Wana JF ninapoishi mimi sina access na maji ya bomba ambayo unalipia bili kwahiyo nimeamua kuchimba kisima na maji nimepata tatizo vyura wamegeuza ndio makazi yao wapo wengi hadi kero, sasa kuna madhara yoyote kutumia maji ambayo vyura wanaishi humo?
Natumia kuoga, kufulia na kuoshea vyombo, sipikii wala sinywi ingawa natamani kuanza kupikia.
Natumia kuoga, kufulia na kuoshea vyombo, sipikii wala sinywi ingawa natamani kuanza kupikia.