Sitazami movie za kibongo ila natamani kuona hii movie mpya trailer yake imenivutia sijui kisa imechezea nje

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,156
31,027


Hii ni trailer ya nothing else ya movie toka timamu, imenivutia natamani nione hii movie huenda wamefanya kitu kikubwa
 
Mbona kama wameigeza SAW?
Sijaona jipya sana zaidi ya mbwembwe nyingi, bongo filamu safari yao bado sana.
 
Kuna movies za bongo hood. Zipo youtube. Naamini future yetu katika filamu kama taifa ingeanzia pale. Kuanzia Fisi Weusi, Mchepuko n.k.
 
Mbona kama wameigeza SAW?
Sijaona jipya sana zaidi ya mbwembwe nyingi, bongo filamu safari yao bado sana.
Yah hata mimi nilivyoona nimemwambia niliyekuwa naye hivvyo ila natamani kuona, maana makeup, shots kwa kibongo wameimprove lakini storyline nahisi itakuwa shallow
 
Nadhani majibu ya maswali yako yote unayo wewe, unless otherwise hii ni njia yenu mpya ya marketing... (and if that's the case, KUDOS..)
Dah wabongo bwana kwa kubahatisha, mimi siyo muigizaji na wala sina ushiriki nao hii kitu hata mimi nimeambiwa ndo nkaingia youtube kutazama trailer na kuamua kushare maana nimependa shots za humo. Mimi walau ninajua kuhusu kufanya online marketing, ningekuwa nafanya marketing hata nisingefanya kwa style hii
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom