mpya

  1. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya: Alicia Keys Ft Diamond Platnumz

    Huu wimbo ni mzuri na nimeusikiliza japo Diamond Platnumz kaimba sehemu ndogo sana peke yake, ila sehemu kubwa kafanya Back-Vocals. Mwanzo mzuri kwake na natumai atatumia nafasi hii kujinoa vizuri maana Alicia Keys na mume wake ni wataalamu na walimu wakubwa wa muziki. Ndugu Diamond Platnumz...
  2. Rabonn

    JamiiForums Tanzania Kabila Joseph ulingoni tena kwenye siasa za uwazi za Congo DR.Hii imekaaje kwa mustakabali wa taifa hili chini ya utawala mpya wa Rais Tshekedi?

    Wakuu salaam. Nasubiri kwa hamu kusikia wakubwa zangu mtu chake zitto junior mng'ato Na wengine wadau wa siasa za maziwa makuu mngesema neno kuhusu kurejea kwa Kabila Joseph kwenye seneti ya Congo hasa ukizangia tetesi kwamba na uhusiano wake na rais Tshekesi kwa sasa hauko imara sanA. Na kama...
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mataga nielewesheni nini maana ya Tanzania Mpya, Zanzibar Mpya?

    Wakuu amani iwe kwenu, Bila shaka wengi wetu wameona kauli mbiu hizi kwenye mabango ya wagombea mbali mbali hasa wa chama cha mapinduzi (CCM). Mgombea wa Urais Zanzibar kwenye bango lake kuna maneno "Zanzibar mpya", Mgombea wa Ubunge kigamboni kuna neno "Kigamboni Mpya" kwingine kuna Tanzania...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ameshirikishwa kwenye album mpya ya Alicia Keys

    Habari nzuri, Msanii wetu wa Tanzania Diamond Platnumz atakuwepo kwenye moja ya collabo ilipo kwenye album mpya ya Alicia Keys. Alicia Keys amethibitisha hivyo kwa kuonesha list ya nyimbo zitazokuwepo kwenye album yake hiyo mpya na moja Kati ya nyimbo ipo aliyomshirikisha Diamond. Tumekuwa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya Uchaguzi ya NCCR Mageuzi: Vipaumbele ni Katiba Mpya, Elimu, Muafaka wa Kitaifa, Afya na Ustawi wa Jamii, Mazingira na Makazi

    UTEKELEZAJI WA HII ILANI NA SIFA ZA KIONGOZI Serikali itakayoongozwa na NCCR-Mageuzi itaweka mkazo katika kuimarisha mifumo ya kiutendaji ya serikali kuu na serikali za mitaa ili ufuatiliaji wa utekelezaji wa Ilani uwe wenye tija kwa umma wa watanzania. Serikali itahakikisha usimamizi wa miradi...
  6. OLS

    JamiiForums Tanzania Ajira Mpya za Walimu zinaweza kuwaumiza zaidi wasio na kazi kabisa mtaani

    Sio muda mrefu Serikali imetangaza ajira 13000 kwa walimu wa sekondari na shule za Msingi. Jambo hili ni tumaini jipya kwa walimu hasa wale ambao walikuwa hawana 'michongo' tangu wamehitimu elimu zao Nawaza wale ambao wamejichimbia kijijini jinsi watakavyopata 'Bundle cost' (The newest form of...
  7. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hussein Mwinyi ni Mandela mpya wa Visiwa vya Zanzibar

    DK. HUSSEIN MWINYI NI MANDELA MPYA WA VISIWA VYA ZANZIBAR Deogratias Mutungi Siasa imara ni zao la ustawi wa amani na maendeleo ya watu, Siasa ni chemichemi na kiungo cha utaifa wa mtu na mtu, Siasa mbovu ni chanzo cha matatizo na mifarakano inayo hatarisha utu na uhai wa binadamu aidha bila...
  8. M

    JamiiForums Tanzania H. Polepole, Profesa Kabudi na Bashiru Ally juu ya Katiba Mpya na Muungano

    Profesa Kabudi alisema wazi, kuwa kwenye ishu ya muungano, wazanzibar mambo yao yako mezani, yako well documented isipokuwa yale ya Tanganyika. Akasema anaogopa siku watanganyika watakaponyanyuka na kudai mambo yao Humphrey Polepole akasema, Katiba ya Sasa inampa Rais wa sasa madaraka makubwa...
  9. vulcan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yaanza kuiga Kenya kisiasa - mwamko mpya Tanzania

    Watanzania waandamana
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuhamisha Magoli ndiyo mbinu mpya ya CCM

    Anaandika Lord Denning wa JF, Leo nimecheka sana! Kuna clip watu wa CCM wameitengeneza na wanaisambaza ikimuonesha Tundu Lissu akiwa kwenye kampeni akiongelea suala la Bunge na wabunge hawajui bei wala mikataba ya ndege! Kwenye clip hii wana CCM wameunganisha na scene ya Halima Mdee akijadili...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Kimataifa: Rais Magufuli amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sana!

    Kwa ufupi kabisa kwa wale CHADEMA pamoja na Tundu Lisu mnaodai Rais Magufuli amefifisha mahusiano na dunia nataka niwakumbushe tu Rais Magufuli amefungua balozi katika nchi nane duniani ikiwemo Israel. Tunapokosoa jambo tuwe tunaweka na uhalisia wa ukosoaji siyo kukurupuka. Hata Ethiopia...
  12. B

    JamiiForums Tanzania CEO mpya Simba utawezaje kuitumikia klabu na kampuni ya TBL kwa wakati mmoja?

    Moja ya Habari iliyotamba kwenye duru la michezo na kwenye mitandao ya kijamii nchini mwishoni mwa wiki ni klabu ya soka ya Simba kumpata Afisa Mtendaji Mkuu mpya mwanamke , Barbara Gonzalez. Barbara Gonzalez, mbali na wadhifa huu mpya katika klabu hii kongwe ya soka nchini ni mfanyakazi wa...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya Vyombo vya Habari kuminywa kutoa habari za CHADEMA, wagombea Ubunge wabuni mbinu mpya ili kuwafikia wapiga kura

    Huyu ni Mgombea Ubunge wa jimbo la Makambako kwa tiketi ya CHADEMA akitumia njia mpya ya kujitangaza . Mytake : Tunaomba radhi kwa usumbufu wa nyuzi zetu nyingi za kampeni , hii ni kwa vile muda wa kampeni ni mfupi na tunazihitaji sana kura zenu
  14. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jezi mpya za Yanga hazitatolewa mpaka stock ya jezi za zamani iuzwe yote

    Habari wadau Inasemekana gsm wamegoma kutoa jezi mpya mpaka za zamani ziishe..
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Kocha mpya wa Yanga ni Zlatko Krmpotic

    RASMI: Kocha mpya wa klabu ya Yanga ni Zlatko Krmpotic, raia wa Serbia ambaye ameingia makubaliano ya mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo. Kocha huyo anatarajiwa kuwasili kesho jijini Dar es Salaam tayari kwa kushiriki kilele cha #WikiYaMwananchi
  16. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Fireboy DML, Mfalme mpya wa muziki Afrika

    Muziki wa Nigeria una ushindani mkubwa sana, vijana kama Omah Lay, Joe Boy na Fireboy DML wanafanya kazi nzuri sana. Lakini mtu ambaye amebahatika kuteka hisia zangu zaidi ni huyu Fireboy DML, huyu jamaa anatisha sana. Nimebahatika kusikiliza albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la APPOLO...
  17. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Viwanja Pacha vyenye Hati Miliki Vinauzwa MBWENI-Maputo

    Ni Viwanja 'pacha' kwa Matumizi za Shughuli za makazi. Vinauzwa vyote kwa pamoja au kimojakimoja. Eneo: MBWENI-Maputo, Maarufu kama Kwamasista. Ukubwa: Kimoja ni SQM 1227, Kingine ni SQM 1234. Jumla Viwanja vyote vina eneo la ukubwa wa SQM.2451. Umiliki ni HATI MILIKI ya Wizara ya...
  18. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Kuna siri Seif na Mbowe kuhusu kudai Katiba Mpya

    Kwa mawazo yangu ukitaka kuvunja muungano basi uwe na Serikali ya Tanganyika yenye madaraka ya ndani makubwa sawa na ile ya Zanzibar. Ukifanya hivyo utabakia na serikali ya muungano yenye kudhibiti Wizara chache hazizidi kumi. Serikali ya muungano itakuwa dhaifu tegemezi. Kama tanganyika...
  19. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Luke Marklin: CEO wa Bellhops Moving aliyemzawadia gari yake binafsi (Ford Escape) mfanyakazi mpya aliyetembea zaidi ya miles 20 ili awahi kazini

    Luke Marklin: CEO wa Bellhops Moving aliyemzawadia gari yake binafsi (Ford Escape) mfanyakazi mpya aliyetembea zaidi ya miles 20 ili awahi kazini. Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the...
  20. Influenza

    JamiiForums Tanzania Baada ya kipigo cha goli 8-2 kutoka kwa Bayern Munich, Barcelona imemtangaza Ronald Koeman kuwa kocha mpya

    Ronald Koeman (57) ametangazwa kuwa Kocha mpya wa Klabu ya Barcelona ya Uhspania, akipewa mkataba wa miaka miwili na kulazimika kuacha kazi yake ya kuifundisha timu ya Taifa ya Uholanzi Koeman ambaye ni raia wa Uholanzi anachukua nafasi ya Kocha Quique Setien, aliyefukuzwa baada ya Barcelona...
Back
Top Bottom