Nimepigwa na bumbuwazi wadau!
Natoka safari zangu naingia ndani namkuta mama mkwe (ana siku ya tatu Sasa hapa akiwa amekuja kututembelea) amejiinamia flani. Nikamuuliza, "mama vipi mbona umejiinamia?" Akaaniita na Kisha nilipofika alipo akasema tu, "angalia!" Basi akapandisha nguo yake na...
Nusu ya muda unaodhani unafikiri haufikiri bali unasikliza mawazo yako mwenyewe kichwani mwako, kufikiri sio jambo jepesi ambalo kila mtu anaweza kufanya.
Kufikiri ni kitendo cha namna gani? Ni vipi tunaweza kufikiri na sio ku imagine au ku visualize?
Karibu tufikiri pamoja kuhusu hili......
Amesimuliwa wife akiniomba ushauri nikaona nami nililete humu nipate msaada wa MAWAZO Kwan JF ni kisima cha maarifa HATUSHINDWII
Wife anafanya Kaz kwenye taasisi moja inayoshughulika na watoto, Sasa Kuna mtoto wa kike mmoja kamsimulia yanayomsibu ipo hivi huyo mtoto wa kike tumuite Jane(sio...
Vijana wamemaliza vyuo lakini ukiwangalia ni kama wameingia chuo kujifunza.
Nina kijana kasomea IT mtoto wa ndugu yangu yani hakuna lolote kama kazubaa.
Mwengine jirani yangu kasomea uhasibu hakuna la maana kwenye ofisi ni shot kwenda mbele.
Wakuu
Mimi ni mfanyakaz wa kampuni flan inajihusisha na maswala ya ujenzi
Malipo yake sio mazuri sana lkn si haba unapata hela ya kula yn ni malipo ambayo huwez pata hela ya kufanya jambo kubwa sana sana utalipa kodi na kula
Mwanzon mwa mwez wa nne nilipata dili ya mwezi mmoja tuu ambayo...
Wakuu jana niliota nimekufa hadi msiba wangu ulitokea na nilikuja kukufuka na wakabomoa jeneza kunitoa kabla ya sijazikwa
Kuna maana yoyote hapa au ni muvi tu za usiku?
Mshana Jr Da'Vinci
Wanawake walioajiriwa wanapitia msongo mkubwa wa mawazo kuliko walioajiriwa.
In short wanawake hapa duniani wanachohitaji ni UPENDO tu na kuwapa Attention na mahitaji yao ya msingi.
Huku maofisini kama sio kuishi katika imani ningekuwa naiokota Kama maua sama.
Ukimuona mwanamke haeleweki...
Hii inamaanisha kuwa kuna mtu ana kitu yani akikifanyia kazi anaweza kufika mbali lakini amekaa nacho ndani anawaza.
Utawaza hadi lini na umekaa ni fursa ndani? Unamsubiri nani aje akutoe huko uliko akuonyeshe njia?
Unachelewa changamka! Unataka kuwa mfanyabiashara mkubwa leoleo?
Ni kitu...
Yani mwanaume hakuhudumii kwa chochote na amekuoa hajui mnakula nini, kodi inalipwaje yaani hakuna lolote anafanya.
Ukimwambia kuhusu kazi yeye haoni kama kuna kazi anaweza kufanya na sio kwamba labda amesoma ana vyeti ndani, yeye yupo yupo tu na pombe anakunywa shida haziishi kwake unaishia...
Mimi ni mtumishi wa umma mwandamizi lakini jambo hili limenipita pembeni na nahisi nimeingia kwenye tatizo kuubwa.
Niliomba mkopo bank kwa kutumia mfumo wa utumishi. Kabla mfumo haujapitisha mkopo bank wakawa wameshaniwekea kiasi Fulani Cha pesa. Sikujua kama ndo ulikua mkopo wangu au la...
Kama kichwa cha hapo juu kinajieleza kwa walio bahatika kutembelea mji wa bariadi naomba msaada wa mawazo wa fursa za kibiashara walizoziona ambazo mtu mwenye mtaji at least wa Milioni 5 anaweza kufanya na maisha yakaenda vizuri. Natanguliza shukrani
Katika siasa za Tanzania Dr. Biteko na Majaliwa wanayo nafasi kubwa yakuongoza nchi yetu. Ni viongozi wanaoamini kwenye mabadilishano ya hoja, mabadiliko na mchuano wa fikra.
Wote wana mapungufu yakibinadamu lakini wana mengi mazuri kuliko mabaya. Mwenyenzi Mungu awaepushe na tamaaaaa
Mabadiliko yanayotokea sasa yanaanza kusuka upya mfumo wa utumishi wa umma. Tunategemea mapendekezo ya kiongozi aliyestaafu yanakwenda kuweka mwanzo mpya kwa mfumo wa utumishi.
Wapo wenye dola watakaotumbuliwa na kukabidhiwa wengine wanaoendana na mahitaji ya sasa. Ni muda muafaka kwa wakuu wa...
Wasalaam ndugu zangu waswahili,
Leo nina hoja nzito saana upande wangu naomba tupeane ushauri mzuri tafwadhali... uki comment kebehi utalaaniwa immediately.
Ni hivi kwanza nini siri ya kufanikiwa katika maisha??
Binafsi nilikua na ndoto kubwa saana kiasi kilinisukuma kuset appointment ikulu...
Amemaliza form 4 na kapasi vizuri tu ana one, ni Ke. Anataka kwenda diploma kwenye kozi ya sekta ya afya. Anaomba ushauri wa kozi gani nzuri kati ya hizi
Ordinary Diploma in clinical medicine
Ordinary Diploma in Pharmaceutical sciences
Ordinary Diploma in medical laboratory sciences
Ordinary...
Huku kulaumu watu wa nje kwa matatizo ya sasa ya Afrika ni mawazo yaliyopitwa na wakati yasiyo na tija yoyote, yanahaitaji kukataliwa na kupuuzwa kabisa. Inasikitisha zaidi fikira hizi kuendelea kuwepo na kuaminiwa tena na vijana.
Chanzo kikuu cha umaskini wa Africa ya sasa ni utawala mbovu...
Tanzania Tuitakayo: Kuleta Mawazo Mbadala kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo
Tanzania, nchi iliyobarikiwa na rasilimali nyingi na utajiri wa tamaduni, inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo. Katika maono yetu ya Tanzania Tuitakayo, ni muhimu kuibua fikra...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.