mawazo

  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Yale mawazo mazuri unayofikiria kipindi huna hela ndo mambo ya kuyafanya

    Ukiona jambo una litamani kuliifanya kipindi umefulia jua ndo kazi yako biashara yako na your purpose nimaanisha ukilifanya Kwa moyo wote bila kurudi nyuma unatoboa na unaweza kufahamika duniani kote.
  2. Juma jaibu kuhanga

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mawazo yetu tanzania yetu

    Bungeni; Katika bunge la tanzania ni muhimu watu wenye mahitaji maalimu wangejumuishwa katika nafasi ya wabunge wa viti maalum hii itasaidia kuwepo kwa uhalisia wa mambo yao wanayowakabili katika jamii ingepeteza kama walemavu wa viongo, wasiona, viziwi, bubu na albino kila watu apo wangekuwa na...
  3. instagramer

    JamiiForums Tanzania Kama ningepata nafasi ya kuishauri Serikali kuhusu shule zake za mjini basi haya ndio mawazo yangu

    Habari Wadau Wa Jukwaa Hili... Kuweka kumbukumbu sawa, Mimi ni mmoja wa vijana wa kitanzania niliyesoma katika shule za Serikali kuanzia elimu ya msingi, sekondari mpaka chuo, hivyo mawazo nitakayotoa hapa yasiyafsirike kupinga shule za Serikali. Kwa muda mrefu nimekua nikiwaza namna ya...
  4. ABILITY_INK

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Natafuta marafiki wa kubadirisha mawazo. Jinsia yeyote muhimu siwe talkative kupititiliza.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kwenye tangazo hili

    Habari jamani kuna TANGAZO la kazi chuo kikuu huria Tanzania ( OUT). Sasa kwenye tangazo wamesema barua zote ziwe addressed na anwani yao Na tuombe kupitia ajira portal na imezoeleka ajira zinazo ombwa kwa ajira portal tunaweka address ya UTUMISHI
  6. Mzee wa Kosmos

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nguvu ya mawazo katika kuweka msingi na kujenga Tanzania ya baadaye

    Kila mtu anayezaliwa katika dunia yetu amekuja na akili ambayo ndani yake hakuna mawazo ya aina yoyote kuhusiana na maisha. Uelewa wetu tulionao kuhusiana na maisha ni matokeo ya mawazo ambayo tumeyapata kutoka kwenye mazingira yetu kupitia milango ya akili. Mawazo tunayapata kwenye mazingira...
  7. Tommy 911

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mawazo yenu, nina mpango wa kununua nazi kutoka Lindi au Mtwara kwa bei ya jumla na kuuza Dar

    Habarini Wana JF, Nimepata wazo la kununua nazi Jumla na KUUZA DAR. Mwenye uzoefu au kujua bei za usafiri na masoko yapoje kwa Dar naomba mawazo YENU. Mtaji laki tano
  8. I LOVE YOU DUCE

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada, naona msongo wa mawazo una ninyemelea

    Nadhani naingia kwenye msongo wa mawazo, nahitaji neno la faraja kwenu wa TANZANIA wenzangu, ndugu, kaka, dada, mama na baba zangu. Wakuu juzi, niliwashirikisha juu ya dhiki ya njaa Inavyotaka kuniua (mwezi wa nne sasa na kula mlo mmoja tu tena wakati wa usiku). Sasa hapa nimemaliza Kuweka...
  9. Meneja CoLtd

    JamiiForums Tanzania KWELI Msongo wa mawazo husababisha uwaraza

    Hivi karibuni kumezuka sintofahamu kwamba msongo wa mawazo husababisha matatizo ya kupungukiwa na nywele (uwaraza), je ni kweli?
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Video: Jengo la Ofisi ya Machinga Kilimanjaro

    Sikiliza, na tukutane tuujadili
  11. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Mawazo huru: Muungano wetu Upige hatua 1 mbele

    Katika hatua yakwanza tulifanikiwa kuiua na kuizika Tanganyika, safari hii tuiue na kuizika Zanzibar tubaki na Tanzania tu. Unguja na Pemba iwe mikoa, tuweke wakuu wa mikoa wawili kule, nchi iwe 1 tuendelee kuchapa kazi. Wafitini wasiopenda muungano wetu wakose hoja maana nchi itakuwa 1, Rais...
  12. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Je ulishawahi kukaa chini ukatulia ukaanza kuyasoma mawazo yako?

    Habari mdau. Je ulishawahi kukaa chini uka relax kisha ukaanzq kuyasoma mawazo yako? Mfano post zako za JF, nyuzi ulizo anzisha, post zako gacebook, instagram n.k za kuanzia miaka kumi mpaka sasa, je umegundua nini? Mimi nmegundua yafuatayo 1. Life la chuo ni kuvaa vizuri kuhudhuria events...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wazo la biashara ya 200k

    Salaam Wakuu mimi ni mwangalizi wa jumba la ndugu yangu, yeye yuko Texas-Huoston. Jumba ni kubwa sana na lipo maeneo ya watu wenye uwezo, ila ndani nipo mwenyewe Kwa nje ya geti kuna sehemu kubwa ya kufungua bzness na movement zpo kiasi Je, naweza weka kitu gani hapo..... mtaji ni 200k tu...
  14. Jackson H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawashwa uume nikishiriki mapenzi

    Naomba msaada wa mawazo au hata tiba. Inakuwaje pale ninapoingiza uume kwenye uke naanza kuwashwa mpaka naahirisha tendo la ndoa? Maana hali ni mbaya.
  15. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma PhD: naombeni mawazo yenu

    Wasalaam! Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye elimu ya degree mbili, bachelor of education na masters of public administration. Ila maisha yangu yote nimefanya kazi kwenye sekta ya elimu nilianza kama ticha baadae nikaamia kwenye development projects za education. Kwa sasa nipo free, nimepata...
  16. Mwangajamiitz

    JamiiForums Tanzania Mawazo Huru

    Huwa najiuliza kwanini Serikali Isingewaezesha Wa kulima kama vile kuwapatia Vifaa Vya kisasa Vya Kilimo kama Trekta, Mashine za umwagiliaji halafu kila mkulima Anapovuna Anatoa Asilimia Kumi tu ya mazao baáda ya Miaka mitano mkulima ataachiwa Vifaa hivyo. Na kila Serikali inapochukua...
  17. Research Consultant

    JamiiForums Tanzania Ndoto ambazo nimekuwa nikiziota kwa muda mrefu sasa na kiukweli zinanitesa sana

    Wasalaaaam Ndugu, jamaa na marafiki Naamini mpo salama na majukumu ya kujijenga kiuchumi na kijamii yanaendelea Mimi ni kijana niliyejiajiri, umri wangu naelekea katika third flow Nina ndoto ambazo nimekuwa nikiziota kwa muda mrefu sasa na kiukweli zinanitesa sana na zinaniumiza sana, Naomba...
  18. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo yenu wakina dada (hata wakina kaka mkichangia sio mbaya)

    Tuiangalie dhana ya 50/50 katika nyanja ya uchumi kwenye mahusiano. Hapo zamani mwanamke akupewa access yoyote kiuchumi kuanzia ajira, elimu, kumiliki mali, uongozi n.k katika hali kama iyo ni sharti ahudumiwe na mwanaume. Mwanamke hana ajira, hana makazi, hana mali sasa ataishi vipi lazima...
  19. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mawazo huleta uhalisia?

    Kuna msichana mmoja tulisoma wote nursery na primary! Nilikua nime crush kwake ila sikuwahi mwambia niliogopa itakua noma. Skuli za mission na mapenzi ni vitu viwili tofauti. Bahati mbaya wakahamia mkoa mwingine. So fast forward miaka imeenda ila mm nilikua kuna siku nashangaa namuwaza from no...
  20. haszu

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii inaweza fanya mtu ukawa na msongo wa mawazo.

    Wakati nawaza mshahara upaongezeka kidogo japo ufike laki 9 au milini 1, nakutana na post mtu anasema ukiwa na mshahara wa milion 1.5 hutoboi, 🙌🙌 Wakati naitafita miaka 35, sojawahi miliki gari chombo cha moto, kuna jamaa anasema kaagiza gari yake ya kwanza akiwa na miaka 22. Kuna jamaa...
Back
Top Bottom