UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 2,157
- 10,718
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Wakuu naomba kama kuna mtu anauelewa kuhusu kitu kinaitwa Chango/Mchango kinachowapata watoto wadogo anieleweshe maana nimebaki njia panda!
Shemeji/wifi yenu kanizalia kakijana ka kiume sasa tatizo kanasumbuliwa na hiyo kitu. Hospitali tushanunua dawa za kutosha lakini ni kama hazisaidii, nikashauriwa na watu kadhaa ya kwamba hiyo chango haitibiki hospitali,Je dawa yake ni ipi hasa?
Hivi hii kitu huwa ni kwa watoto wa Kiafrika tu au hata huko kwa watasha nako hali huwa ni kama hii?
Je, wenzetu watoto wao huwa wanawatibuje kama pia huwa wanapatwa na hali kama hii?
Majibu na miongozo yenu ni muhimu sana wakuu ili nimnusuru mwanangu!