Kwanini Mawazo ya biashara kwa sisi Watanzania hufanana sana. Ni uvivu wa kufikiri?

KENGE 01

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
1,592
3,839
Anaandika Kenge

Kwanini mawazo ya biashara hasa kwa sisi fresh youth yanafanana sana? yani ukikamata vijana kumi wa kibongo ukawapa mtaji ukawaambia fanya biashara..Watakimbilia kufungua duka
Kuuza la Nguo
Kuuza Viatu
Kuuza simu,charger,Makava
kufuga kuku
kuuza Nafaka
KUuza Chakula,Vipodozi,Saluni n.k

Hakuna mtu kati yao atafanya kitu kipya kikakuimoress ata alietoa mtaji aseme hapa kweli nimewekeza kwa kichwa.
_d42df6c7-ac25-4e7d-aa54-69c763ba9233.jpeg

Hivi Ndo kusema mawazo yetu yameishia hapa au ndio kujificha kwenye ile sababu ya "TATIZO MTAJI"
_6bd6680a-7eec-4144-afab-7b1fb7b1ae0c.jpeg

OK!!Sikatai kuwa na wazo la kuuza nguo.Lakini jaribu kuwaza mbinu tofauti za kuuza nguo.
..Mfano
Mchina anatengeneza nguo pia lakini alipowaotea ni kwenye Custom logo yeye anatengeneza wewe unampa Logo yako anakuwekea Mzigo anakutumia..unakuza brand yako na Logo yako Taratibu..Mfano kina JUKSI na nguo za AFB B12 na Born2Shine..Fred na VUNJABEI(VB).Brand nyingi za nguo kama Essential hapa bongo nyingi ni fake mchina kaweka Logo na Ushamba wetu tunaona kuuza na kuvaa nguo latest zenye Logo kama Essential na Balanciaga au D&G,Nike,puma etc.THINK DIFFERENT,GROW RICH
Screenshot_20240115-132932_1.jpg

Haya Hizi biashara nyingine za Chakula badala ya kujipa stress na kuwaza kupangisha Fremu,Kulipa wafanya kazi..Kwanini mtu asiwaze njia mbadala.Food mobile truck.Unajichanga unanunua Truck yako ndogo unapika chakula unafanya packaging unalipia eneo town unatenga Truck yako unauza msosi.Kwani wote lazima muwe na mafremu?.THINK DIFFERENT
Screenshot_20240115-132443_1.jpg

ASilimia kubwa ya vijana kwasasa uhisi kulewa ndio ujanja.Bar bubu zinaongezeka kila uchwao.Mikoa ya pwani Joto ni kubwa Maji yanauzwa kwa sana kwanini Asitokee kijana akawaza kununua Vending Machine? Wala sio garama kama tunavyodhani..Na ni rahisi kabisa kutumia..Unakuta Jitu linawaza kufungua au linamiliki Bar limeweka Dubu(Mashine la kamari) halafu jitu limeshindwa kujiongeza kuweka Vending machine wakati zote zinafanya kazi sawa.Ni kukosa exposure au Tatizo nini haswa?Vending Zipo chache sana Bongo na wala hazihitaji usimamizi mkubwaa.Think different.
Screenshot_20240115-133114_1.jpg

Wadada mnaowaza kuuza mavipodozi kwanini usiwaze kuwa na brand yako ya vipodozi..Mchina anakufanyia packaging anakuwekea Logo yako unauza huku unakuza brand yako.sabunizperfume n.k
THink different.
Screenshot_20240115-133228_1.jpg

Changamoto zipo na hazikwepeki.Lakini mambo ya kutoautisha Biashara yanakwepeka Aisee unakuta Fremu kama Nane zote wanauza Bidhaa aina moja.Hapo lazima kuwe na unafiki,Kurogana,Fitna majungu n.k.Sasa kwanini usije na wazo lako jipya na biashara unique?

Jamaa mmoja niliona analalamika anauza Nguo Morogoro na mzigo hauendi kabisaa moaka anajikuta anakula mtaji..wakamshauri abadili location..Aisee hata ubadili location wauza nguo wamekuwa wengi mno kuliko wavaaji..Mwingine analalamika Bodaboda hapati kitu na mkataba umekaribia kuisha..wakamshauri badili location..Aisee ukweli ni kwamba Boda wamekuwa wengi mnoo hata ubadili location kila mtaa kila kata kila wilaya kuna Bodaboda..kiasi kwamba ukitoka tu getini macho ya boda yote kwako..kwanini kijana usiwaze biashara Mpya na unique?

THINK DIFFERENT,GROW RICH

Nawasilisha
 
Unazungumzia Uniqu Ideas je mahitaji ya binadamu yamebadilika nakua Unique, mahitaji ni yaleyale ya kilasiku na hizo Everyday business ndio sisi watu tunatumia pesa.

Nikiamka asubui lazima nipande GARI sio DRONE, nikiwa job lazima nikale Wali (mama ntilie) what unique to give me food, nikila nanunua Juisi sihitaji Vending machine, nanunua Bando kuingia JF nimeuziwa na Mangi Kiduka.

Unique haina maana...Mosi.

Pili, Mtaji huezi fikiri kuleta kipya kwa mtaji wa Million 3 lazima ufanye cha kilasiku ndio kikupe pesa ya kuanzisha kipya, hapa nazungumzia Real Business kama kuanzisha Marketing Agencies, Fintech Startup nk hizi ndio idea nilitegemea nizione japonica zinahitaji mtaji ila wewe umeandika Vending Machine ipi potential ya Vending Machine nk
 
Mtaji wa kununua Boda na kuuza nguo unaweza leta kitu unique kabisaa..Na sio unique kwamba ni mpyaa...Nimesema unaweza kuongeza ubunifu ukafanya Tofauti..Nimekupa mfano Jux,B12 wanauza Tshirt zilezile isipokua zinabrand zao za B2S na AFB
 
Twende taratibu, bodaboda Million 2 so unaweza enda China kuchapa T-shirt kama za JUX ukaja kuuza Tz kwa hio pesa...Mosi.

Pili je unajua kwanini JUX anaweza kuuza hizo T-shirt yeye ana Authority behind, wewe na Million 2 yako na si maarufu huezi kuuza hizo T-shirt kamwe.

Wewe inaonesha ndio ukipewa hio Million 2 week tu ushachoma ila atakayefungu Tigopesa atakuwa na Cashflow ya kueleweka.
 
Jamaa ana point ila bado hajajua kwanini tunafanya hivo,
Mtu mwenye 100M hafungui duka la nguo,
Ila hii mitaji yetu ya 1-5M ndo tunafanya hizi kazi,

Ila anachosema ni kweli, ubunifu unahitajika zaidi, ila so far m naona vijana wanajitahid, mfano ni yeye hapo kaleta mifani ya vijana wa bongo kuonesha walivyo wabunifu
 
Nadhani ishu ni ubunifu hapa na kujiongeza a little bit (kama mtaani wanavyosema). Biashara hizi hizi kama tukiwa na jicho la kuona kitu cha pekee (kua mbunifu) basi tutatoboa.
Naunga mkono hoja
 
Twende taratibu, bodaboda Million 2 so unaweza enda China kuchapa T-shirt kama za JUX ukaja kuuza Tz kwa hio pesa...Mosi.

Pili je unajua kwanini JUX anaweza kuuza hizo T-shirt yeye ana Authority behind, wewe na Million 2 yako na si maarufu huezi kuuza hizo T-shirt kamwe.

Wewe inaonesha ndio ukipewa hio Million 2 week tu ushachoma ila atakayefungu Tigopesa atakuwa na Cashflow ya kueleweka.
1M au 2M ni mtaji unajitosheleza kabisaa kufanya biashara kimtindo wako..Acha kuwaza wakala kila kona unakutana na wakala..Acha kuwaza Bodaboda..Think different
 
Jamaa ana point ila bado hajajua kwanini tunafanya hivo,
Mtu mwenye 100M hafungui duka la nguo,
Ila hii mitaji yetu ya 1-5M ndo tunafanya hizi kazi,

Ila anachosema ni kweli, ubunifu unahitajika zaidi, ila so far m naona vijana wanajitahid, mfano ni yeye hapo kaleta mifani ya vijana wa bongo kuonesha walivyo wabunifu
Kama milion 100 utafanyia kitu gani?
 
Tuludi kwanza darasani..

Mention four causes of poverty in thirds world countries.

= Poor infrastructure
= Poor government support (poor government policy)
=Poor education system
=Poor believes etc.
 
Anaandika Kenge

Kwanini mawazo ya biashara hasa kwa sisi fresh youth yanafanana sana? yani ukikamata vijana kumi wa kibongo ukawapa mtaji ukawaambia fanya biashara..Watakimbilia kufungua duka
Kuuza la Nguo
Kuuza Viatu
Kuuza simu,charger,Makava
kufuga kuku
kuuza Nafaka
KUuza Chakula,Vipodozi,Saluni n.k

Hakuna mtu kati yao atafanya kitu kipya kikakuimoress ata alietoa mtaji aseme hapa kweli nimewekeza kwa kichwa.
View attachment 2872476
Hivi Ndo kusema mawazo yetu yameishia hapa au ndio kujificha kwenye ile sababu ya "TATIZO MTAJI"
View attachment 2872474
OK!!Sikatai kuwa na wazo la kuuza nguo.Lakini jaribu kuwaza mbinu tofauti za kuuza nguo.
..Mfano
Mchina anatengeneza nguo pia lakini alipowaotea ni kwenye Custom logo yeye anatengeneza wewe unampa Logo yako anakuwekea Mzigo anakutumia..unakuza brand yako na Logo yako Taratibu..Mfano kina JUKSI na nguo za AFB B12 na Born2Shine..Fred na VUNJABEI(VB).Brand nyingi za nguo kama Essential hapa bongo nyingi ni fake mchina kaweka Logo na Ushamba wetu tunaona kuuza na kuvaa nguo latest zenye Logo kama Essential na Balanciaga au D&G,Nike,puma etc.THINK DIFFERENT,GROW RICH
View attachment 2872468
Haya Hizi biashara nyingine za Chakula badala ya kujipa stress na kuwaza kupangisha Fremu,Kulipa wafanya kazi..Kwanini mtu asiwaze njia mbadala.Food mobile truck.Unajichanga unanunua Truck yako ndogo unapika chakula unafanya packaging unalipia eneo town unatenga Truck yako unauza msosi.Kwani wote lazima muwe na mafremu?.THINK DIFFERENT
View attachment 2872478

ASilimia kubwa ya vijana kwasasa uhisi kulewa ndio ujanja.Bar bubu zinaongezeka kila uchwao.Mikoa ya pwani Joto ni kubwa Maji yanauzwa kwa sana kwanini Asitokee kijana akawaza kununua Vending Machine? Wala sio garama kama tunavyodhani..Na ni rahisi kabisa kutumia..Unakuta Jitu linawaza kufungua au linamiliki Bar limeweka Dubu(Mashine la kamari) halafu jitu limeshindwa kujiongeza kuweka Vending machine wakati zote zinafanya kazi sawa.Ni kukosa exposure au Tatizo nini haswa?Vending Zipo chache sana Bongo na wala hazihitaji usimamizi mkubwaa.Think different.
View attachment 2872479
Wadada mnaowaza kuuza mavipodozi kwanini usiwaze kuwa na brand yako ya vipodozi..Mchina anakufanyia packaging anakuwekea Logo yako unauza huku unakuza brand yako.sabunizperfume n.k
THink different.
View attachment 2872481
Changamoto zipo na hazikwepeki.Lakini mambo ya kutoautisha Biashara yanakwepeka Aisee unakuta Fremu kama Nane zote wanauza Bidhaa aina moja.Hapo lazima kuwe na unafiki,Kurogana,Fitna majungu n.k.Sasa kwanini usije na wazo lako jipya na biashara unique?

Jamaa mmoja niliona analalamika anauza Nguo Morogoro na mzigo hauendi kabisaa moaka anajikuta anakula mtaji..wakamshauri abadili location..Aisee hata ubadili location wauza nguo wamekuwa wengi mno kuliko wavaaji..Mwingine analalamika Bodaboda hapati kitu na mkataba umekaribia kuisha..wakamshauri badili location..Aisee ukweli ni kwamba Boda wamekuwa wengi mnoo hata ubadili location kila mtaa kila kata kila wilaya kuna Bodaboda..kiasi kwamba ukitoka tu getini macho ya boda yote kwako..kwanini kijana usiwaze biashara Mpya na unique?

THINK DIFFERENT,GROW RICH

Nawasilisha

Unaelekeza sawa shida una hasira sana !! toa elimu lakin usilazmishe idea zako!!

Isipowalipa huwez wafidishia
 
Anza wewe tukuone
 
Hakuna biashara nazichukia kama za uchuuzi.

Mtoa mada yupo sahihi ila kosa lake ni kwamba hajasema tufanye nini instead
Rudia kusoma Uzi
Kuna vitu unique mfano
3D printer..Sio ya makaratasi.ya Kuprint vitu vya plastic kama Sahani,Midoli,,kacha..Sasa unaprint kwa nembo ya Simba,Yanga,Man U,Bendera ya TZ bado hujauza apo?
 
Tuludi kwanza darasani..

Mention four causes of poverty in thirds world countries.

= Poor infrastructure
= Poor government support (poor government policy)
=Poor education system
=Poor believes etc.
.
 
Back
Top Bottom