maua

  1. Marco Polo

    JamiiForums Tanzania Msisubiri mpaka huyu kijana afe ndio mumpe maua yake

    Anaitwa Beka flavor zao la yamoto band walimokuwemo Mboso, Aslay na wengineo. Kijana anauwezo mkubwa sana wa kuimba japo mafanikio aliyonayo kimziki hayalingani na kazi kubwa anayoifanya, nimepewa lift na Mwana naisikilza Ngoma yake ya NAKUPENDA hakika ni nzuri mno. Dogo mziki unaujua hongera...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nampa maua yake DTO wa Korogwe ila Kampuni ya BM ijitafakari kuhusu huduma zao

    Basi tulilolitumia ambalo lilikwama njiani tukasaidiwa na RTO (Regional Traffic Officers) Nikiwa mmoja wa Wasafiri katika Basi la BM, tukitoka Dar kuelekea Arusha, ambapo liliondoka Dara majira ya Saa Nane Mchana jana Mei 19, 2024, tulikutana na changamoto ya kiufundi njiani. Picha linaanza...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Mushi wa Ilboru apewe maua yake “Nishani ya kitaifa”

    Kwa mawazo yangu kati ya walimu wakuu ambao wanahitaji nishani za kitaifa ni Mwalimu mkuu wa zamani wa Ilboru. Huyu ndiyo alifanya Ilboru kuwa shule ambayo kwa miaka yote ni ya kipekee kwa kutoa madaktari wengi, wanasheria wengi na vipaji vya juu sana hapa nchini kwetu. Kila nchi nilienda watoto...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mwaka wa nne huu naishi Mbeya, Wanyakyusa nawapa maua yenu japo mna mapungufu machache

    Kwanza kabisa ieleweke mkoa wa Mbeya kuna makabila mengine kama wasafwa, wandali, wamalila, n.k. Ila wageni wengi huwa tumekariri wanyakyusa sababu ndio main tribe kwa kigezo cha umaarufu, mifano mingine Ruvuma main tribe ni wangoni ila kuna wamatengo, Mara main tribe ni Wakurya ila kuna wajita...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tunaelewa kwanini Mwigulu ana hasira na Magufuli hadi leo, na hadi sasa anatoa kauli hasi dhidi yake, na kumwaga maua kwa wingi!

    Tuongee peupe leo, uwazi na ukweli. Mtu yeyote makini atagundua kwamba karibu kila kauli anazotoa Mwigulu zinalenga kutaka kuonyesha Raisi Samia ni bora sana kuliko alivyokuwa Raisi Magufuli. Tunakiri kwamba kuna baadhi ya mambo Raisi Samia ni bora kuliko alivyokuwa Raisi Magufuli, lakini tuseme...
  6. K

    JamiiForums Tanzania KWELI Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua au matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina unaacha kudondosha

    Mti wa matunda ukiwa unadondosha maua na matunda mapema, ukiupigilia msumari kwenye shina haudondoshi Uvumi huo ukweli wake ukoje?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Wazungu wapewe maua yao na si lawama, Utumwa ulikuwepo Dunia nzima, Wao ndio walikuwa wa kwanza kuanzisha harakati za kuufuta

    Tunaanza na hapa kwetu Afrika, utumwa ulikuwepo hata kabla ya waarabu na wazungu kuja, hapo badae soko la watumwa wa kiafrika lilikuwa kubwa na kutufanya sisi kwa sisi waafrika tuanze kuuzana kwa wageni, hivyo nasi tulishiriki kwa kiasi kikubwa sana kwenye utumwa Warabu walikuwa na watumwa na...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nani apewe maua yake kwa review kali za magari: Abel Shoo wa east cars, Dr. Mechanics, Mshana Jr au Samatimes

    Nani apewe maua yake kwa review kali za magari: Abel Shoo wa East cars, dr.Mechanics, Mshana jr, Samatimes
  9. K

    JamiiForums Tanzania Maua yangu kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Cuthbert Sendiga, apige kazi

    Kipindi Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kinamuunga mkono na kumuita Mgombea wake wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Queen Cuthbert Sendiga akitambulika pia kwa jina la ‘Mama wa Taifa’, kuna baadhi ya Watanzania hawakuelewa dhana ya chama hicho. Moja kati ya...
  10. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwanahabari za uchunguzi apewe maua yake

  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ni lini Diamond atapewa maua yake?

    Mtampa lini Diamond Platnumz heshima yake kwa kile alichokifanya kuwainua Harmonize na Rayvanny wakati wao wameshindwa kabisa kuwainua wengine kwenye lebo zao. WCB ndio lebo pekee iliyofanikiwa kupelekea wasanii International na kujulikana... Leo hii ukimzungumzia Zuchu, ni msanii...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kwenye Sekta ya Afya Rais Dr. Hussein Mwinyi amefanya Mageuzi, tumpe maua yake

    Ndio ni mageuzi kwani hatua alizochukua hazikuwahi kufanyika hapo nyuma ama kama zilifanyika basi zilikiwa kwa kiwango kidogo. Dr. Hussein Ali Mwinyi ni Daktari kitaaluma yaani Dakatari wa Binadamu. Tangu ameingia Madarakani Zanzibar kama Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Admin wa Mashujaa FC yuko ni mbunifu kuliko Maadmin wa Social Media zote za michezo nchini, tumpe maua yake

    Tumewafikia wachimba dhahabu
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Ramadhan Brothers tunawasubiri tuwape Maua yenu

    Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa, amewapongeza vijana wanaounda kundi la Ramadhan Brothers baada ya kujinyakulia ushindi kwenye mashindano ya AGT 'America’s Got Talent Fantasy League'. Msigwa ametoa pongezi hizo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii na ameahidi kuwa...
  15. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Ukiweza kufanikiwa Joburg basi wewe ni Mpambananji na unatakiwa upewe maua yako

    Tanzania watu wanaoshi kwemye comfort zone huo ndo ukweli ukitembea ndo utaelewa watu wako kwenye comfort zone Ni kawaida Tanzania kupita na kukuta watu wapo kwenye vijiwe vya kahawa au shoe shine mda wa kazi wanabishania yanga na simba au mambo ya siasa, Tanzania mtu anaweza asiwe anafanya...
  16. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Tumpe nani maua yake kati ya Steve Mweusi ama Kicheche?

    Maalumu kwa fans wa Ucheshi. Picha zao hizi hapa
  17. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Tumpe nani maua yake kati ya Mercy Chinwo ama Ada Ehi?

    Picha za kusindikizia uzi hizi hapa Uzi tayari! N.B: Ningekuwa na uwezo mkubwa sana ningelimuoa Ada Ehi kuliko hiki kimbemberuka nilichonacho
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Maringo, Kawe kuna wenzetu wanaziba mitaro ya barabarani kwa viroba ili wapate maji ya kumwagilia maua

    Eneo la Kawe katika Kituo cha Daladala cha Maringo kuna hali ambayo imekuwa ikinikera kwa muda mrefu, mitaro inayopotisha maji inazibwa kwa makusudu kwa kutumia viroba na vijana wanaofanya biashara ya kuuza maua ‘original’, yaani yale maua halisi, wanafanya hivyo ili wapate maji ya kumwagilia...
  19. J

    JamiiForums Tanzania RC Sendiga, azindua kampeni "Mpe maua, atabasamu asome kifalme

    John Walter-Manyara Kampeni Mpe Maua atabasamu asome kifalme imezinduliwa wilayani Simanjiro mkoani Manyara. Kampeni hiyo inalenga kuboresha sekta ya Elimu mkoani humo ikiwa ni adhma ya serikali ya awamu ya sita kila mtoto apate elimu ambapo Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameelekeza elimu ya...
  20. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Mwamposa apewe maua yake

    Heshima kwenu wanabodi.. Jana wakati nasubiri kuupokea mwaka mpya nilikuwa nimetulia tu nyumbani nikiwa nawatch kideo. Baada ya kuunglia chanel kadhaa ndio nikakutana na mkesha wa kihistoria wa Boniphace Mwamposa, chuma kilikuwa kinaunguruma kutoa viwanja vya Tanganyika Packers Kawe. Aisee...
Back
Top Bottom