Msaada tafadhali: Popo wamehamia kwenye nyumba yangu

bato

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
3,834
3,270
Nimejenga kijijini kwangu, kuna vichaka vimenizunguka ambako ni makazi ya ndege na baadhi ya wanyama,wakiwemo popo.

Tatizo ni kwamba popo wengi wanaishi juu ya dari ya nyumba. Usiku ni makelele,wanachafua dari kwa vinyesi na mikojo.

Nilijaribu kumpandisha kijana darini mchana akiwa amefunga tochi kichwani,walimpiga balaa.

Naomba msaada wa namna ya kuwaondoa hawa wanyama.
 

Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom