Appy apewe maua yake

ipyax

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
4,046
6,301
Huyu msanii wa kike anajua sana kuimba kuliko wasanii karibia walio juu kwenye chart za mziki Tanzania.

Natumai atapata push ya kutosha kwenye industry ili aweze kufikia level anayostahili kutokana na kipaji chake💸💸.

Hizi ni baadhi ya ngoma zake kali, haimbi chapati☺️🫡.

Tumpe support ya kutosha kule YouTube pamoja na social media nyingine, muziki wake unajitolesheza bila scandal za kutafuta kiki.
 
Attachments

  • Appy_Moyo Vs Ubongo (Lyrics Video)(MP3_160K).mp3
    4.1 MB
  • Appy - Mshindi (Official Lyrics Audio)(MP3_160K).mp3
    4.3 MB
  • Appy - Mr Hater (Visualizer)(MP3_160K).mp3
    3 MB
Hamna kitu, anafanya tu cover za nyimbo za libianca kwa kiswahili. Beka title pia ali rise kwa ujanja ujanja huo kwenye nyimbo za adele, saivi kapotea. Atunge zake tuone kama ameiva kweli
 
Sidhani kama kila msanii huwa anaandika nyimbo zake mwenyewe ukitoa wanaofanya hip hop .

Wakina Adele, Rihanna, Beyonce hawaandiki nyimbo zao. Kama talent ya kuimba ipo lazima tukubali tu, huyu dada anajitahidi sana.
 
Sidhani kama kila msanii huwa anaandika nyimbo zake mwenyewe ukitoa wanaofanya hip hop . Wakina Adele, Rihanna, Beyonce hawaandiki nyimbo zao. Kama talent ya kuimba ipo lazima tukubali tu, huyu dada anajitahidi sana.
Wewe lipia tangazo tu. Ila hamna msanii hapo.
 
Una haki ya kutomkubali kutokana na taste yako ya mziki chief,hili sio tangazo na kama lingekua basi ningepost kwenye jukwaa husika.
 
Nilimsikia mara ya Kwanza na kumuona kwenye video yake ya "sepa" ryt there nilinotice kwamba she is very talented na mziki anaoufanya muda wake bado.. she is from the future, yaan ni kama Navykenzo way back kabla waswahili hawajawaelewa.. she is gorgeous in many ways, napenda ladha ya mziki wake, I wish ningekua Alan Walker ningetoa nae dude la kimataifa..
 
Yeah kweli kabisa huyu dada anafanya futuristic music ambayo waswahili wengi hawaielewi unless iwe viral kule tiktok labda ndiyo ataweza kuvunja baadhi ya barriers.

Mwisho wa siku binti anajua na anaweza bahatika kukimbiza kimataifa kuliko nyumbani kutokana na aina ya muziki anaofanya . Hii ngoma yake mpya (Mshindi) ni ya 🔥🔥🔥 sana.
 
Appy namkubali sana, ni msanii pekee niliyesubscribe youtube channel yake, jana wakaniletea goma lake jipya la Mshindi....
I wish Watanzania wamuone huyu dada ila acha na sie tuendelee kuburudika na mziki mzuri na sauti nzuri kutoka kwa mtoto mzuri.
 
Nilimsikia mara ya Kwanza na kumuona kwenye video yake ya "sepa" ryt there nilinotice kwamba she is very talented na mziki anaoufanya muda wake bado.. she is from the future, yaan ni kama Navykenzo way back kabla waswahili hawajawaelewa.. she is gorgeous in many ways, napenda ladha ya mziki wake, I wish ningekua Alan Walker ningetoa nae dude la kimataifa..
Naomba Uzi Ufungwe... Watu wengi hawawezi kumuelewa huyu dada coz "she is from the future.."
 
Yap kuna wakati msanii anakuwa mbele ya muda.
She is from future,not near future but far future.

That sound
That melody
the key
The genre

Very future
 
Nilimsikia mara ya Kwanza na kumuona kwenye video yake ya "sepa" ryt there nilinotice kwamba she is very talented na mziki anaoufanya muda wake bado.. she is from the future, yaan ni kama Navykenzo way back kabla waswahili hawajawaelewa.. she is gorgeous in many ways, napenda ladha ya mziki wake, I wish ningekua Alan Walker ningetoa nae dude la kimataifa..
Sauti yake ni ya vocalists wa Trance. Kama umemsikia Davina Michelle, mule mule.
 
Back
Top Bottom