Sio mimi niliyewapangia Mamelodi, mnanituka bure, matusi mnayonitukana yawarudie wazazi wenu wote na familia zenu, watukaneni CAF.
Nyie mnasema mna uwezo wa kuikabili timu yoyote, vipi leo mnalalamikia draw, makamu Rais wenu anasema sio vzr Simba na Yanga kushangilia wageni, leo yamekuwa hayo...
Ibada ni utamaduni wa kiroho kati yako na kile unachokiabudu kwa kujua au kwa kutokujua.
Mungu wa Wakristo aitwaye Jehova amekataza watu wake wasifanye ibada zisizompendeza ambazo hizo kwake ni ibada za kishetani.
Jehova aliye Mungu Mkuu kati ya miungu wote, amekataza Watu wake wasishiriki...
Na nyie ndiyo mnaongoza kuja na gari zenu Mitaani kutuibia Wake na Mademu zetu huku mkitamba na Kutucheka tusio na Magari.
Yaani EWURA wamepandisha Tsh 400/ tu kwa kila Lita ya Mafuta mnaanza Kulia lia. Hovyo kabisa hivi mwenye Hela huwa analia lia?
Akina GENTAMYCINE tunaopanda Dala Dala Kutwa...
Ujumbe kwenye picha unahusika sana....
Wanaume mmekuwa mkilaani sana kuombwa mahitaji baada ya muda mfupi baada ya kumuelewa mwanamke wa kitanzania.
Sasa wewe tumekutana leo leo halafu unaniambia umenielewa ...nikiuliza umenielewaje unajibu unataka mzigo.... Huku na huku tunachat mara paaaap...
Inashangaza sana ukikutana nao huku kitaa utasikia "MI NINA MTU WANGU" lakini wakiingia mitandaoni wanalalamika hawapati wanaume na wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuwalaumu wanaume wanaoishi na mke mmoja kwa kuwataka waongeze idadi!
Jamani wanawake mnachokitafuta ni nini hasa?
Serikali ya wanyonge iliwaacha wanyonge na unyonge wao, serikali ya Kazi iendelee ambayo Sasa inatambulika kama ya walamba asali wanyonge Hali Tete.
Niwaambieni kitu, hakuna kiumbe kinachoteseka chini ya jua kama kinyonge. Ni uamuzi wenu kuendelea kuwa mnyonge au kujiongeza kudai Haki Yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.