Yanga wapewe maua yao kwenye kitengo cha Habari lakini tovuti rasmi ni kituko, imekachwa, ina muonekano kama blog za udaku. Mtutolee hii aibu

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Ni kweli Yanga ndio walikuwa na tovuti mapema zaidi kuanzia mwaka 2012 tofauti na Simba walioanza kuwa na tovuti mwaka 2019 lakini kinachoendelea kwenye tovuti ya Yanga ni aibu na wala hakiendani na uzito wa idara ya habari inayofanya makubwa kwenye mitandao ya kijamii.

Daima mbele nyuma mwiko isiwe kwenye kusahau tulikotoka, tusibeze websites kisa kwa sasa kuna mitandao ya kijamii.

Simba ukiingia website yao ina kila kitu hata mechi zijazo waweza kuona ratiba.

Yanga mtutuoe na hii aibu tafadhali

Website ya yanga ni: www.youngafricans.co.tz

Website ya simba ni www.simbasc.co.tz

website mpya ni www.yangasc.africa , lakini bado hata hii website mpya imekachwa haina kipya, ukiingia unataiona na picha ya Fei Toto anashangilia.

hii ni screen shot ya jinsi website ilivyokuwa inavutia enzi hizo miaka ya 2013, sio kama sasa

1696285362651.png

Ushauri wangu

Kitengo cha dijitali nawaombeni mtuondoe aibu, hii mitandao ya kijamii imekuja hivi karibuni lakini hizi website nazo huwa zina uzito wake, sio za kuzibebza! Pia mrudi kwenye website ya mwanzo inayoishia na co.tz , kama hio website alieiendesha hayupo, ongeeni na waasajili wa jina la website (domain providers) muwape ushahidi ninyi ndio wamiliki halali wawape muirekebishe.
 
View attachment 2770028

Kweli kabisa inabidi idara ijipange upya.
 
Back
Top Bottom