maua

  1. Raymanu KE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu jamaa apewe maua Yake

    Sikiliza jamaa alivyokataa mbususu😂😂
  2. B

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Serikali itakuwa inasema uongo wananchi hawajahi kutoa maoni kuhusu Mikataba ya HGA

    Mapambano na CCM hayataki lelemama. Ni Kwa maneno, mwonekano au vitendo? Hakupaswi kuwapo shaka popote. "Ni Mwabukusi, Mdude, Madeleka, Lissu, Slaa, Mwamakula, Ponda, au wa namma hiyo?" Wapi lugha zao zikabadilika? Wapi wasiwepo kwenye mstari wa moto? Wapi wakatishika? Wapi wakaghairi kwenye...
  3. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Maua Sama ajitokeza hadharani kuongeza matiti Mloganzila

    Baada ya mashabiki kumsakama kwa muda mrefu kuhusu muonekano wake na sura kiujumla, mwanamuziki kutoka Tanzania House Of Talent (THT) Maua Sama aonesha niya yake ya dhati kuhusu kubadili muonekano wake. Hii si mara ya kwanza kwa Maua kutaka kubadili muonekano wake ila inaonesha kilichokuwa...
  4. Elon J

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kwa mahitaji ya miche ya matunda, miti, maua mbalimbali na majani ya kupanda tuone Dani Garden

    Mvua ndio hizo wadau, usiache shamba lako au nyumba yako ikae kinyonge tuone ''DANI GARDEN" Tunauza Miche mbalimbali ya matunda kama miembe, mipera, michungwa, milimao, ndimu n.k yote imefanyiwa budding( ya muda mfupi). Pia tunauza MAUA mbalimbali yakupendezesha nyumba yko bila kisahau miti...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mliojenga shikeni Maua yenu!

    Habari wanajf kwa ujumla,wakubwa shikamoo,wenzangu na mie mambo vipi poa,wadogo zangu,marahaba.Nimekuwa nikifuatilia sana mambo mbalimbali yanayohusu ujenzi na ushauri unaotolew kwa kweli!Nimeamini ndo maana wenye nyumba wanakuwa wakali!Ukiwacheleweshea kodi yao.Maana uhalisi wa makisio na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Maua yaliyopo mkabala na Mmawasiliano Tower na Hosteli za Magufuli yapunguzwe

    Hope Nyerere Day inakwenda vizuri kwa wahangaikaji juani kama mimi na mliopo majumbani kama siku ya mapumziko. Nmepita barabara ya mwenge ubungo leo,hapa mkabara na mawasiliano tower na hostel za magufuli maua haya sasa yamekuwa syo maua tena bali yamekuwa marefu kwenda juu na chini yameziba...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Yanga wapewe maua yao kwenye kitengo cha Habari lakini tovuti rasmi ni kituko, imekachwa, ina muonekano kama blog za udaku. Mtutolee hii aibu

    Ni kweli Yanga ndio walikuwa na tovuti mapema zaidi kuanzia mwaka 2012 tofauti na Simba walioanza kuwa na tovuti mwaka 2019 lakini kinachoendelea kwenye tovuti ya Yanga ni aibu na wala hakiendani na uzito wa idara ya habari inayofanya makubwa kwenye mitandao ya kijamii. Daima mbele nyuma mwiko...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Moto Kariakoo 01 Okt 2023: Tuwape maua yao vijana mateja wa jangwani. Wamejitoa mhanga kufanya uokozi

    Nawapa pole nyingi sana kwa Watanzania wote walioathirika na moto mkubwa uliozuka Kariakoo alfajiri tarehe ya leo. Bado Tanzania ina tatizo kubwa kwenye sekta ya uokozi wa majanga. Ketengo hiki kipo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu na huwa kinatengewa bajeti kupitia Bunge letu. Tanzania chini ya...
  9. ipyax

    JamiiForums Tanzania Appy apewe maua yake

    Huyu msanii wa kike anajua sana kuimba kuliko wasanii karibia walio juu kwenye chart za mziki Tanzania. Natumai atapata push ya kutosha kwenye industry ili aweze kufikia level anayostahili kutokana na kipaji chake💸💸. Hizi ni baadhi ya ngoma zake kali, haimbi chapati☺️🫡. Tumpe support ya...
  10. mwarabu feki

    JamiiForums Tanzania Kauli ipi yenye uzito kati ya Adeni Rage na Haji Manara?

    Ifikie hatua ukweli ujulikane, Hivi kauli ipi kati ya hizi mbili iliyokuwa ikiashiria ukweli ndani yake? Tuanze na Haji Sunday Manara, huyu akiwa afisa habari wa klabu ya Simba Kwa wakati huo aliwahi kunukuliwa akiwadhihaki mashabiki wa Yanga kwa kusema kule Yanga wenye Akili ni watu wawili tu...
  11. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Bingwa wa CAF Super Cup katokea kombe la shirikisho ni ujumbe tosha ya kwamba Yanga wapewe maua yao

    Ni muendelezo wa kuwafunga midomo wale wote waliokuwa wanabwata ya kwamba kombe la shirikisho lilikuwa na timu dhaifu, kwa walioangalia mpira wa Al ahly na USM alger atakubaliana na mimi ya kwamba yanga alicheza fainali na timu bora barani afrika kwa sasa. Pamoja na yanga kukutana na timu bora...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kwa wimbo huu wa mbilia Bel 'paka wewe' wakongo wapewe maua yao

    Muda wa kupumzika tupunguze stress Kisha tuamke nazo tena kesho asubuhi. Nimekoma baada ya kusikia hiki kibao cha mkongwe mbilia bell nawanyoshea mikono juu wakongo wote. Ni kibao cha zamani lkn matata sana mpiga solo abebwe juu ashangiliwe sijui jina nani kaliungurumisha Solo vinginevyo...
  13. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za Oraimo zipewe maua yake

    Oraimo ni brand ya mchina lakini mchina anayejielewa. Bidhaa zake huwa ni imara sana, kuanzia Charger, USB Cables, Ear Pods, Power Banks nk Kwasisi watu wa kipato cha kati hizi bidhaa zake zinatufaa sana, nina charger tangu 2019 haijawahi kuharibika! Bidhaa za Oraimo ni imara na zinapatikana...
  14. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Niwape maua yenu Wasabato, mnajua kuimba nyimbo za dini

    Kwanza kabisa mwanzo wa yote wacha niweke msimamo wangu kuwa mimi sio mtu wa dini yoyote(sina dini). Turudi kwenye dhumuni la uzi huu ambalo ni kuwapa pongezi zao Seventh Day Adventist(SDA) kwa namna ambavyo ni mafundi haswa wa kuimba nyimbo za dini mpaka mtu ana burudika haswa. Mimi ni mpenzi...
  15. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

    Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho! Tundu Lissu...
  16. Msanii

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Bunge la JMT chukueni maua yenu

    Nimefanikiwa kutembelea Bunge letu hivi karibuni wakati vikao vinaendelea. Nilikuwa na issue ya kiofisi, niwaambie Watanzania wenzangu. Ofisi za Bunge la Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa ofisi zote za Umma nchini. Kuanzia mapokezi hadi huduma unazopewa pale unapata uthubutu wa kujivunia Bunge...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Watanzania waliosimama kupinga uwekezaji wa DP World; tuwataje historia iwahukumu au kuwapa maua yao

    Nawiwa kuweka hapa kumbukumbu za wote waliotetea na kupinga kwa nguvu zote uuzwaji wa bandari. Majina yao yakiwa hapa yatasaidia waandishi wa vitabu na makala kwa siku zijazo kupata refference na kuona kama maono yao ya kupinga yalikuwa sahihi au hayakuwa sahihi. Naomba nianze kuwataja wachache...
  18. Mchapakazihalisi

    JamiiForums Tanzania Mbodo: Dkt. Samia apewe maua yake

    Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bw. Macrice Mbodo amewasilisha taarifa ya utendaji sambamba na mafanikio ya Shirika la Posta kwa mwaka wa fedha 2022/23 ambapo katika taarifa hiyo ameeleza juhudi mbalimbali zinazofanywa na Serikali ya Tanzania katika kukuza Sekta ya Posta nchini...
  19. Mi Cielo

    JamiiForums Tanzania Wanawake tunaojilipia wenyewe kila kitu tupeni maua yetu

    Tupeni tu maua yetu kwakweli, halafu muache kukariri kwamba mwanamke yoyote ni lazima kuna mwanaume nyuma anamsaidia tu, kuna wengi tu wanajihudumia wenyewe kwa kila kitu wapeni maua yao aisee.
  20. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Mnaosomesha watoto English Medium pokeeni maua yenu

    Watu wengi hawafahamu kwanini wanapeleka watoto wao English Medium, wengi wanaamini ni sehem sahihi ya kupata elimu nzuri, ama kwavile mtu unapesa acha uwaoneshe watu anazo kwa kupeleka watoto wake shule hizo. Sababu kuu ni moja tu ambayo sitakaa niisahau, katika harakati zangu kipindi natoka...
Back
Top Bottom