mpya

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu mpya Mkoa wa Dar es Salaam ni mfano mzuri wa kuigwa kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya

    Nimefarijika sana pale nilipomsikia mkuu mpya wa mkoa wa Dar es Salaam alipokuwa anajitambulisha na kuongea na wazee wa mkoa. Huyu mteule anaonekana kutokana na maneno yake kuwa ni mtu wa busara na mwenye maono ya uongozi; amegundua kuwa wazee ni hazina kubwa kwa kiongozi yeyote yule kwani...
  2. JamiiForums Tanzania Sitazami movie za kibongo ila natamani kuona hii movie mpya trailer yake imenivutia sijui kisa imechezea nje

    Hii ni trailer ya nothing else ya movie toka timamu, imenivutia natamani nione hii movie huenda wamefanya kitu kikubwa
  3. JamiiForums Tanzania Morrison huru kujiunga na Simba SC, kamati yasema mkataba wake na Yanga una mapungufu

    Baada ya vikao nenda rudi kwa siku takribani 3 hatimaye TFF wamejitokeza na kusema kuwa wamefikia uamuzi baada ya vikao vizito Mchezaji raia wa Ghana, Bernard Morrison amepewa uhuru wa kujiunga na Simba Sc baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kusema kuwa Mkataba wake na Yanga Sc...
  4. JamiiForums Tanzania Sheria mpya za TCRA : Vipindi vya mapenzi kama Ala za Roho na Chombeza Time kuanza saa 6 usiku

    Kumbe sasa vinatakiwa kuanza saa 6 usiku badala ya saa 4 usiku , labda uchumi wa kati umesababisha watoto kuchelewa kulala .
  5. JamiiForums Tanzania Malawi president working to trim presidential powers

    Malawi's new President Lazarus Chakwera says he is working on proposing legislation aimed at trimming his presidential powers in an effort to empower the citizens. In his national address Saturday, Chakwera said having a president who makes too many decisions has created problems in Malawi and...
  6. JamiiForums Tanzania Ifanye gari yako ionekane mpya kwa kushonea roof, seat cover, dashboard n.k. check attachment hapo chini

    Habari wakuu.! Kama kichwa cha habari kinavyosema, tunashonea seat za magari zilizoharibika, dashboard zilizoharibika, roof za magari aina zote, kwenye milango ya magari. Tunapatikana salasala-Mbezi beach. Unaweza ukatucheki what's up au kutupigia moja kwa moja. 0679478758
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya teuzi mbalimbali akiwemo DC mpya wa Ilala

    Rais Magufuli amemteua DED wa manispaa ya Kigamboni kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala. Kadhalika afisa elimu wa manispaa hiyo ameteuliwa kuu DED kule Mpimbwe mkoani Katavi. 2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
  8. L

    JamiiForums Tanzania Afrika haipaswi kuwa uwanja wa mapambano ya Vita Mpya Baridi

    Wakati mvutano kati ya China ukiendelea kutokea, bara la Afrika linatajwa kuwa uwanja mpya unaotumiwa na Marekani kuishambulia China. Marekani imekuwa ikishambulia nakukosoa ushirikiano kati ya China na Afrika, na kujaribu kutumia fursa mbalimbali kuupaka matope ushirikiano kati ya China na...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali na BASATA upigeni marufuku upesi wimbo mpya wa Msaga Sumu kwani una Matusi matupu na si wa kimaadili pia

    Maneno yake ya Ubeti wa Kwanza kutoka Kwake Msaga Sumu. " Nina hamu ya Nyumba ya Kupanga " Kisha Mwanamke aliyemshirikisha anamjbu Msaga Sumu. " Nyumba yangu ina Vyumba viwili tu je, unataka vyote au nikupe Kimoja tu? " Msaga Sumu anaendelea. " Nataka Kimoja tu ila kama kina Vumbi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kaulimbiu mpya ya CHADEMA ni "Sasa Basi"

    "SASA BASI" ndio kaulimbiu mpya ya CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 Tumeonewa sana, Tumenyanyaswa sana SASA BASI. Ngoja tuone. Inaonyesha dalili za kukata tamaa. Maendeleo hayana vyama!
  11. JamiiForums Tanzania Sare mpya ya CHADEMA yatikisa nchi, wananchi waisaka kila kona bila mafanikio

    Katika Vikao vya CHADEMA vinavyoendelea kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, dunia nzima inaangalia nani atapeperusha bendera ya chama hicho katika kuikomboa Tanzania, kuna taarifa kwamba zaidi ya watu bilion 1 duniani wanafuatilia mkutano huo . Lakini sisi wengine...
  12. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msiende Uchaguzi Mkuu kudai katiba mpya, kudai Tume Huru nendeni na ajenda za kutatua shida za watu

    Nimewasikiliza chadema katika mchakato wao wa kupata mgombea wa uraisi. Frankly speaking mna very strong candidate tatizo lenu ni kutokujua audience. Mkijua audience mtajua mtajua ni mambo yafuatayo 1. Vyama vya siasa vina wajibu gani na changamoto gani 2. Serikali ina wajibu gani na...
  13. JamiiForums Tanzania Mashine ya bonanza maarufu kama dubuli inaharibu Sarafu za 200, BoT ingilieni kati

    Huu ndio muonekano wa sarafu za 200 baada ya kuzamishwa kwenye dubuli au bonanza mashine za kamari za kichina. Hii mashine inaharibu sarafu sana kiasi kwamba hazisomeki wala kuonekana vizuri. Mashine ya bonanza maarufu kama dubuli, unaweka 200 unacheza. Hata serikali inachukua kodi kupitia...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Hotuba ya Tundu Lissu kuwania Urais: Neno wajumbe limepata maana mpya 2020

    Kabla siajaenda mbali sana, ninaomba nianze kwa kusema kwamba nimepata fadhaha kubwa jinsi ya Kuwaita nyinyi wote mliokusanyika hapa katika ukumbi huu kama baraza kuu la Taifa la chama chetu. Katiba yetu ya chama inawaita wote wajumbe wa baraza kuu la taifa. Hata hivyo, tangu kura za maoni...
  15. JamiiForums Tanzania Mkutano Baraza Kuu CHADEMA: Hongera JamiiForums, Hongera Watetezi TV, Hongera Dar Mpya TV- Historia zitawakumbuka

    Amani iwe nanyi wadau! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Leo Kuna mkutano muhimu wa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA, ambapo macho na masikio ya watanzania wapenda demokrasia na wapenda maendeleo yapo kwenye mkutano huu wa CHADEMA. Moja ya ajenda kuu kwenye mkutano huu ni kumpitisha...
  16. JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Kanuni Mpya za Maudhui ya Mtandaoni 2020, Marufuku ya Maudhui yaongezeka

    Julai 17, 2020, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilichapisha mabadiliko ya Kanuni za Maudhui Mtandaoni kwenye gazeti la Serikali kupitia gazeti Na.29 Toleo la 101. Mabadiliko hayo ambayo yalitolewa kupitia notisi Na. 538 yanabadilisha baadhi ya Kanuni za Maudhui Mtandaoni za mwaka 2018 na...
  17. JamiiForums Tanzania Kanuni mpya za Maudhui ya Mtandaoni: Wenye 'channel' na tovuti za dini nao kusajiliwa

    Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA), Namba 3 ya mwaka 2010 inamruhusu Waziri kuleta Kanuni za kusimamia maudhui ya mtandaoni. Waziri mwenye dhamana ya Mawasiliano amesitisha matumizi ya Kanuni za Maudhui ya Mtandaoni Namba 133 ya mwaka 2018 zilizochapishwa mwaka mnamo Machi...
  18. JamiiForums Tanzania Kama sheria haijapitishwa na Bunge na haijafuata Katiba, Sheria hiyo ni batili. Kanuni mpya za mitandao ni batili

    (1) Katiba hutoa madaraka kwa Bunge kupitisha sheria. SHERIA lazima iwe within 4 walls ya katiba-la sivyo sheria ni batili. Sheria inatoa madaraka kwa Waziri au taasisi nyingine (k.m TCRA) kutunga KANUNI. Kanuni lazima ziwe within 4 walls ya sheria mama na Katiba-la sivyo ni batili. (2)...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Aston Villa Yateua Mkurungezi Mpya wa Michezo

    Baada ya kumfuta kazi Mkurungezi wa Michezo wa zamani Jesus Garcia Pitarch.... kutokana na kutofanya vizuri katika ligi.... na kushindwa kusajiri wachezaji wa wiwango bora....Timu ya Aston Villa imemteua Jahan Lange....mwenye umri miaka 40...kuwa Mkurungezi Mpya wa Michezo....Bwana Lange anatoka...
  20. JamiiForums Tanzania Mwakyembe aja na sheria mpya za mitandao kuelekea uchaguzi mkuu, wengi zitawafunga hasa upinzani na wenye mlengo tofauti na Serikali

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…