Yanga mlisema mnataka Chai iweje mnalalamika mnaungua kwa Mamelodi

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
439
1,754
Sio mimi niliyewapangia Mamelodi, mnanituka bure, matusi mnayonitukana yawarudie wazazi wenu wote na familia zenu, watukaneni CAF.

Nyie mnasema mna uwezo wa kuikabili timu yoyote, vipi leo mnalalamikia draw, makamu Rais wenu anasema sio vzr Simba na Yanga kushangilia wageni, leo yamekuwa hayo?

Mlitaka chai wenyewe ss mnalalamika nn mnapoungua, bumbavu.
 
Na hiyo ndo maana halisi ya jina lao la utopwinyo
 
Wewe na genge lako la kizushi ndio mnalalamika. Hii Yanga sio ya kulia kupangiwa na timu, hii timu haihitaji kupanga mechi zake muda fulani ili ifaidike na hali ya hewa ya muda huo. Hii Yanga inajipambania uwanjani na bila shaka imesha prove sehemu tofauti nje na ndani ya uwanja. Kwahiyo habari za uzushi sijui Yanga anaiogopa Mamelod acheni huo mchezo hata mashabiki tunajua hatuna cha kuhofia
 
Sio mimi niliyewapangia Mamelodi, mnanituka bure, matusi mnayonitukana yawarudie wazazi wenu wote na familia zenu, watukaneni CAF.

Nyie mnasema mna uwezo wa kuikabili timu yoyote, vipi leo mnalalamikia draw, makamu Rais wenu anasema sio vzr Simba na Yanga kushangilia wageni, leo yamekuwa hayo?

Mlitaka chai wenyewe ss mnalalamika nn mnapoungua, bumbavu.
Bro lunch umegonga lakini? Naona unahangaika na Yanga sana.
 
Mamelodi mnawapaisha sana nmeangalia mechi zao mbili na TP Mazembe hawana maajabu bahati mbaya kwenye football timu inayopewa nafasi hua inapoteza nadhani mliwaona Morocco kwenye AFCON
 
Sio mimi niliyewapangia Mamelodi, mnanituka bure, matusi mnayonitukana yawarudie wazazi wenu wote na familia zenu, watukaneni CAF.

Nyie mnasema mna uwezo wa kuikabili timu yoyote, vipi leo mnalalamikia draw, makamu Rais wenu anasema sio vzr Simba na Yanga kushangilia wageni, leo yamekuwa hayo?

Mlitaka chai wenyewe ss mnalalamika nn mnapoungua, bumbavu.
Hizi story za hivi nazisoma na kuzisikia kwenye mitandao ya watanzania pekee.
Nje ya Tanzania habari ni tofauti kabisa.

Bro lunch umegonga lakini? Naona unahangaika na Yanga sana.
Then anasema anatukanwa hapa ndio nashangaa hakuna shabiki wa Yanga ambae anafungua nyuzi ya kuogopa hapa ila mibumbumbu ndio kila baada ya dk ishirini ina mwaga nyuzi za ki mbumbumbu.
 
Screenshot_20240305_110814_X.jpg
 
Na Mamelod wanaongelewa sio kwamba nawadharau laah hasha bali mpira wanaocheza sio kwamba et Yanga haiwezi kucheza nao ukweli Yanga ina wachezaji wazuri na wenye vipaji na wanaojituma hasa..so hii gemu lolote litatokea.
 
Back
Top Bottom