Natumaini wote nyie ni wazima,
Well, naombeni mawazo yenu kwenye changamoto yangu hii ndogo, next week natarajia kuwa na kumbukizi yangu ya siku ya kuzaliwa
Nilipanga niende Zanzibar ila hii weekend nimewaza nikaona hakuna sababu ya kurudi kule na nilienda tu December hapo. Sasa basi, naombeni mawazo ni wapi unadhani ungeweza suggest mtu aende akatulize akili na kufurahia kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa.
Mimi niko Morogoro saivi ila i am ready to travel na mzigo upo, ni kwamba tu i am stacked, sijui where to go.?
Ruhusa nishapata kazini na pengine ningekuwa i am decided on where to be, ningekuwa nishafika huko ila nipo nipo tu hapa and i fear naweza nisiende kokote, nikabaki tu kwangu all week.
Karibuni wadau, mnipe mawazo.