RC Chalamila ni kama Profesa, ana mawazo kuwazidi Mawaziri!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411
xxxxx.jpeg

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mwalimu Chalamila, kwa elimu yake ndogo ya Dar es Salaam na pia kukulia mazingira duni, maskini na kukosa exposure ameanza ku-cop na Dar es Salaam[mjini].

Mwalimu Chalamila ameelezea kushangazwa na mna ufukwe wa Coco Beach unaendeshwa. Amesema usiku mmoja akiwa na rafiki yake walipaki gari, wakaangalia wakajiuliza, "je sisi tunaweza kwenda pale tukasema tunakwenda kupumzika?"

Chalamila a.k.a "chala" ameona palivyojengwa hovyo ovyo, vyakula na mishikakiinavyouzwa ghali na mshikaki ni 300, robo kilo unalipa Tshs 40,000/- means kwa kilo moja ya nyama wanaingiza 160,000/-[laki na siini elfu]. Hawalipi kodi yeyote zaidi ya kulipia kodi ya manispaa ya elfu 20 kwa mwezi.

Chala amegundua na kusema beach imejaa "mavi", mengine asiyoyajua ni kuwa "Beach boy" mostly wadhirika wa UKIMWI wanabaka watoto wa kike kweupe mchana kwa kisingiziip cha kuwafundisha kiogelea hasa kipindi shule na vyuo vimefungwa na katikati ya wiki unakuta watu wachache.

Uwekezaji wa coco beach uangaliwe upya, bei ziwe regulated, ulinzi na usafi uongezwe, malaya wanaojiuza mchana kweupe wadhibitiwe.
 
"wakati mwinyi anamaliza awamu yake ya urais mimi nilikuwa darasa la nne" - Chalamila
 
Back
Top Bottom