mawazo

  1. G

    Msaada: Kichwa kinawaka moto kwa mawazo, nakosa usingizi

    Nimekuwa nikipitia changamoto ya kukosa usingizi, kutaka kujiua toka mwaka 2018 nikiwa chuo baada nikaanza kunywa madawa ya usingizi zaidi ya aina 15 bila kupona, nimeenda sehemu za maombezi pia ila bado haiponi. Mwaka 2020 nilipata mchumba ambae nae mwaka huu kaenda JKT nimejikuta ninaishi kwa...
  2. H

    Naombeni mawazo na ushauri wenu juu ya huu mchoro wa nyumba kabla sijafanya uamuzi wa kuanza ujenzi

    Naombeni mawazo au ushauri kulingana na ramani ya nyumba kutoka kwa architect wangu, naamini kuna vitu vya kuzingatia mapema kulingana na huu mchoro kabla ya kufanya maamuzi ya kuanza ujenzi. Kitu gani kina upungufu na kinahitaji kuboreshwa kulingana na hii ramani hapa.
  3. micind

    Nahitaji kusoma uhasibu, nina cheti cha Kidato cha Nne cha Sita na degree nyingine isiyohusiana na masuala ya kifedha

    Habari zenu, Nahitaji kusoma hii fani ya uhasibu, nina cheti cha kidato cha nne cha sita na degree nyingine haihusiani kabisa n maswala ya kifedha. Nimejaribu kutafuta taarifa kidogo nimekutana na ACCA, NBAA na wale wenye degree za accountancy kutoka kwenye vyuo vikuu vya hapa nyumbani. Sasa...
  4. M

    Msaada wa mawazo kuhusu ICT project for final year

    Wakubwa zangu i hope mko powa, Nilikuwa nawaomba mnisaidie title ya project ya ICT itakayo husisha (html,CSS,PHP na MYSQL)
  5. K

    Nilikuwa namchukulia poa Makonda, sasa nimebadili mawazo

    Mwanzoni Makonda akiwa ndiyo ametoka kuteuliwa nilidhani ataishia umbali wa kutupa jiwe. Nilikosea kufikri hivyo kwa sababu nimekuja kubaini yafuatayo; 1. Mikutano ya Makonda watu wanahudhuria wenyewe bila kusombelewa kwa gharama ya Chama. 2. Wahudhuriaji ni wasikivu sana. Ni tofauti na...
  6. M

    Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA

    Ameandika Dr. Sisimizi Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame. Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati...
  7. Hance Mtanashati

    Kifo cha Nabeel chahusishwa na ushirikina, kafara imetimia!!!, Watanzania tuna mawazo ya ovyo sana

    Aisee sisi Watanzania tuna mawazo ya ajabu sana. Naona watu wengi wanahusisha kifo Cha Nabeel na imani za kishirikina. Pointi yao ya msingi ni dhaifu sana ,eti kisa ile ajali ilikuwa mbaya sana na Chino katoka poa kabisa kana kwamba hakijatokea kitu. Yani wao walikuwa wanataka eti na Chino...
  8. Singo Batan

    Miswada miwili ya sheria za uchaguzi yatua bungeni

    Leo tarehe 10 novemba 2023, Bunge limesoma miswada miwili ya sheria za uchaguzi kati ya miswada mitano iliyosomwa kwa mara ya kwanza. Miswada hiyo kuhusu sheria ya uchaguzi kwa mujibu wa bunge ni Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023; na Muswada wa Sheria ya...
  9. R

    Kwa wataalamu wa online banking CRDB karibuni tubadilishane mawazo

    Habari za majukumu kila mmoja, Niko nchini Israel kwa sasa ila Huwa nikipata pesa huku (shekhel) Huwa nakutumia kwa kadi yangu ya visa ya crdb ambayo ninayo huku. Tatizo ni kuwa Sina uwezo wa kujua kama pesa yangu ipo kwa account yangu kama nilivyotuma. Ndipo wazo la online banking likanijia...
  10. sky soldier

    Kila kitu kina mwanzo: Njoo hapa tupeane mawazo ya biashara ambazo bado hazijafika Tanzania tuziwahi fursa.

    Hizi tuziite ni biashara bikra huwa ni sawa na kuwa mwanaume wa kwanza. Ni biashara nyingi sana hazikuwepo Tanzania bali ziliingia kwa kucopy na ku paste biashara zinazofanywa nchi zingine. Uzuri wa kuanzisha biashara mpya unapata jina haraka sana (Monopoly) na uta enjoy super abnormal Profits...
  11. KING MIDAS

    Miaka michache ijayo Tanzania itaenda kuwa na watu wenye msongo mkali wa mawazo kutokana na madeni

    Ili kuwepo na ustawi ni lazima nchi ikuze hali ya uchumi wa watu wake. Purchasing power lazima iongezeke. Kinyume na hapo ni stress na madeni. Leo kuna viwanja vinauzwa kwa mkopo, kuna wafanyabiashara wanakopesha zana za ujenzi kwa riba, kuna magari ya mkopo na hamna kipato cha uhakika...
  12. Ester505

    Hata kama kakuacha, ondoa mawazo ya kujiua na kuua watoto

    Nawasalimu kwa salami pendwaaa,jibu NI kazi Iko hivi Kuna watu walipendana sàana,huku na huko wakamwita shekhee,akachoma ubani,ndoa ikafungwaaa. Ndoa ikawajibu jamani wakapata watoto wawili. Sasa huyo mume NI mshika chaki na mke NI mshika chaki,jamoooon mnanielewaa! Sasa Kama mnavyojua Tena...
  13. Mhaya

    Jaribu kukua kifikra

    Wakati nasoma ushuhuda wa yule binti wa Mbinguni na kuzimu miaka 10 nyuma, kuna vitu viliniingia kichwani. 1. Kamwe usimwamini binadamu. Kitu cha kwanza unachotakiwa kujua binadamu si malaika. Kila binadamu ana maisha ya pande mbili, kuna upande wa kwanza unaoujua, upande mwema lakini pia kuna...
  14. M

    Naomba msaada wa mawazo juu ya hili

    Habari za jion wana jf, Ni kuwa nina akaunti ya kuweka akiba NBC ambayo mara nyingi huwa naweka akiba yangu. Ila leo nimeangalia salio naona lile salio la mwsho kuangalia halijawa lile ambalo nilitarajiwa liwepo leo navyoangalia, yaani naweka ela nasema leo nianglie nbc mkonon lazima itakuwa...
  15. matunduizi

    Nataka kuanzisha umissionari wa kupeleka Ukristo kutoka Afrika kwenda Ulaya na Marekani, naombeni mawazo

    Wakuu nimegundua Ulaya na Marekani kuna upagani mwingi sana. Wala hakuna ukristo kule ni zuga tu. Sina wasiwasi na uarabuni na china, Maana huko kwa utafiti wangu kuna wakristo kificho wengi sana ila wanaingia misikitini na kuswali kwa ajili tu ya usalama wao. Nimefikilia hawa wazungu kabla...
  16. peno hasegawa

    Mawazo binafsi: Kwanini Tanzania tusiahirishe Uchaguzi Mkuu wa 2025 hadi mwaka 2026 ili kupata Katiba mpya?

    Serikali imepanga kutoa elimu ya katiba. Inaonyesha hadi mwaka 2025 katiba Mpya itakuwa haijapatikana kwa sababu elimu itakuwa inaendelea kutolewa. Sasa, kwanini Uchaguzi Mkuu usiahirishwe Ili ufanyike mwaka 2026 tukiwa na katiba Mpya?
  17. B

    Nauza mawazo

    Ndg wana JF, Kwa heshima na taadhima, naomba kuujulisha umma wa Watanzania kuwa kuanzia leo nianzishe biashara ya kuuza mawazo kwa watanzania wenzangu pamoja na wageni juu nini mtu afanye for development sake. Sasa nimeona sina budi nijiajiri ili niwe nawauzia bidhaa hii baada ya kufanya...
  18. Unique Flower

    Naomba mawazo yenu

    Wapenzi wangu, Kuna rafiki yangu anataka kufungua biashara ya nguo ipi itamfaa. Hii yakuprint tshirts na blauzi au kuletewa nguo kutoka njee na ninguo gani zitakuwa na wateja??
  19. R

    Deus Kibamba: Ukishastaafu unatoa mawazo yako kwa uhuru pasipokujali utapoteza nini kesho au kesho kutwa

    Wakati akiwa anahitimisha kutoa neno leo katika yake katika mkutano maalum wa vyama vya siasa leo tarehe 13/9/2023 ambapo ni siku ya tatu, Bwana Deus Kibamba alisema; "Mh. Mwenyekiti naomba nishukuru sana wazee wetu wastaafu, mmeona jinsi ambavyo ukishastaafu unakuwa very sober, unatoa mawazo...
  20. TUKANA UONE

    Simpendi Rais Samia ila yawezekana Akitokea mtu akaniambia alichofanya cha maana Tangu aingie Madarakani naweza kubadili mawazo nikampenda

    Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!. Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba. Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu. Mimi binafsi simpendi na si...
Back
Top Bottom