msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye software ya VLC Media

    Wandugu mwene software ya VLC Media anisaidie kama anayo hapa nimejaribu kudownload kwa simu kisha kuicopy kweny PC inakataa. Kama kuna mwenye nayo aiweke hapa tafadhali..
  2. Quinton Canosa

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Activation Key ya Microsoft 2016

    Habari zenu wakuu, Niko hapa kuomba msaada wa ACTIVATION KEY ya MICROSOFT OFFICE 2016 Hadi sasa Activation Keys nilizojaribu zinakataa kufanya kazi
  3. cantona55

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta dawa ya kondoa maumivu mwili mzima

    .
  4. R

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupata Chrome Cache File

    Habari wakuu, Naomba msaada kujua jinsi ninavyoweza kupata file lenye orodha ya cache zote za browser ya chrome tangu nilipoanza kutumia hii browser. Nimejaribu about//:cache lakini inaonekana function hii iliondolewa. Kuna njia nyingine au third-party software ya bure? Na pili je kama...
  5. albab

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa kuelekezwa mambo haya kuhusu UDEMY

    Hodi wanajamvi, Naomba tujuzane huu mtandao wa UDEMY ambapo unaweza kusoma masomo mbalimbali kwa malipo kidogo. Kutokana na ushamba wangu kuna jamaa angu akaniambia kupitia mtandao huu unaweza kusoma chochote na cheti ukapewa. Basi nami nikaona isiwe shida nkazama ndani.. humo nikakutana na...
  6. Ulongupanjala

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Bendera ya Taifa kwenye makazi binafsi

    Happy Saba saba day! Niende kwenye mada,Watanzania tuna bendera yetu ya taifa,na nimeona watanzania wengi wakiweka bendera za taifa kwenye magari yao,makanisa yao,ofisi zao nk na wengine kupewa bendera wanapoenda nje ya nchi hasa wasanii. Nauliza je ninaweza kuweka mlingoti wenye bendera ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania National College of Tourism Arusha na Institute of Rural Development Planning - Dodoma

    Wapendwa, naomba kusaidiwa. 1. Chuo cha Mafunzo ya Utalii yanakupa ujuzi gani-expertise? Na baada ya kumaliza kazi za mhitimu (in case ameajiriwa) ni zipi? Day to day activities. Mafunzo yanajumuisha acquired skills zipi. 2. Chuo cha Rural Development Planning - DODOMA (Chuo cha Mipango)...
  8. MKONGORO

    JamiiForums Tanzania Msaada Nyimbo za kwaya HURU waimbaji wa sifa

    Wakuu habari za mida hii! Wakuu naombeni Msaada kwa mwenye nyimbo za kwaya ya Huru waimbaji wa sifa, Anisaidie kunitumia WhatsApp nimejaribu kutafuta Google,Youtube na kwenye vibanda wanakoingiza nyimbo kwenye simu, Lakini sikufanikiwa Ingawa ni kwaya ya zamani lakini naamini humu JF ni...
  9. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Msaada: kipini chekundu ninachokiona mbele ya baadhi ya Threads huwa kina maana gani?

    Wapendwa Wakuu habari za mida hii, Shida yangu ni hiyo kuna baadhi ya thread ukiwa unapita unakiona kipo mbele ya threads. Sijajua kina maana gani au ndo ban hiyo,
  10. Whitney Houston

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ufafanuzi kuhusu koz ya International Relations and Diplomacy

    Wanajamvi, Poleni na majukumu. Naomba ufafanuzi kuhusu hii course ya International Relation and Diplomacy. Watu wanaosomea hii course huwa wanakuja kufanya kazi gani na wanafanya kazi wapi? Upatikanaji wa ajira zake ukoje? Kwenye uandishi kama kuna sehemu nimekosea mnielekeze sababu sijawahi...
  11. roselina john

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Mawazo kwa wenye uzoefu wa kununua na kuuza mchele wa Jumla nataka nijiajiri mtoto wa kike

    Habari ndugu zangu, Ninawasalimu kwa jina lake bwana wetu Nimejaliwa kukusanya shilling 5M kutokana na nilivyokuwa najikusanya kwenye kimshahara changu kwa mwaka sasa, Naona maisha ya kuajiriwa siyo, Nikaamua niwaze kuanza uuzaji wa mchele kutoka mbeya au Ifakara, Nataka niende Jumamosi...
  12. srinavas

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, ni kwa namna gani YouTube humlipa mmiliki wa account?

    MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU MADA HII Habari ndugu zangi , Kama kichwa kinavyouliza hapo , ningependa kujua ni kwa namna gani kupata subscribers wengi na viewers wengi kwenye you tube , kunaweza kukunufaisha mmiliki... Tafadhali kama kuna mwenye majibu , ushuhuda, uzoefu au elimu yoyote...
  13. Fredwash

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane kuhusu Mbunge, kuvunjwa kwa Bunge na Baraza la Mawaziri

    Naomba Kujuzwa yafuatayo Rais anapofungwa Bunge, je Bunge ndio linakuwa limevunjwa rasmi kwa maana ya Ubunge wa Mbunge unakoma? ( kwa maana ninavyofahamu pamoja na mtu kushinda/kuteuliwa kuwa mbunge ubunge wange unaanza rasmi pale alipokasimiwa/apishwa rasmi Bungeni). 2. Kama Bunge...
  14. kokudo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kusaidiwa jina la biashara

    Wakuu habari, Naomba kusaidiwa jina la biashara. Naomba liwe fupi lakini lenye kuakisi ninachokifanya. Biashara ninayotaka kufanya ni Agent wa kuwa naagiza mizigo kutoka Nje. Naomba kuwasilisha.
  15. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Msaada: jinsi ya kutoa links kutoka vyanzo mbalimbali vya habari na kuleta jamiiforums

    Matumaini wazima wa afya, Twende moja kwa moja mimi shida yangu ni kutaka kujua au kupewa maujuzi kwamba naweza kuona huko habari chanzo chochote cha habari!? Lakini wenyewe nao wana links yao ili uingie usome habari kwa usahihi kamili! Sasa lengo langu ni kwamba nawezaje kuchukua ile links...
  16. WilsonKaisary

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kuitafsiri na kuisoma Katiba

    Kuomba msaada wa kujua Jambo naamini si ujinga. Kwenye katiba kuna kitu kinaitwa ibara na sheria ndogo za mwaka Fulani. 1: Ibara Ni Nini? Na ibara za katiba zinapatikana wapi? >>Ibara ndogo Ni Nini na zinapatikana wapi? 2: Sheria ndogo Ni zipi na zinapatikana wapi? Na kwenye katiba, unakuta...
  17. mheshimiwamtemi

    JamiiForums Tanzania Jinamizi ni nini? Naomba msaada wenu

    Asalaam Nimekuza najiuliza Jinamizi ni nini hasa? He ni Jini? Mizimu? Pepo au mashetani? Nyakati za usiku hasa usiku wa manane inatokea upo kwenye ndoto ambayo huwezi kupumua wala kuongea lakini unasikia kila kitu. Mbaya zaidi unakua unatamani hata mtu akuguse ili uzinduke. Kifupi ni kama...
  18. Slow learner

    JamiiForums Tanzania Msaada Tafadhali: kwa yeyote anayeweza kunisaida kwa hili

    Habari zenu wakuu. Nimezingatia kauli ya wahenga isemayo "mficha maradhi mauti umuumbua", binafsi nahitaji msaada wa kimawazo kutoka kwenu wataalamu. Umri wangu ni mdogo tu,lakini nimekuwa nikifanya shughuli mbalimbali za utafutaji,nimekuwa nikijiwekea malengo fulani kutokana na shughuli...
  19. VPN USED2020OCTOBER28

    JamiiForums Tanzania Nawezaje zipata namba za simu nilizohifadhi (save) kwenye yahoo? msaada please

    nilihifadhi namba za jamaa na ndugu kwenye option ya save via yahoo!! sasa simu niliibiwa, nowa nipo kwenye account yangu ya yahoo... nimetafuta option ya kuona namba nilizokuwa nasave kwa yahoo sijafanikiwa, please msaada
  20. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Thamani ya US Dollar kwenye hela ya Kitanzania Tsh ni ipi kwa sasa?

    Habari za mida hii Wakuu hope mko vema na jumapili inaenda vizuri, Okey twende kwenye Mada kidogo Kuna kitu wengine hatujui kama mimi ukiniambia maswala ya Dollars najua ni hela ya kimarekani ila sasa shida inakuja hapa. Mfano mtu anakwambia Dollar $2 hapo sijui kwa hela yetu ya Tanzanian...
Back
Top Bottom