Msaada wa mawazo wakuu

Wakuperuzi

JF-Expert Member
Mar 31, 2023
2,077
4,673
Ni kawaida shida huwa haipigi hodi naomba msaada hivi naweza kwenda bank ninayopitishia mshahara wngu nikazungumza na branch manager akaniwezesha kupata hiki kiasi 210k kwa makubaliano tu mshahara wangu ukiingia wachukue pesa yao
 
Kama una ajira rasmi benki wanakupa huduma ya salary advance. Yaani unakopeshwa mshahara. Ukilipwa wanakata. Nenda kaulizie. Sasa sio upate hiyo usahau shida zako ukale bata na mademu
Hii kuna wakati nilienda wakaniambia hii huduma natakiwa niifanye kwenye cm na nilipojarbu niliambia sijakidhi vigezo ndio maana nikawaza tofauti bank ni stanbic
 
Hii kuna wakati nilienda wakaniambia hii huduma natakiwa niifanye kwenye cm na nilipojarbu niliambia sijakidhi vigezo ndio maana nikawaza tofauti bank ni stanbic
Ukishindwa kabisa jaribu kausha damu, japo ujipange kwenye riba na kuacha kadi ya benk. Hapo ndio inapokuja faida ya kikoba. Wife hana kikoba?
 
duh wakuu tuna safari ndefu sana ya maisha inamaana tunakosa mtu wa kutupa hiyo laki mbili mpka twende bank.....? cha kujiuliza ni hatukopesheki au hatusaidiki au hatunanwatu wa maana ......


alafu utakuta mtu ana marafiki zaidi ya 50 kwenye simu wanachat ila shida yake inakua ngumu kutatuka..... nikiiwaza kesho yetu nasikitika sana
 
Nahitaji 120k kwa pamoja vitu hv mtungi mdgo wa orxy empty dish la azam na feni ya chini
 
phone book yako yote hakuna mtu wa kuweza kukukopesha hicho kiasi...jitathmini au watathimini waliokuzunguka ikibidi badilisha
 
Back
Top Bottom