Nina Shahada ya Logistics and Transport Management, natafuta kazi

SilentStreet

Member
Jun 16, 2020
89
125
Habari JF,

Mimi ni kijana mwenye elimu ya Shahada ya Logistics and Transport Management

Nimependa kuja mbele zenu kuomba connection ya kazi katika Field za logistics and Transport management.

Naweza kufanya kazi katika field za:

- Warehousing and Stores Administration
- Inventory Administration
- Transport administration, na nyinginezo ambazo ni relevant to my field.

HUU NI MWAKA WANGU WA NNE BILA KAZI WAKUU

Napatikana DAR ES SALAAM

Mawasiliano: 0759330110

Naomba sana tuwasiliane kwa simu maana sina kifaa maalum cha internet
 

SilentStreet

Member
Jun 16, 2020
89
125
Naomba mnisaidie wakubwa zangu

Unaweza pia kunisaidia kusambaza ujumbe katika makundi ya whatsapp, telegram na kwingine.

Nina uhitaji sana.
 

Ollachuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
12,031
2,000
Mkuu unapoteza miaka minne kutafuta na bado natafuta tu?

Acha izo mambo tafuta kitu cha kufanya eka elimu pembeni izo mambo hazina ajira kwa sasa..
 

Ollachuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
12,031
2,000
Wewe ulishapata sehemu ya kufanya kazi tayari? Kuna uzi nimeona unatafta kazi umesomea procurement?
Sijapata na ndo maana naona ni ujinga kuendelea ksubiri kitu ambacho hujui atapata lini. Ni bora kuzama mtaa kujichanganya ..tafuta wenzako watatu au wanne hamkosi cha kufanya kama mukiwa serious.

Thank me later
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom