Wanawake mitandaoni mnalalamika hamuolewi wakati huku kitaa mnatuambia 'mimi nina mtu wangu'

Marumeso

JF-Expert Member
Oct 3, 2009
1,410
1,313
Inashangaza sana ukikutana nao huku kitaa utasikia "MI NINA MTU WANGU" lakini wakiingia mitandaoni wanalalamika hawapati wanaume na wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuwalaumu wanaume wanaoishi na mke mmoja kwa kuwataka waongeze idadi!

Jamani wanawake mnachokitafuta ni nini hasa?
 
Inashangaza sana ukikutana nao huku kitaa utaskia "MI NNA MTU WANGU" lakini wakiingia mitandaoni wanalalamika hawapati wanaume na wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuwalaumu wanaume wanaoishi na mke mmoja kwa kuwataka waongeze idadi!

Jamani wanawake mnachokitafuta ni nini hasa?

Hawataki kitu mkuu.
 
Mwanamke anaweza kuacha ukiwa hauna Kazi..... Lkn mwanamke huyohuyo anaweza kukuacha ukiwa na Kazi nyingi sana...... Mwanamke hana tofauti na kinyonga
 
Idadi kubwa ya wanawake hawajui wanachotaka.Kwa ufupi hawana misimamo na hawajiamini.

Ndiyo maana ukimpa mwanamke madaraka wengi wao wanaanza kufanya vitu kwa mihemko na sio akili.Siku zote huwa wanaona wanadharauliwa hivyo wanaghafirika haraka na kutoa maamuzi yasiyo sahihi.

Rejea waandishi wa kazi za fasihi kama wa Ngoswe penzi kitovu cha uzembe katika uwanja wa maudhui wa fasihi.Hata wao walikuwa wanamchora kama kiumbe kisicho na msimamo katika jamii.

#Maoni yangu.
 
Mwanamke anaweza kuacha ukiwa hauna Kazi..... Lkn mwanamke huyohuyo anaweza kukuacha ukiwa na Kazi nyingi sana...... Mwanamke hana tofauti na kinyonga
Ni kweli na kwa akili hizi za kutojitambua nini hasa unataka plus mood swings mnazokua nazo Mungu aliamua amfanye mwanaume awe mtawala wa viumbe vyote duniani mkiwemo na nyinyi

Na pia kuitawala na kuiongoza dunia katika nyanja zote za kisayansi, kiuchumi , kiutamaduni ,kidini ,kijamii

That why different scholars from ancient time ,mediviel peroid until now binadamu wana m refer Kama au wanamuita "man " licha ya kujua man ni mwanaume na woman ni mwanamke hata vitabu mbalimbali kama vya historia na bailojia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom