mpya

  1. J

    JamiiForums Tanzania Makundi ya watalii kutoka Israel yaanza kuwasili nchini kwa mapumziko ya mwaka mpya, aibarikie Israel atabarikiwa!

    Mwenyekiti wa bodi ya utalii nchini Jaji mstaafu Anthony Mihayo amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa wa watalii kutoka nchi takatifu ya Israel wanaokuja nchini kwa mapumziko. Jaji Mihayo amesema hayo wakati akilipokea kundi la kwanza la watalii hao lililowasili jijini Arusha leo. Aibarikie...
  2. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Nawatakieni wote heri ya sikukuu za Noel (Christmas) na Mwaka Mpya

    Habari za asubuhi wakuu, Kwa niaba yangu mimi mwenyewe nawatakieni wote heri ya hizi sikukuu mbili kubwa christmas and newyear. Mungu awape yale mnayoyatamani na awafanyie wepesi katika magumu yenu. Nawasilisha.
  3. M

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

    WanaJF Salaam Ni siku nyingine muhimu kabisa katika historia ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA. Baraza Kuu jipya la Chadema linakutana leo maalum kuichagua sekretariati mpya ya chama hicho itakayokivusha katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Kwa mujibu wa Katiba ya chama hicho...
  4. Boniphace Kichonge

    JamiiForums Tanzania Zelothe Stephen Zelothe achaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa CCM Arusha

    Wadau. CCM Mkoa Wa Arusha imepata Mwenyekiti Mpya Ambaye Ni Ndg Zelothe Stephen Zelothe kufutia Uchaguzi wa Kidemokrasia uliofanyika Leo. Matokeo Kamili: Ndg. Zelothe Stephen Zelothe Amepata Kura 468. Dkt Batilda Burian Amepata Kura 339. Ndg.Bakari Msangi Amepata Kura 48. Msimamizi wa...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Sare Mpya ya Chadema Usipime ! Mamluki wapigwa chenga ya mwili

    Taarifa zinadokeza kwamba sare mpya za chadema zimedhibiti njama za kishamba za mamluki kuvalishwa sare za zamani za Chadema na kujitokeza kwenye vyombo vya habari kwa lengo la kupinga maamuzi ya vikao na kutukana viongozi , hakika kikosi cha usalama cha Chadema kiko makini kuliko wanafiki...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maandamano dhidi ya sheria mpya ya uraia India

    Maelfu ya watu wameteremka majiani katika miji kadhaa ya India , masaa machache tu baada ya dazeni kadhaa za waandamanaji na maafisa wa polisi kujeruhiwa, machafuko yaliporipuka katika viwanja vinavyozunguka vyuo vikuu. Sheria ya uraia iliyoidhinishwa wiki iliyopita inawaruhusu wahamiaji ambao...
  7. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Muhimbili awamu mpya ilivyookoa mabilioni, pia huduma mpya kibao

    Chimbuko lake ziara ya ghaa JPM, Yasuka upya wataalamu ughaibuni, Mapato yapaa bn 2.6/- hadi bilioni 5 . MNAMO Novemba 9 ya mwaka 2015, akiwa mgeni madarakani, kwa mara ya kwanza Rais Dk. John Magufuli, alifanya ziara ya kushitukiza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na kusikiliza kero...
  8. Influenza

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa: Tunahofia sheria mpya ya uraia India, inabagua

    Akizungumza na waandishi wa habari mjini Geneva Uswisi msemaji wa ofisi hiyo Jeremy Laurence amesema “sheria hiyo iliyorekebishwa inataka kuongeza kasi ya mchakto wa uraia kwa makundi ya kidini ya awaliowachahe ikiwataja hususan Wahindu tu, Singasinga, Wabudha, Wajamatini, Waparsis na Wakristo...
  9. gango2

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Ndege yetu Bombardier Q400 iliyokuwa ikishikiliwa Canada imeachiwa, itapokelewa Mwanza, tarehe 14/12/2019

    Rais Magufuli akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi leo amesema Ndege yetu iliyokuwa imeshikiliwa Canada imeachiwa huru na itatangazwa siku itakapopokelewa. Pia Rais Magufuli amesema safari hii ndege hii itapokelewa Mwanza (tarehe itatangazwa). “Ndege yetu...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Rosa Ree Atoa Ngoma Mpya Baada tu ya Kufunguliwa na Basata..Itazame Hapa

    The GODDESS comes out with another masacre featuring uganda's finest dancers #GhettoKids , the queen of uganda's stages #SpiceDiana and South Africa's baddest female rapper #GigiLamayne The song is titled ALAMBA CHINI.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Sheria mpya za kutuma pesa kutoka nje zitapunguza mapato

    Diaspora wengi hasa wa US walikuwa wameanza kutuma pesa zaidi kwasababu ya urahisi wa kutuma pesa. Kwa kutumia hizi Apps. Lakini inaelekea Serikali imeonzeza sana sheria kiasi kwamba inaweza kufanya watu waache kutumia hizi app na kupunguza mapato makubwa kwa nchi. Maswali ya uraia, kutuma...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe azindua siasa mpya za CHADEMA huku akitangaza idadi rasmi ya wanachama

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe amesema baada ya kuzuiliwa mikutano ya hadhara kwa hila chama hicho kimeimarika maradufu. Akihutubia mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema katija ukumbi wa Mlimani City kiongozi huyo amesema chama hicho kiliamua kufanya siasa mpya za kuzunguka kata...
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Israel kufanya uchaguzi mpya Machi 2

    Uchaguzi wa Israel unatarajiwa kufanyika Machi 2 mwakani, ikiwa ni wa tatu katika kipindi cha mwaka mmoja. Muswada wa kulivunja bunge, ambao pia unatangaza tarehe ya uchaguzi, utapitisha sehemu nne za mwisho, saa chache baada ya wabunge kushindwa kuunda serikali ya muungano baada ya muda wa...
  14. Emmanuel J. Buyamba

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI BAVICHA: John Pambalu aibuka kidedea Uenyekiti. Nusrat Shaaban Hanje ateuliwa kuwa Katibu Mkuu

    Baraza la vijana (Bavicha) la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) linaendelea na uchaguzi wake leo kwa ngazi ya kitaifa. Muda mfupi uliopita katika ukumbi wa Mlimani City limewapata viongozi wake wakuu ambapo Diwani wa Butimba jijini Mwanza, Bwana John Pambalu ameshinda Uenyekiti kwa...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Butiku awapa wasomi mtihani wa Katiba Mpya

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku, amesema kuna haja kwa wanataaluma nchini kuanza kuzungumzia mchakato wa katiba mpya kuliko kukaa kimya, kwani ulitumia fedha nyingi. Aliyasema hayo jana, wakati wa kumbukizi ya Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Chuo...
  16. Laptop bei nafuu

    JamiiForums Tanzania Pata simu aina zote mpya kwa bei nafuu 0652 565 597

    Simu za infinix zilizopo zote ni mpya: Hot 8 lite bei 250,000 Smart 3+ bei 290,000 Hot 7 bei 240,000 S4 bei 350,000 Simu za Tecno zilizopo zote ni mpya Spark 2 bei 230,000 Spark 3 na pro yake bei 250,000 Spark 4 bei 300,000 Camon 12 bei 350,000 Kwa mawasiliano piga simu 0652 565 597 au 0743 448...
  17. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Leseni inapokwisha muda wake ni sahihi dereva kuilipia kisha kupewa mpya bila kupewa mafunzo tena?

    Kuna vitu mtu unashindwa kujua lengo la serikali zetu hizi, dereva anapewa leseni, anaendesha gari kwa miaka fulani kisha inachuja (expire). Inampasa alipie kiasi fulani kisha apewe kadi (leseni) nyingine. Lengo ni kudhibiti ajali barabarani au kuongeza mapato? Kama lengo ni kuongeza mapato...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uuzaji wa silaha waongezeka kote duniani yasema ripoti mpya ya SIPRI

    Ripoti mpya ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani mjini Stockholm SIPRI, inasema uuzaji wa silaha uliongezeka kwa asilimia tano kote duniani mwaka elfu mbili kumi na nane. Ripoti hiyo inasema Marekani ndiyo nchi inayoongoza katika biashara hiyo na kwamba kutokana na soko lake, mapato ya...
  19. crome20

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu aina mpya ya POP

    Kama kuna mwenye kuelewa kuhusu matumizi, faida, gharama za aina mpya za P.O.P wanasema ni za fibre glass na nyepesi. Je unaweza kuitumia zaidi ya mara moja baada ya kuifungua/kuitoa? Gharama za kufunga na kununua zikoze? Msaada please maana hii POP niliyofungwa aka "Mhogo" ni kama kilo 3 yaani...
  20. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Uwekaji Jiwe la Msingi miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya , Chelezo na Ukarabati wa M.V Victoria na M.V Butiama katika Ziwa Victoria

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anaweka Jiwe la Msingi miradi ya Ujenzi wa Meli Mpya , Chelezo na Ukarabati wa M.V Victoria na M.V Butiama katika Ziwa Victoria Jijini Mwanza. Sherehe zinazofanyika Katika Bandari ya Igogo Jijini Mwanza.
Back
Top Bottom