mawazo

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya Prof. E Kezilahabi kuhusu siasa za Ujamaa

    Kezilahabi amekuwa ni msomi wa zile enzi za Vita baridi (Cold war) wakati ambao wasomi wengi wa afrika walikuwa upande wa UJAMAA, japo baadhi waliamini hawafungamani na upande wowote. Kutokana na vita ile vijana wengi wa Tanzania na wanaharakati wa enzi hizo walijivika ujamaa kiitikani kuanzia...
  2. idawa

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

    Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo...
  3. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Suala la kisera: Utashi wa kisiasa na mawazo ya umma vinapokutana, tatizo kubwa linalotukabili linaweza kupata ufumbuzi

    Kuna baadhi ya changamoto kubwa zinazotukabili ambazo, ili zipate ufumbuzi; inabidi ifike mahali maoni ya umma yakutane na utashi wa kisiasa na hapo jambo linaweza kutokea na kuleta mabadiliko makubwa. Moja ya changamoto tunayoweza kuizungumzia kwa leo ni; Suala la ukosefu wa ajira kwa vijana...
Back
Top Bottom