Wataalamu naomba msaada wenu haraka

Mockingbird

JF-Expert Member
Jan 11, 2018
434
1,042
Nina PC HP ina tatizo la kioo pia window yake inasumbua

1) Naweza kutoa HDD (nishaitoa) nikaweka kwenye Pc nyingine halafu nikInstall window kwenye hiyo HDD, baadae nikairudisha kwenye hiyo PC Window ikafanya kazi? if yes, How?

2) Nawezaje kutumia window iliyopo kwenye exteranal bila kuathiri ile iliyopo kwenye internal?
 
1. Unaweza install vizuri tu na ikafanya kazi. Weka kwenye pc nyingine, install. Hakikisha kua hyo PC uliyotumia kuinstall windows unajua ni mode gani inatumia {BIOS(legacy) or UEFI} kupitia BIOS na HP yako iwe kwenye hyo mode pia. Ukihamisha hard disk itafanya kazi vizuri tu

2. Kutumia windows iliyopo kwenye external unatakiwa wakat unawasha PC ubonyeze Boot options key (F9 for HP, F12 kwa PC nyingi) alaf unaselect hyo external yako kwenye list itakayokuja
 
1. Issue itakuwa kwenye compatibility ya drivers na activation lakini kama una ujuzi wa IT INAWEZEKANA.
 
Akiweka kwny PC nyingine windows 10 yenyew itatumia driver specific kwa laptop yake na haitotumia zile zilizokua mwanzo. Lakini atapoteza driver ya graphics ambayo kma lengo lake ni kutumia hyo PC yake iliyovunjika kioona external monitor inaweza ikagoma. So ni vyema aka download driver ya graphics kutoka website ya HP na akainstall kabisa ile package kabla haja hamisha HDD.

Activation atapoteza ila ndo hvo kma ana ujuzi wa IT hatoshindwa.
Kma hana ujuzi wa IT hata kuinstall hyo windows kwenye mashine nyingine na kuhamisha na ikafanya kazi itakua ni issue aisee.
 
1. Unaweza install vizuri tu na ikafanya kazi. Weka kwenye pc nyingine, install. Hakikisha kua hyo PC uliyotumia kuinstall windows unajua ni mode gani inatumia {BIOS(legacy) or UEFI} kupitia BIOS na HP yako iwe kwenye hyo mode pia. Ukihamisha hard disk itafanya kazi vizuri tu

2. Kutumia windows iliyopo kwenye external unatakiwa wakat unawasha PC ubonyeze Boot options key (F9 for HP, F12 kwa PC nyingi) alaf unaselect hyo external yako kwenye list itakayokuja
je naweza badirisha hdd ya pc nikaweka hii niliyotoa yenye os mbovu na ikawaka ili nijue tatizo ni nini kwenye os???
vitu gani vya kuzingatia???????
 
Back
Top Bottom