Wenye Magari si huwa mnatutambia kuwa mna hela, sasa kwanini mnalalamika kupanda kwa bei ya mafuta?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,117
Na nyie ndiyo mnaongoza kuja na gari zenu Mitaani kutuibia Wake na Mademu zetu huku mkitamba na Kutucheka tusio na Magari.

Yaani EWURA wamepandisha Tsh 400/ tu kwa kila Lita ya Mafuta mnaanza Kulia lia. Hovyo kabisa hivi mwenye Hela huwa analia lia?

Akina GENTAMYCINE tunaopanda Dala Dala Kutwa si huwa mnatucheka kwakuwa hatuna Gari kama nyie kwakuwa tuna Umasikini?

Kuna Mmoja nimemsikia hivi punde Kipindi cha Nipashe cha Radio One akisema kuwa kwakuwa Bei ya Petroli imepanda Tanzania Bara anajipanga kuhamia Visiwani Zanzibar anakodai kuwa amesikia huko Gharama ya Mafuta ni ya chini.

Na mwingine naye nimemsikia akilalamika kuwa kaamka Asubuhi akiwa kabeba Tsh 10,000/ yake ya kuweka Mafuta ya kwenda na kurudi Kazini Kwake Mjini kakuta Bei zimepanda katika Petrol Station na akilalamika kwani hakujua mapema.

Hovyo kweli huyu Jamaa kwani ni nani alimwambia asipende Kusikiliza Vyombo vya Habari (hasa Redio na kutizama Runinga) ili awe anahabarika kuliko kuja kutupigia Kelele na Kulia lia kuwa alikuwa hajui Bei za Mafuta kupanda nchini jana?

Safi sana EWURA kwa Kunikomeshea Mabrazameni na Gari zao za Mikopo kwa Kupandisha Bei za Mafuta ya Petrol na Diesel.

Yaani huku una Gari yako ya Mkopo na bado hujamaliza Deni na EWURA nao Wamekandamiza hapo hapo kwa Kupandisha Bei ya Mafuta.

Kwanza Gari ya nini kwa sasa wakati njia nyingi kwa sasa kuna Usafiri mzuri tu wa Mwendokasi na pia hata Dala Dala nazo ni nyingi na zinapita maeneo mengi tu kwa Nauli yako ya Tsh 500/ hadi Tsh 750/ na Maisha yanaendelea.

Kwa sasa huna Tsh 20,000/ ya Wese (Mafuta) kwa Gari yako ipaki tu Kwako upande Dala Dala kama GENTAMYCINE ukilazimisha ili upate Sifa Mtaani / Barabarani na 'Vimshahara' vyenu Uchwara vya Shilingi Laki Saba na Nusu (750,000/) utaumbuka kwa Gari yako Kuzima njiani Trafiki wakunyooshe au uilaze na Njaa Familia yako.

Kudadadeki tutaelewana tu sasa Ok?
 
Na nyie ndiyo mnaongoza kuja na Gari zenu Mitaani kutuibia Wake na Mademu zetu huku mkitamba na Kutucheka tusio na Magari.

Kuna Boya ( Pimbi ) Mmoja nimemsikia hivi punde Kipindi cha Nipashe cha Radio One akisema kuwa kwakuwa Bei ya Petroli imepanda Tanzania Bara anajipanga kuhamia Visiwani Zanzibar anakodai kuwa amesikia huko Gharama ya Mafuta ni ya chini.

Na Pimbi ( Boya ) mwingine nae nimemsikia akilalamika kuwa kaamka Asubuhi akiwa kabeba Tsh 10,000/ yake ya kuweka Mafuta ya kwenda na kurudi Kazini Kwake Mjini kakuta Bei zimepanda katika Petrol Station na akilalamika kwani hakujua mapema.

Hovyo kweli huyu Jamaa kwani ni nani alimwambia asipende Kusikiliza Vyombo vya Habari ( hasa Redio na kutizama Runinga ) ili awe anahabarika kuliko kuja kutupigia Kelele na Kulia lia kuwa alikuwa hajui Bei za Mafuta kupanda nchini jana?

Yaani huku Una Gari yako ya Mkopo na bado hujamaliza Deni na EWURA nao Wamekandamiza hapo hapo kwa Kupandisha Bei ya Mafuta.

Kwa sasa huna Tsh 20,000/ ya Wese ( Mafuta ) kwa Gari yako ipaki tu Kwako upande Dala Dala kama GENTAMYCINE ukilazimisha ili upate Sifa Mtaani / Barabarani na 'Vimshahara' vyenu Uchwara vya Shilingi Laki Saba na Nusu ( 750,000/ ) utaumbuka kwa Gari yako Kuzima njiani Trafiki wakunyooshe au uilaze na Njaa Familia yako.

Kudadadeki tutaelewana tu sasa Ok?
Watakukuta kwenye nauli na bei za vyakula, hapo ndipo utaacha kuwakebehi.
 
Wenye passo tunacomment wapi maana nikiweka ya mm naenda job siku2
 
Kwa akili hizi za kisoda unadhani mafuta ni kwa ajili ya wenye gari binafsi tu wanaotoka nyumbani kwenda kwenye mizunguko binafsi?
Hujui hata bei ya bidhaa anazotumia mwanachi wa mwisho hata kule vijijini zinategemea mafuta/usafirishwaji ?
 
Na nyie ndiyo mnaongoza kuja na gari zenu Mitaani kutuibia Wake na Mademu zetu huku mkitamba na Kutucheka tusio na Magari.

Yaani EWURA wamepandisha Tsh 400/ tu kwa kila Lita ya Mafuta mnaanza Kulia lia. Hovyo kabisa hivi mwenye Hela huwa analia lia?

Akina GENTAMYCINE tunaopanda Dala Dala Kutwa si huwa mnatucheka kwakuwa hatuna Gari kama nyie kwakuwa tuna Umasikini?

Kuna Mmoja nimemsikia hivi punde Kipindi cha Nipashe cha Radio One akisema kuwa kwakuwa Bei ya Petroli imepanda Tanzania Bara anajipanga kuhamia Visiwani Zanzibar anakodai kuwa amesikia huko Gharama ya Mafuta ni ya chini.

Na mwingine naye nimemsikia akilalamika kuwa kaamka Asubuhi akiwa kabeba Tsh 10,000/ yake ya kuweka Mafuta ya kwenda na kurudi Kazini Kwake Mjini kakuta Bei zimepanda katika Petrol Station na akilalamika kwani hakujua mapema.

Hovyo kweli huyu Jamaa kwani ni nani alimwambia asipende Kusikiliza Vyombo vya Habari (hasa Redio na kutizama Runinga) ili awe anahabarika kuliko kuja kutupigia Kelele na Kulia lia kuwa alikuwa hajui Bei za Mafuta kupanda nchini jana?

Safi sana EWURA kwa Kunikomeshea Mabrazameni na Gari zao za Mikopo kwa Kupandisha Bei za Mafuta ya Petrol na Diesel.

Yaani huku una Gari yako ya Mkopo na bado hujamaliza Deni na EWURA nao Wamekandamiza hapo hapo kwa Kupandisha Bei ya Mafuta.

Kwanza Gari ya nini kwa sasa wakati njia nyingi kwa sasa kuna Usafiri mzuri tu wa Mwendokasi na pia hata Dala Dala nazo ni nyingi na zinapita maeneo mengi tu kwa Nauli yako ya Tsh 500/ hadi Tsh 750/ na Maisha yanaendelea.

Kwa sasa huna Tsh 20,000/ ya Wese (Mafuta) kwa Gari yako ipaki tu Kwako upande Dala Dala kama GENTAMYCINE ukilazimisha ili upate Sifa Mtaani / Barabarani na 'Vimshahara' vyenu Uchwara vya Shilingi Laki Saba na Nusu (750,000/) utaumbuka kwa Gari yako Kuzima njiani Trafiki wakunyooshe au uilaze na Njaa Familia yako.

Kudadadeki tutaelewana tu sasa Ok?
Kama kweli umegraduate SAUT basi unaidharirisha taasisi achilia mbali wewe mwenyewe binafsi..

Yale mafuso yanayoleta mazao kutoka mashambani yakipandisha bei mfanyabiashara ili ongezeko anakuja kulikabidhi kwa mlaji wa mwisho ambaye ni sisi.

Una viashiria vyote kwamba wewe bado ni kula kulala hujui impact yeyote ya kupanda bei ya mafuta, kilo ya sukari kabla mafuta kupanda tunanunuwa kwa sh 3000/=

Kama bado una akili za kitoto kudhani siku hizi gari ni anasa unajidanganya, mademu sasa hivi wanataka pesa, na kama gari umpe yeye kadi ndio atakuelewa.

Ule ubrotherman wa kupiga misele na magari muziki mkubwa kuchukuwa mademu tulifanya miaka 90's dunia imehama huko.

Sasa tumehamia ulimwengu wa ubber hakuna mtu anataka afanye starehe halafu angaike barabarani kurudi nyumbani akiwa mitungi.

Umechemka sana.
 
Na nyie ndiyo mnaongoza kuja na gari zenu Mitaani kutuibia Wake na Mademu zetu huku mkitamba na Kutucheka tusio na Magari.

Yaani EWURA wamepandisha Tsh 400/ tu kwa kila Lita ya Mafuta mnaanza Kulia lia. Hovyo kabisa hivi mwenye Hela huwa analia lia?

Akina GENTAMYCINE tunaopanda Dala Dala Kutwa si huwa mnatucheka kwakuwa hatuna Gari kama nyie kwakuwa tuna Umasikini?

Kuna Mmoja nimemsikia hivi punde Kipindi cha Nipashe cha Radio One akisema kuwa kwakuwa Bei ya Petroli imepanda Tanzania Bara anajipanga kuhamia Visiwani Zanzibar anakodai kuwa amesikia huko Gharama ya Mafuta ni ya chini.

Na mwingine naye nimemsikia akilalamika kuwa kaamka Asubuhi akiwa kabeba Tsh 10,000/ yake ya kuweka Mafuta ya kwenda na kurudi Kazini Kwake Mjini kakuta Bei zimepanda katika Petrol Station na akilalamika kwani hakujua mapema.

Hovyo kweli huyu Jamaa kwani ni nani alimwambia asipende Kusikiliza Vyombo vya Habari (hasa Redio na kutizama Runinga) ili awe anahabarika kuliko kuja kutupigia Kelele na Kulia lia kuwa alikuwa hajui Bei za Mafuta kupanda nchini jana?

Safi sana EWURA kwa Kunikomeshea Mabrazameni na Gari zao za Mikopo kwa Kupandisha Bei za Mafuta ya Petrol na Diesel.

Yaani huku una Gari yako ya Mkopo na bado hujamaliza Deni na EWURA nao Wamekandamiza hapo hapo kwa Kupandisha Bei ya Mafuta.

Kwanza Gari ya nini kwa sasa wakati njia nyingi kwa sasa kuna Usafiri mzuri tu wa Mwendokasi na pia hata Dala Dala nazo ni nyingi na zinapita maeneo mengi tu kwa Nauli yako ya Tsh 500/ hadi Tsh 750/ na Maisha yanaendelea.

Kwa sasa huna Tsh 20,000/ ya Wese (Mafuta) kwa Gari yako ipaki tu Kwako upande Dala Dala kama GENTAMYCINE ukilazimisha ili upate Sifa Mtaani / Barabarani na 'Vimshahara' vyenu Uchwara vya Shilingi Laki Saba na Nusu (750,000/) utaumbuka kwa Gari yako Kuzima njiani Trafiki wakunyooshe au uilaze na Njaa Familia yako.

Kudadadeki tutaelewana tu sasa Ok?
Kua na Gari siyo alama ya utajiri, Gari ni nyenzo Kama nyenzo zingine, yaani Gari ni kitendea kazi! Sema vijana wengi bado wanaamini kua gari ni utajiri!!
 
Umaskn wa akila ni Hela ni mbaya kuliko ulemavu wa viungo.. na furaha ya maskn siku zote ni kumuona aliyemzidi afilisike.. na ukitaka kumfurahisha maskn mfilisi tajiri.

Hizo ndo akili za kimaskn. Na ukimuuliza kwanini unafurahia atakuambia jamaa alikua anajifanya Sana mtaani. Tumefanana Sasa.
 
Na nyie ndiyo mnaongoza kuja na gari zenu Mitaani kutuibia Wake na Mademu zetu huku mkitamba na Kutucheka tusio na Magari.

Yaani EWURA wamepandisha Tsh 400/ tu kwa kila Lita ya Mafuta mnaanza Kulia lia. Hovyo kabisa hivi mwenye Hela huwa analia lia?

Akina GENTAMYCINE tunaopanda Dala Dala Kutwa si huwa mnatucheka kwakuwa hatuna Gari kama nyie kwakuwa tuna Umasikini?

Kuna Mmoja nimemsikia hivi punde Kipindi cha Nipashe cha Radio One akisema kuwa kwakuwa Bei ya Petroli imepanda Tanzania Bara anajipanga kuhamia Visiwani Zanzibar anakodai kuwa amesikia huko Gharama ya Mafuta ni ya chini.

Na mwingine naye nimemsikia akilalamika kuwa kaamka Asubuhi akiwa kabeba Tsh 10,000/ yake ya kuweka Mafuta ya kwenda na kurudi Kazini Kwake Mjini kakuta Bei zimepanda katika Petrol Station na akilalamika kwani hakujua mapema.

Hovyo kweli huyu Jamaa kwani ni nani alimwambia asipende Kusikiliza Vyombo vya Habari (hasa Redio na kutizama Runinga) ili awe anahabarika kuliko kuja kutupigia Kelele na Kulia lia kuwa alikuwa hajui Bei za Mafuta kupanda nchini jana?

Safi sana EWURA kwa Kunikomeshea Mabrazameni na Gari zao za Mikopo kwa Kupandisha Bei za Mafuta ya Petrol na Diesel.

Yaani huku una Gari yako ya Mkopo na bado hujamaliza Deni na EWURA nao Wamekandamiza hapo hapo kwa Kupandisha Bei ya Mafuta.

Kwanza Gari ya nini kwa sasa wakati njia nyingi kwa sasa kuna Usafiri mzuri tu wa Mwendokasi na pia hata Dala Dala nazo ni nyingi na zinapita maeneo mengi tu kwa Nauli yako ya Tsh 500/ hadi Tsh 750/ na Maisha yanaendelea.

Kwa sasa huna Tsh 20,000/ ya Wese (Mafuta) kwa Gari yako ipaki tu Kwako upande Dala Dala kama GENTAMYCINE ukilazimisha ili upate Sifa Mtaani / Barabarani na 'Vimshahara' vyenu Uchwara vya Shilingi Laki Saba na Nusu (750,000/) utaumbuka kwa Gari yako Kuzima njiani Trafiki wakunyooshe au uilaze na Njaa Familia yako.

Kudadadeki tutaelewana tu sasa Ok?
Unaandika uzi huu ukiwa ndani ya subaru forester xt yako,we tujaze ujinga tu tusiokua na gari
 
Back
Top Bottom