Naomba Msaada wa Ushauri wenu kuhusu matokeo haya

Mwzllaaaah

New Member
Aug 21, 2020
2
0
Kama Ambavyo kichwa Cha habari hapo juu,

Nimehitimu kidato Cha sita mwake huu(2020).

Nilisoma PCB na nimepata DDD Nina two ya 12, Je naweza kupata bachelor ya Medical Laboratory pale MUHIMBILI???
 
Kama Ambavyo kichwa Cha habari hapo juu
Nimehitimu kidato Cha sita mwake huu(2020)
Nilisoma PCB na nimepata DDD Nina two ya 12, Je naweza kupata bachelor ya Medical Laboratory pale MUHIMBILI???

Ndugu nikupongeza kwa matokeo hayo 👏👏👏

Lakini MUHAS usiguse.... wanahitaji one ten zile Kali si unajua tena ni chuo Cha hadhi yake unaweza ukajilaumu baadye kukosa nafasi maana ushindani ni mkubwa Sana....

Tafuta vyuo vingine. Alafu hiyo medical laboratory wanahitaji walau C ya Chemistry so kuwa makini mzee......
 
Kama Ambavyo kichwa Cha habari hapo juu
Nimehitimu kidato Cha sita mwake huu(2020)
Nilisoma PCB na nimepata DDD Nina two ya 12, Je naweza kupata bachelor ya Medical Laboratory pale MUHIMBILI???
Kwenye Vigezo ni kama unapwaya..

Unafiti ni MD peke yake. Ila competition inaweza ikakusort out.
 
Changamoto ya combination ya PCB ni kubwa sana kutokana na ifinyu wa vyuo na kozi wanazosoma wanafunzi wa PCB tofauti na ilivyo kwa PCM, Nakushauri utafute kozi za Kihandisi mfano Biomedical au computer au nenda DIT kasome Laboratory technology
 
Back
Top Bottom