maua

  1. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Niwape maua yenu Wasabato, mnajua kuimba nyimbo za dini

    Kwanza kabisa mwanzo wa yote wacha niweke msimamo wangu kuwa mimi sio mtu wa dini yoyote(sina dini). Turudi kwenye dhumuni la uzi huu ambalo ni kuwapa pongezi zao Seventh Day Adventist(SDA) kwa namna ambavyo ni mafundi haswa wa kuimba nyimbo za dini mpaka mtu ana burudika haswa. Mimi ni mpenzi...
  2. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

    Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho! Tundu Lissu...
  3. Msanii

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Bunge la JMT chukueni maua yenu

    Nimefanikiwa kutembelea Bunge letu hivi karibuni wakati vikao vinaendelea. Nilikuwa na issue ya kiofisi, niwaambie Watanzania wenzangu. Ofisi za Bunge la Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa ofisi zote za Umma nchini. Kuanzia mapokezi hadi huduma unazopewa pale unapata uthubutu wa kujivunia Bunge...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Watanzania waliosimama kupinga uwekezaji wa DP World; tuwataje historia iwahukumu au kuwapa maua yao

    Nawiwa kuweka hapa kumbukumbu za wote waliotetea na kupinga kwa nguvu zote uuzwaji wa bandari. Majina yao yakiwa hapa yatasaidia waandishi wa vitabu na makala kwa siku zijazo kupata refference na kuona kama maono yao ya kupinga yalikuwa sahihi au hayakuwa sahihi. Naomba nianze kuwataja wachache...
  5. Mchapakazihalisi

    JamiiForums Tanzania Mbodo: Dkt. Samia apewe maua yake

    Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bw. Macrice Mbodo amewasilisha taarifa ya utendaji sambamba na mafanikio ya Shirika la Posta kwa mwaka wa fedha 2022/23 ambapo katika taarifa hiyo ameeleza juhudi mbalimbali zinazofanywa na Serikali ya Tanzania katika kukuza Sekta ya Posta nchini...
  6. Mi Cielo

    JamiiForums Tanzania Wanawake tunaojilipia wenyewe kila kitu tupeni maua yetu

    Tupeni tu maua yetu kwakweli, halafu muache kukariri kwamba mwanamke yoyote ni lazima kuna mwanaume nyuma anamsaidia tu, kuna wengi tu wanajihudumia wenyewe kwa kila kitu wapeni maua yao aisee.
  7. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Mnaosomesha watoto English Medium pokeeni maua yenu

    Watu wengi hawafahamu kwanini wanapeleka watoto wao English Medium, wengi wanaamini ni sehem sahihi ya kupata elimu nzuri, ama kwavile mtu unapesa acha uwaoneshe watu anazo kwa kupeleka watoto wake shule hizo. Sababu kuu ni moja tu ambayo sitakaa niisahau, katika harakati zangu kipindi natoka...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi watahadharishwa upandaji maua kiholela, yaelezwa kuna maua yenye sumu

    Msimamizi wa kituo cha Taifa cha kudhibiti matukio ya Sumu (NPCC) iliyopo katika Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali(GCLA) Yohana Goshashy ametahadharisha jamii kuacha kupanda maua majumbani kiholela badala wake wawaone wataalamu ili aweze kuwaonesha maua ambayo hayana madhara. Wakati wa...
  9. Elon J

    JamiiForums Tanzania Nay na Roma wapewe maua yao

    Hawa jamaa wamejitoa mhanga haswa maana kwa Africa ukiwa mkweli wewe ni adui. Hawa jamaa wamekuwa wakweli sana katika kufumua maovu na uchafu unaifanywa na hawa wachumia tumbo. Hio ndio maana halisi ya sanaa. Wakati wasanii wengine wamegeuka machawa. But Africa ukijifanya mtetezi wa wanyonge...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nay wa Mitego na Ukweli mchungu dhidi ya serikali ya Rais Samia na CCM yao

    Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti. Ney wa Mitego, amerudi tena na ukweli mchungu, mtegee sikio kwa dakika 5 ameongea mengi ambayo hakuna kiongozi atafurahia maana...
  11. Msanii

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apewe maua yake kwa uthubutu wa kutatatua mkwamo wa jirani zetu Kenya

    Nimesikiliza kupitia BBC na VOA taarifa kuwa Rais Samia alisafiri kwenda Nairobi kwa minajili ya kuwapatanisha mahasimu wa siasa za Kenya ambao ni Rais Ruto na Raila Odinga. Sijajua undani kama alikwenda au la lakini iwapo ni kweli alikwenda Nairobi basi hatuna budi kumpongeza Rais Samia...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Igunga: Tarafa ya Ugurubi mpewe maua yenu

    Tulianza Ziara ya Kikazi kwenye Vijiji na Vitongoji vya Tarafa ya Igurubi tarehe 10 Julai, 2023. Tumefanya Mikutano Thelathini na Sita (36) Tumeongea na Wananchi, Tumesikiliza kero na kuzipatia ufumbuzi. Baadhi ya kero zinaenda kwenye utaratibu wa kiserikali kupatiwa ufumbuzi. Mmetupa...
  13. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Leo tuwape Mods na Kiongozi Melo maua yao. Mod gani anakukosha? Alifanya kitu gani ukafurahia uwepo wako JF?

    Wakuu kwema? Mada inajieleza kabisa hapo. Leo ni tuwape Mods wa JF pamoja na Muanzilishi wa JF, kioo cha wengi Bwana Maxence Melo maua yao. Sema jinsi Mods na Melo wanavyosaida siku yako iwe nzuri kila unapoingia JF. Ulifanyiwa kitu gani kikakupendeza mpaka ukatamani uwatoe hata ka ofa ka...
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Usiku kama mchana tu, mnaopiga kazi usiku kulijenga taifa pokeeni maua yenu

    Wale ambao usiku hatulali kama popo ambao kwetu usiku ni kama mchana tu tujuane hapa, Mimi napiga mishe zangu usiku yaani full kuingiza maokoto, wakati wengine wamelala mie napiga mzigo huku naperuzi zangu Jamiiforums inipe kampani. Njoo tupige stori kuusindikiza usiku wetu
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Malawi hayati Kamuzu Banda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amezuru na kuweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Malawi, Hayati Kamuzu Banda Nchini Malawi.
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Whistler blowers wa Bandari wapewe Maua Yao

    Picha lilianza pale mkataba ulipovuja, mamlaka hazikutegemea ..Jambo kama hili. Hata kama lingepekekwa bungeni Hakuna amabaye angeuona huo mkataba. Tungekuja kugundua after 5 or 10 years Later kwambia hawa waarabu wamekuja kuishi Tanzania ... Mnategemea Samia ajitokeze aongelee Nini Jambo la...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Jaji Mugasha Apewe Maua Yake Kupinga Uvunjifu wa Katiba Ukomo wa CJ, ila Mbona Hili ni Dogo Tuu, Kubwa ni Katiba Yetu Imenajisiwa! Why Wako Kimya?!.

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Makala ya leo ni pongezi kwa Jaji Stella Mugasha wa Mahakama ya Rufani Tanzania, kusimama kidete, kupinga uvunjifu wa katiba uliofanywa na Rais wa JMT, kumuongezea muda wa kuhudumu katika nafasi ya...
  18. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Jaji Stela Esther Augustine Mugasha kama kajitoa mhanga, kwa mifumo yetu atadumu?

    Namuona mama (pichani chini) anatrend sana, nadhani ni kutokana na barua yake ya kukataa kuungana na walio wachache juu ya 'anachosema' dhuluma kwa watanzania. Nimesoma sehemu ndogo sana ya barua yake hapo chini, mama yetu huyu sijui ni Msabato kaona liwalo na liwe, hataki hukumu ije mbele...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mhe. Kwagilwa Nhamanilo - Mama Samia Suluhu Hassan Apewe Maua Yake

    MHE. KWAGILWA NHAMANILO ASEMA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN APEWE MAUA YAKE "Niendelee kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Amir Jeshi Mkuu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi kwa uongozi wake bora na thabiti wenye mafanikio makubwa...
  20. Msanii

    JamiiForums Tanzania Soko la Machinga Dodoma, tumpe Rais Samia maua yake

    Wengi watashangazwa na huu uzi. Nimekuwa nakosoa tena kwa lugha kali utendaji wa hovyo usiozingatia uhalisia hususani kuanzia awamu hii ya sita. Tembea uone. Nilifanikiwa kutembelea soko la Machinga pale mji mkuu Dodoma, nilijihakikishia kuwa plan na ukamilishwaji wa mradi wa soko hilo la...
Back
Top Bottom