maua

  1. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Je yale maua yanaoitwa snake plant unayajua yanavyokua?

    Maua nyoka(sanake plant) huwa yanapamba nyumba,nimeyaotesha lakini naona yanachelewa kukua,kuna mdau humu ana ujuzi nayo anipe utaalamu wa kuyaotesha?
  2. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kuiba Misalaba, Mashada ya Maua Makaburini ni Laana

    KWA miaka ya hivi karibuni kuna kukithiri kwa wizi wa mashada ya maua makaburini, na ung'oaji wa misalaba unaofanywa na baadhi ya wananchi kwa Malengo tofauti tofauti. Katika baadhi ya makaburi ambayo hayalindwi, kumekuwa na aina hiyo ya wizi hasa katika miji mikubwa kama Dar es Salaam, Arusha...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mshauri Mkuu wa Rais wa Benki ya Maendeleo amwagia maua Rais Samia katika Jukwaa la Kimataifa

    Victor Oladokun, Mshauri Mkuu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika ameielezea vyema haiba ya Rais Samia Suluhu Hassan katika maoni yake ya hivi karibuni wakati wa mkutano wa G20 nchini Brazil. Akisisitiza mvuto wake, ujasiri wake, na maendeleo makubwa aliyoyafanikisha kwa Tanzania, kauli ya...
  4. GemMaster II

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ukataji tiketi wa SGR upo vizuri sana Mkurugenzi Kadogosa apewe maua yake

    Nimetumia SGR mara sita.niwe muwazi Mkurugenzi TRC Kadogosa kwenye swala la mfumo wa SGR umesimama vema kabisa Developers wa mfumo wa wa SGR online ticket apewe maua yake amefanya kazi nzuri sana naamini hawezi kuwa mbongo pia natamani nijue wameipata kwa bei gani(Thamani anayejua atudokeze)...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaovaa hivi chukueni maua yenu

    Wanaume mnaovaaga hivi chukueni maua yenu 💐💐💐💐 mnapendezaga sana mnakua sexy. Hapa wanalengwa wanaume warefu wembamba wasio na kitambi. Kama wewe una kitambi au mfupi alafu unavaa ivi haya maua hayakuhusu pita hivi ↪️
  6. Ma Mshuza

    JamiiForums Tanzania Nadhani mmeamini, Wanaume wenye Upara wapewe maua yao kwa kweli

    Khaaaaah..... Mi shahidi wallah. Wanaume wenye upara wana peleka sana moto....wanakuwa watamu sana. .niliambiwa na daktari mmoja kuwa libido ipo juu sana kwa wanaume wenye upara. Wengi wao wanatembeza sana ubooooh....nami nimeshuhudia wanakuwa na hamu balaaaaaaah....niliwahi andika nikasema...
  7. X

    JamiiForums Tanzania Aliyebuni logo ya Toyota apewe maua yake kama hauna "A" tatu hauwezi kuelewa logo hiyo ina jina la kampuni

    Kwenye biashara iwe ni service provider au manufacturer kuna kujenga brand name lakini pia kuna logo ambayo kazi yake kubwa ni kuitambulisha brand yenyewe. Logo ni sehemu muhimu ya kutangaza brand, huduma, bidhaa au biashara. Ni moja ya kipengele ambacho kinahitaji designer mbunifu sana ili...
  8. Cordy bnei shirk

    JamiiForums Tanzania Producer Majani apewe maua yake

    Hapa nimechill having a drink,im 31 years old. Hapa naangalia nyimbo ya prof. Jay nikusaidiaeje mixer ferooz na video yao imetengenezwa sijui na nani. I’m heartbroken ila this song today i realize how Producer Majani is a legend. This beat is phenomenal and captivating. I can feel my sorrow...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kesho kama huna gari aina ya Land Rover, baki tu nyumbani!

    Wakuu, Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuwa siku ya kesho ambayo kutakuwa na tukio kubwa la Land Rover Festival ambalo linafanyika huko jijini Arusha kama huna gari aina ya Land Rover paki tu gari lako nyumbani. Makonda amesema kuwa kwa kuwa kesho kutakuwa na msafara wa gari...
  10. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Nakupa chimbo la maua bandia na chimbo la pazia kwa mchina kariakoo!

    i
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wamasai wapewe maua yao kwa kuipenda nchi yao!

    Wamasai ni wazalendo, na masomo ya kiraia wametupa: "Ilikuwa Ngorongoro, tukayasikia Loliondo." Kwa hakika hawa hata kama wangekuwa Gaza, Mossad wangenyoosha mikono. Haipo shaka hawa ndugu wanaipenda nchi yao kuliko wapalestina! Wangekuwa chama, wasingeibiwa kura na katiba waitakayo...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Palestina ni wahanga, Iran na Israel hawachekani, ila Marekani wapewe maua yao

    Ni bahati mbaya kuwa mashariki ya kati mpalestina ni mhanga wa udhwalimu. Kwamba yalimkuta tokea 1947 huko, kumbe ana uchaguzi upi mwingine? Kwa hakika Gen Z wamepata funzo: "Haki hupiganiwa kwa wivu mkubwa hata kama ni kwa kupoteza kila kitu yakiwamo maisha." Kwamba vita ni rasilimali ziwe...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Satini maua na English satin zinapatikana wapi?

    Habari waungwana ,natamani kujumuika katika biashara ya uuzaji wa vitambaa hivi vya wakina mama ambao umeshamiri na mita moja inauzwa sh 5000 Niko Dodoma, mwenye uzoefu na biashara hii na mahali wanapochukulia naomba muongozo
  14. W

    JamiiForums Tanzania Case closed: Wahehe na wabena waendelee kupewa maua yao kwa kujitahidi kuwa wavumilivu kwenye ndoa, kujishusha na kulea watoto vizuri

    ukiangalia Mhehe/ Mbena moja moja wapo pasua kichwa lakini ukiangalia kwa jicho la wastani / average wanawake wengi wahehe na wabena wanapoingia kwenye ndoa huwa ni loyal, ride or die, wavumilivu, humheshimu mwanaume kwa hiari, hawana tamaa ya mali, n.k. Nina katabia kabovu sana ka kupenda...
  15. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kutoa maua kwa Members mbalimbali wa JF

    Kuna watu unakuta wanaulizia ID flani za JF baada ya kutoonekana kwa muda. Kuna watu hupata ushauri ambao unawaondoa kabisa kwenye hali waliokua nayo. Kuna watu husema wamekua addicted na JF. Hii yote ni kwasababu ya mchango wa kila mmoja huku, na ndio kinachofanya pawe sehemu ya kuvutia na...
  16. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Adidas chukueni maua yenu kwa ubunifu kwa jezi bora kabisa 2024,toka 2002 world cup haijatokea

    Nike ilipiga bao sana mwaka 2002 kwenye kombe la dunia, jezi hizi zilivaliwa na timu nyingi kama Brazil, Italia, South Korea, Arsenal n.k. zilikuwa nzuri sana na zilitrend kwa kipindi hicho. Toka mwaka huo sijaona tena jezi maarufu mpaka mwaka huu. 2024 ukiangalia michuano ya Euro na Copa...
  17. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Album ya Roma nipeni maua yangu Ina nyimbo nzuri sana zenye ujumbe mzuri

    Kwa wale wapenda nyimbo za wana harakati Roma mkatoliki katupa album kalii sana kuanzia track number 1 hadi 15 zote ni nzuri sana roma mkatoliki pokea maua yako je ipi ni track ipi umeipenda zaidi? Mimi yangu ni track number 11 derby paka na panya
  18. G

    JamiiForums Tanzania Vicobs wapewe maua, wametatua kilio cha muda mrefu cha kadeti orijino, kwa sasa hatuna haja ya kufanya mawindo mitumbani, Ni mkataba !!

    Ni kilio kilichokuwa kikitutesa wengi kwa muda mrefu, yani kupata kadeti original ilikuwa ni shughuli pevu, tushapigwa za uso mara kadhaa kununua kadeti za elf 40 tukidanganywaa kwamba ni original. yaani walioweza kununua kadeti original za dukani walikuwa ni wale daraja la juu zaidi kiuchumi...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu amemshindwa shetani kabisa? Basi shetani tumpe maua yake

    Haiwezekani mbinguni au katika ulimwengu tusiojua wanaishi viumbe wawili wanaoogopana. Sasa tutajua nani mwenye nguvu? Inasemekana shetani ni mbaya kama tulivyokalilishwa na Mungu lakini inakuwaje Mungu ashindwe kumuangamiza kama kweli Mungu hashindwi chochote? Hata wachungaji/mapadre wenyewe...
  20. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya maua haya ya bandia, una nini cha kunishauri?

    Nimeangalia Maua yana bei sana. Nimeshindwa kujua kwanini? Natamani kuuza maua kwa bei rahis lakini siijui hii biashara? Nahitaji ushauri 1. Biashara ikoje? 2. Kuagiza nje na kununua jumla hapa bongo ipi bora? 3. Wateja ni kina nani hasa? 4. Faida yake
Back
Top Bottom