Hatuna marafiki, bali tuna watu wakubadilishana nao mawazo tu

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,215
Reaction score
64,308
Wengi huwa tunajidanganya ya kuwa rafiki yangu ni fulani na fulani; ila kiukweli yule si rafiki bali ni mtu uliyemchagua tu ili kubadilishana naye mawazo.

Kwa umri wa chini ya miaka 40 ni vigumu kuukubali huu ukweli; kwa sababu ni kundi lililopo kwenye ujana na mitindo ya kisasa; ambalo ni kundi lenye marafiki wengi feki.

Kiuhalisia, rafiki atakuwa karibu na wewe hasa pale ndugu na jamaa watakapokugeuka, na atayabeba matatizo yako kama ni ya kwake.

Nawasilisha
​
 
Mbona siku nyingi wote tunajua hivyo?? Ina maana wewe ulikuwa hujui? Pole!
 
Wengi huwa tunajidanganya ya kuwa rafiki yangu ni fulani na fulani; ila kiukweli yule si rafiki bali ni mtu uliyemchagua tu ili kubadilishana naye mawazo.

Kwa umri wa chini ya miaka 40 ni vigumu kuukubali huu ukweli; kwa sababu ni kundi lililopo kwenye ujana na mitindo ya kisasa; ambalo ni kundi lenye marafiki wengi feki.

Kiuhalisia, rafiki atakuwa karibu na wewe hasa pale ndugu na jamaa watakapokugeuka, na atayabeba matatizo yako kama ni ya kwake.

Nawasilisha
​
Sitaki marafiki siwataki noo.
Sitaki wanafiki
Sitaki watu fake
Lalalalaaaaaah
 
Back
Top Bottom