Naomba msaada wa tatizo la maumivu makali ya mkono

keshaulo

Member
Jan 7, 2020
86
69
Natumai wazima humu ndani,

Naomba ushauri, mama ana maumivu makali hasa usiku ya mkono mmoja wa kulia mpaka begani.

Tulienda hospitali kupiga xray hakuna tatizo, tulipewa dawa za kuchuwa tu, ila naona hali haibadiliki, tumuone mtaalam wa nini?
 
Mpeleke kwenye maombi.

Ukiweza mtafute mwalimu Grace Elirehema, ni mwalimu wa neno la Mungu amwombee.
 
Back
Top Bottom