana tuko kwenye negotiation na mzazi wake kwa sasa ili kipengele cha “indemnity” kichukue nafasi yake.
  18. everlenk

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU BAKTERIA HUYU Habari wanajamvi!!! Naomba kujua tiba ya Helicobacter pylori( H-pylori) ni ipi? Na je huu ugonjwa unatibika ? Je wapo watu walioumwa wakapona? Nina ndugu yangu yapata sasa miezi 6 anateseka na huu ugonjwa, anatapika sana sana mpaka...
  19. Ninja assasin

    JamiiForums Tanzania Msaada: Internet ya Tigo haisomi kwenye Samsung S8

    Wakuu naomba msaada, laini ya Tigo haifungui data. Simu ni Samsung S8. Naomba wataalamu wa kucheza na setting mnisaidie.
  20. kagombe

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha pili

    Msaada mwenye matokeo ya kidato cha cha pili anisaidie.
Back
Top Bottom