Msaada: Njia rahisi na za haraka za kupunguza marafiki

Hannah

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
8,913
35,255
Hi.
Naombeni mnipe mbinu ya haraka na rahisi nitakayoitumia kupunguza marafiki nilio nao.
Nina marafiki wengi "mashosti" karibu kila mtaa wengine ni marafiki tangu shule ya msingi. Kwa sasa sijisikii kuwa na marafiki wengi namna hiyo lakini kila nikijaribu kuwakwepa wapo tuu.

Nimejaribu kuwa bize na mambo yangu lakini wananifuata hadi nyumbani kunijulia hali wakidhani naumwa. Natamani nikilala nikiamka nisiwe na marafiki wanaozidi watatu.

Naombeni mbinu.
 
You only realise that you need something when its gone.

Kuna watu wanatafuta kuwa na watu wanaowajali kwama wewe marafiki zako wanavyokujali lakini hawapati, ila wewe unataka kuwafukuza.

Waambie tu ukweli kuwa huwataki, simple
 
Utakuwa na personality nzuri ya kuwa Friendly na unatengeneza marafiki kwa haraka.Binafsi nafikiri hiyo ni baraka na huna sababu yoyote ya kukataa kuwa na marafiki unles wawe wanakuletea shida.

Kwa upande mwingine kama umeamua kuachana na marafiki itakulazima kubadili baadhi ya tabia zako including your personality ili kuweza kukwepa kutengeneza marafiki Pamoja na kuachana na hao ulionao sasa.

Kwamfano unaweza kuacha kupokea simu zamu au kukata mawasiliano taratibu,though huo ni mchakato,acha kujihusisha ktk mambo yao mf birthdays ,harusi,mitoko etc.

Punguza kuwashirikisha mambo yako,punguza story nyingi ukikutana nao.

Hayo ni baadhi tu ya Mambo.

Ngoja wengine watakushauri zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waambie umejiweka self isolation siku 14 baada ya hapo wapotezee usiwape mrejesho wowote mtaanza kusahauliana
 
1. Kila kitu wanachokifanya wewe kikosoe tuu. Yaani kosoa kila kitu.
2. Wakope hela halafu usilipe au wakopeshe hela.
3. Kama mnakutana kwenye pombe au clubs waambie umeokoka.
4. Waambie umepimwa coronavirus ukakutwa positive.
Namba 3 nimeshaifanya lakini haijazaa matunda. Ngoja nijaribu hizo zilizobaki.
 
You only realise that you need something when its gone.

Kuna watu wanatafuta kuwa na watu wanaowajali kwama wewe marafiki zako wanavyokujali lakini hawapati, ila wewe unataka kuwafukuza.

Waambie tu ukweli kuwa huwataki, simple
Sitaki kuwaambia ili siku nikiwa na jambo langu niwashirikishe. Ninachotaka ni ule ukaribu siutaki kwa sasa na pia sitaki tuwe maadui.
 
Utakuwa na personality nzuri ya kuwa Friendly na unatengeneza marafiki kwa haraka.Binafsi nafikiri hiyo ni baraka na huna sababu yoyote ya kukataa kuwa na marafiki unles wawe wanakuletea shida.

Kwa upande mwingine kama umeamua kuachana na marafiki itakulazima kubadili baadhi ya tabia zako including your personality ili kuweza kukwepa kutengeneza marafiki Pamoja na kuachana na hao ulionao sasa.

Kwamfano unaweza kuacha kupokea simu zamu au kukata mawasiliano taratibu,though huo ni mchakato,acha kujihusisha ktk mambo yao mf birthdays ,harusi,mitoko etc.

Punguza kuwashirikisha mambo yako,punguza story nyingi ukikutana nao.

Hayo ni baadhi tu ya Mambo.

Ngoja wengine watakushauri zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri.
 
Njia rahisi ni kutopokea simu zao Tu..
Wakija nyumbani waambie Una mgeni naomba uje baadae..

Wakisema upo nyumbani? Wajibu nipo lakini nna wageni ..
Wakiuliza why hupokei simu jibu ..nilikua bafuni nikasahau Ku call back

Wakikualika usiende ..Ila sema utaenda
Hii mbinu ni nzuri nitaitumia pia.
 
Back
Top Bottom