msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dunamist

    JamiiForums Tanzania Msaada: Alarm ya gari yangu inalia non stop (bila kuacha)

    Msaada wakuu Gari inapiga alarm kama kuna mlango uko wazi. Ila milango yote imefungwa. Nikiiwasha kwenye dash body inaonesha mlango uko wazi. Nikiwasha taa hiyo alama kwenye dashboard inatoka.
  2. Zephiline F Ezekiel

    JamiiForums Tanzania Naomba Mnisaidie Hili Neno, ni Matahira au Matahila?

    Msaada wenu uwe wa hakika maana ninataka kutumia neno hilo sehemu hivyo nimechanganywa sana na usahihi wake kwakuwa nakutana na sentensi zinazoyatumia yote kwa maana moja hivyo nikumbusheni wakuu
  3. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zanzibar: Salim Turky, Mwanasiasa Mkongwe na Mgombea Jimbo la Mpendae Zanzibar, afariki dunia

    Mwanasiasa mkongwe na mfanyabiashara maarufu Turk wa Zanzibar afariki dunia. === Mheshimiwa Salim Hassan Abdullah Turky, afariki dunia usiku huu akiwa hospitali ya Tasakhta global chanzo cha kifo chake inadaiwa kuwa aliugua ghafla. Swala ya maiti itafanyika leo Alasiri September 15 katika...
  4. Bubolwa Chura

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa siku nina access na internet almost masaa 4, nisaidie jinsi ya kutumia internet kuingiza kipato

    Wakuu Igweeeee! Kwa muda kama wa miezi miwili hivi niko sehemu nimejishikiza. Baada ya muda wa kazi naona nina muda mwingi ambao nina access na internet ambayo nahisi nikipata kitu constructive inaweza kunisaidia kuniingizia kipato. Ungekuwa wewe ungeitumiaje? Au fikiria hivi, umefungiwa ndani...
  5. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya kutoa Bilioni 70 kusaidia Mapambano Ya COVID19 -Tanzania

  6. Chris Mungoreme

    JamiiForums Tanzania Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya Kidato cha Sita 2020

    Mdogo wangu kapata 2 ya 11 (DDC) anataka kusoma medical,is it possible? ===== Habari wanaJF, Leo Baraza la mitihani la Tanzania NECTA limeyatoa matokeo ya kidato cha sita, kwa uzoefu wangu nimeona ni vyema tuanzishe uzi huu maalumu ili tushauriane, tueleweshane, tuambiane nini cha kufanya na...
  7. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huku Watanzania wakichekelea changamoto za SGR ya Kenya, TAZARA waliyopewa kama msaada miaka zaidi ya 40 haijawapa faida yoyote

    Imekua desturi kwa baadhi ya Watanzania kusubiria kama fisi kila tangazo hasi la SGR ya Kenya, huwapa muhemko fulani hivi wa kuja kupost humu kwa raha, huku wakisahau TAZARA waliyojengewa na Mchina kama msaada imetimiza miaka zaidi ya 40 bila kuwapa faida yoyote. -------------------------...
  8. 911sep11

    JamiiForums Tanzania Msaada. Naomba picha za viwanda vilivyojengwa nchi nzima

    Hapo ulipo ndio panaitwa nchi nzima kwahiyo piga picha kiwanda kilichojengwa awamu hii uweke hapa. Msaada wadau naomba kuona picha za hivyo viwanda. Na bidhaa zake na zinako safirishwa johnthebaptist Maendeleo hayana uvyama ndani yake.
  9. anjnr

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada namna ya kudownload vitu kwenye torrent sites

    Habari wakuu.. Naomba msaada wa hatua kwa hatua namna ya kudownload vitu mbalimbali kwenye torrent. nahitaji kuwa na vitu gani /au app gani kwenye pc na nini cha kufanya ili niweze kupakua vitu vya torrents. Natanguliza shukurani
  10. koba lee

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kutop up mkopo katika benki ya NBC ni baada ya muda gani na viambatanisho gani wanahitaji?

    Wakuu poleni na majukumu. Niende kwenye mada, nahitaji kufahamu kama ukitaka kutop up mkopo katika benki ya NBC ni baada ya muda gani na viambatanisho gani wanahitaji? Asanten!
  11. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka sana kuhusu namna ya kuomba kazi zilizotangazwa kwenye system

    Wana Jamii forums elimu heshima Naomba msaada, ninapoingia kwenye hii system ya kuomba hizi ajira, nimekutana na changamoto zifuatazo na nimeshindwa kufanya chochote, email already exist Mara account already exist nimeshindwa kufanya chochote nisaidie jamani mwaka Jana niliomba lakini...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Msaada hapa kwenye tv

    Nimenunua star x tv lakini nikiunga redio hailii bass, inalia speaker za pembeni tu, nimeangalia kwenye setting za tv nikakuta trebble na bass ziko blinked yaani hazioneshi kufanya kazi Mwenye anajua nafanyaje msaada tafadhali
  13. T

    JamiiForums Tanzania Jamani naombeni msaada wa haraka sijasubmit maombi yangu ya otes

    Jamani msaada nimefanya maombi ya ajira za ualimu mpaka nikafika kwenye kipengele cha submit siku submit lakini appliction inanambia iko completed sasa kwa mwenye uzoefu anisaidie mambi yangu yataondkana kwenye syste au laa au niwapigie simu. Pia naomba msaaada jinsi ya kujaza index no ya form...
  14. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Marekani: Polisi wamempiga risasi kijana mwenye umri wa miaka 13 aliyekuwa na matatizo ya akili

    Polisi katika mji wa Salt Lake City katika jimbo la magharibi mwa Marekani la Utah wamempiga risasi kijana mwenye umri wa miaka 13 aliyekuwa na matatizo ya akili baada ya mama yake kupiga simu polisi kuomba msaada. Hatua hiyo ya polisi imechochea ghadhabu kutokana na kuwa mwendelezo wa matukio...
  15. Ndikwega

    JamiiForums Tanzania Msaada: Home Theatre yangu spika ndogo mbili hazitoi sauti!

    Habarini wadau! Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ni kuwa nikazichanga kidogo nikatafuta mziki wangu uwe unanifariji kidogo ni Sony nz950 watt 1000. Ajabu ni kuwa siku naunganisha mziki uliimba speaker ndogo zote nne ndaefu, ila kuanzia nadhani kesho yake sauti zikakata mbili zikabaki...
  16. Slow learner

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya ku unlock simu

    Habari wakuu! Naomba kwa anayefahamu jinsi ya Ku unlock simu ya Nokia ya torch iliyosahaulika password anisaidie tafadhali Naomba kuwasilisha.
  17. Kulupango

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye uelewa na sauti ya huyu ndege naomba anijuze ni sauti ya ndege gani hii

    Ndege huyu hulia usiku tu mbele ya nyumba nayoishi, haswa usiku wa manane kama huu. Nimejiaribu kutoka nje kumuangalia lakini simuoni zaidi ya kuona macho yake yanang'aa nikimmulika mwanga wa tochi usawa wa sauti inakotokea. Macho yake yanakuwa mfano wa picha hiyo nikimmulika
  18. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu waungwana wa Jamii Forums

    Heshima yenu wakuu: Mimi ni kijana wa kiume mkazi wa Dar es salaam na katika harakati za kielemu nimefanikiwa kuhitimu kidato cha sita. Pia kupitia marafiki nimefanikiwa kuwa na ujuzi wa kutumia Computer na applications zake mbalimbali ikiwemo namna ya ku install hizo apps na kuzitumia na kwa...
  19. okiwira

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mume wangu asipokunywa pombe, akimaliza kukojoa lazima matone madogo ya damu yatoke

    Ni baba wa watoto 3 tangu ameoa amechepuka mara 4. Kwa sasa ametulia kama miaka 2 bila kuchepuka. Ila kuna tatizo ameliona yeye ni mnywaji wa konyagi na bingwa. Akinywa pombe hizo halioni tatizo hilo ila asipokunywa analiona. Shida ni nini hasa? Asipokunywa siku tatu na kuendelea kila...
  20. Snowden E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Je, Kuna uwezekano wa kupata 3G au H+ kwa njia mbadala?

    Kwa anejua tu, Nipo kijijini sana (chaka nasaka pesa shambani), mitandao ya simu inayopatikana ni Vodacom na Halotel. Network kwa ajili ya Voice call na SMS hazisumbui kabisa ila shida ipo kwenye internet tu. Network speed ni Edge tu (E) kwa mitandao ya Vodacom na Halotel. Naomba kujuzwa kama...
Back
Top Bottom