msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kisima changu kimejaa chura

    Wana JF ninapoishi mimi sina access na maji ya bomba ambayo unalipia bili kwahiyo nimeamua kuchimba kisima na maji nimepata tatizo vyura wamegeuza ndio makazi yao wapo wengi hadi kero, sasa kuna madhara yoyote kutumia maji ambayo vyura wanaishi humo? Natumia kuoga, kufulia na kuoshea vyombo...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli flyovers na ndege zetu hazina msaada wowote kwa mwananchi anayeishi Nanyamba au Kyabakari?

    Salamu kwenu, Kumekuwa na kelele nyingi kuwa ndege zetu hazina maana yoyote kwa mwananchi wa kawaida. Watu wanaenda mbali zaidi kuhoji ikiwa flyovers za Dar es Salaam zina umuhimu wowote kwa watanzania waishio vijijini, mikoani huko. Ukiangalia hizi hoja, unapata picha mbili. Ya kwanza ni kuwa...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa kusoma mita za maji

    Ndugu wanaJF, Ninaomba mwenye ujuzi wa kusoma mita za maji anijuze. Yangu imeandika 13 mita za ujazo! Hivi gharama kwa mita moja ya ujazo ni shilingi ngapi? NINAOMBA MSAADA WENU WADAU
  4. Mtini

    JamiiForums Tanzania Msaada, wapi nitapata vifungashio vya mifuko ya plastic vitakavyokuwa na lebo yangu

    Habari wadau, natambua kuwa mifuko ya plastic imepigwa marufuku kisheria ila ya kutumia kwaajili ya vifungashio imeruhusiwa. Naomba msaada wa kujua kiwanda kinachoprint mifuko ya plastic hasa kwa sisi wajasiriamali wadogo. Natanguliuza shukrani kwa michango yenu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Popo wamehamia kwenye nyumba yangu

    Nimejenga kijijini kwangu, kuna vichaka vimenizunguka ambako ni makazi ya ndege na baadhi ya wanyama,wakiwemo popo. Tatizo ni kwamba popo wengi wanaishi juu ya dari ya nyumba. Usiku ni makelele,wanachafua dari kwa vinyesi na mikojo. Nilijaribu kumpandisha kijana darini mchana akiwa amefunga...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kujua maandishi haya yana maana gani

    Habari wakuu, Huu uzi nilitaka kuuweka kwenye jukwaa la sayansi na teknolojia lakini nimeona huenda kuna watu ambao hawatembelei kule na wanaweza wakawa na msaada. Kwa kweli ni kama muujiza tu. Mimi nina kawaida ya kutembea na note book au karatasi na kalamu muda wote ili nikiwa na chochote...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ninahisi nimebugi, nataka tuandikishiane nimpe milioni 5 ya msingi. Anipe mwanangu atakapofikisha umri

    Habari za asubuhi, wanajamiiforums. Niko hapa kuomba msaada kwa haya yanayonisibu. Mimi ni kijana wa umri wa miaka30 kamili. Ni mwajiriwa serikalini. Niko hapa kuwataka msaada wa kimawazo kwa hali ninayopitia ambapo naona kama kuna kitu hakiko sawa kwangu. Niliwahi kuishi kwenye ndoa kwa...
  8. excel

    JamiiForums Tanzania Nina Shahada ya Logistics and Transport Management, natafuta kazi

    Habari JF, Mimi ni kijana mwenye elimu ya Shahada ya Logistics and Transport Management Nimependa kuja mbele zenu kuomba connection ya kazi katika Field za logistics and Transport management. Naweza kufanya kazi katika field za: - Warehousing and Stores Administration - Inventory...
  9. mama D

    JamiiForums Tanzania Wenye ujuzi au ushauri kuhusu kurekebisha paa lililoezekwa vibaya naomba msaada

    Habari ya Jumapili wapendwa Naomba ushauri kama kuna wajuzi wa kurekebisha paa la nyumba iliyopauliwa vibaya na kupelekea baadhi ya maeneo kuvuja. Nawakilisha🙏
  10. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Msaada Muongozo wa namna ya kununua ardhi ambayo tayari ipo kwenye process ya kupimwa

    Wataalamu naomba msaada wenu, kuna Ardhi nataka kununua, muuzaji tayari alishalipia kwaajili ya upimaji na usajili lakini wapimaji bado hawajafika kwa ajili ya upimaji, je ni namna gani bora ya kuweza kununua kiwanja hiki ili kuepuka migogoro ya umiliki ambayo inaweza kuja kujitokeza baadae?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: NACTE watafungua lini maombi ya kujiunga na vyuo vya kati ukiacha vya Afya?

    Mpaka sasa maombi ya vyuo yaliyofunguliwa ni kwa vyo vya afya. Je, vyuo vingine apart from Afya maombi yanafunguliwa lini? Mwenye taarifa anijuze. NACTE tunaomba majibu!
  12. Superleta

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeibiwa simu

    Nimeibiwa simu hapa nahisi kuchanganyikiwa, natmia kisim kizito kuandika hapa inaskrach balaa nisameheni kwa mwandiko,nahisi nimechanganyikiwa nifanyeje niiipate tena simu yangu? Nimeibiwa simu wakati ambao nimefulia maana cm yng ndo ilikua km jembe kwangu ndo ilikua inanilisha na kuniweka...
  13. KITAULO

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa nzuri ya mafua/kikohozi kwa mama mjamzito

    wadau, Ninaomba ushauri wa dawa nzuri za mafua au kikohozi kwa mama mjamzito wa mimba ya week 37-38. Dalili ni; kikohozi kikavu kubanwa na kifua pua kuziba natanguliza shukrani zangu. regards.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu juu ya hili swali

    Naweza kusoma course ya Clinical kama nina hiz credit C-BIOLOGY C-CHEMISTRY D-MATH C-ENGLISH D-PHYSIC Naomba ushauri wenu kabla ya Deadline
  15. S

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali wa hili la ardhi

    Nina kipande cha ardhi. Ni unsurveyed nilinunua kwa mtu. Nikaenda kucheki status yake ardhi, nikakuta humo kuna ramani za open space, Msikiti, Kanisa, Soko etc. eti sehemu hizo zimeshakuwa marked for those activities. Mwenye eneo anasema hajawahi kupimiwa na hajui nani alifanya hayo. Nataka...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kati ya Bachelor Degree ya Air transportation and management operation na bachelor degree ya Air Craft and Maintanance Engineering

    Habari wakuu? Kati ya kozi ya Bachelor degree ya Air transportation and management operation na bachelor degree ya Air Craft and maintanance Engineering Hizo kozi naombeni ushauri zinatolewa bila shaka NIT, ni ipi kozi nzuri na isioumiza kichwa!
  17. S

    JamiiForums Tanzania Msaada, Kufungua Accounts NETTELER, SKRILL na PAYPAL

    Wakuu kwema? Nina mpango wa kufungua akaunti kwenye kampuni tajwa hapo juu. Lengo ni kuweza kubet makampuni ya kubet ya nje. Nina sababu fulani muhimu za kuchagua makampuni hayo ya kubet. Kuna anaejua jinsi ya kusajili, funds transfer charges na chochote cha muhimu kujua juu ya haya makampuni...
  18. Sukari Yenu

    JamiiForums Tanzania Msaada, nahitaji tiba ya meno

    Wakuu habari za weekend, Shida yangu kubwa ni meno yangu mawili ya mbele, meno ya tabasamu. Meno haya yameinuka kidogo kiasi ambacho yamezidi ule usawa wa meno ya chini. Yametengeza kitu kinachoitwa overbite. Jino moja la upande wa kulia limeanza kuinuka kabisa linatoka nje ya mstari. Kwa...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kama umewahi kutana na changamoto hii

    Kuna tatizo linanisumbua ni week ya tatu sasa. Nmesafiri kikazi nipo sehemu ya mbali kidogo. Nlifanikiwa kusafiri na secretary ambaye tuna mahusiano ya kimapenzi. Huku tuliko tunatakiwa kukaa miezi 4 kuna training inafanyika nje ya nchi.huyu dada tulikubaliana ili kubana matumizi tu share room...
  20. Tanki

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu hii simu ina mapepo au?

    Wakuu habari za muda huu. ninan shida hapa kwenye hiisimu yangu ambayo ni tecno W3. Hii simu sasa hivi nikiiweka tu betri inajiwasha yenyewe kabla hata sijaiwasha. Na ikijiwasha inaandika tu neno tecno arafu inaganda hivyo hivyo baada sekunde kama kumi hivi inajizima na kujiwasha tena...
Back
Top Bottom