Kauli ipi yenye uzito kati ya Adeni Rage na Haji Manara?

mwarabu feki

JF-Expert Member
Feb 16, 2023
682
1,461
Ifikie hatua ukweli ujulikane, Hivi kauli ipi kati ya hizi mbili iliyokuwa ikiashiria ukweli ndani yake?

Tuanze na Haji Sunday Manara, huyu akiwa afisa habari wa klabu ya Simba Kwa wakati huo aliwahi kunukuliwa akiwadhihaki mashabiki wa Yanga kwa kusema kule Yanga wenye Akili ni watu wawili tu.
Ukichunguza zaidi hii kauli yake utaona ilikuwa ni ya kishabiki zaidi maana alikuwa akiwatukana washabiki wa Yanga ambao walikuwa wakimzodoa mara kwa mara.

Upande wa pili Tukiiangalia hii kauli ya Mashabiki wa Simba ni Mbumbumbu ilitolewa na Aden Rage Mwenyekiti wa klabu ya Simba tena aliyekuwa madarakani Kwa kipindi hicho.
Kitu cha kushangaa zaidi ni kuwa ndugu Rage aliyatamka maneno haya ndani ya mkutano mkuu wa klabu ya Simba kwa kuwaita wanasimba wote ni mbumbumbu

Kwa maoni yako mdau wa Michezo wewe unadhani kauli ipi ilikuwa sahihi kimantiki?
Em2_iN-WMAEZYyE.jpg
maxresdefault(13).jpg
 
Ifikie hatua ukweli ujulikane, Hivi kauli ipi kati ya hizi mbili iliyokuwa ikiashiria ukweli ndani yake?

Tuanze na Haji Sunday Manara, huyu akiwa afisa habari wa klabu ya Simba Kwa wakati huo aliwahi kunukuliwa akiwadhihaki mashabiki wa Yanga kwa kusema kule Yanga wenye Akili ni watu wawili tu.
Ukichunguza zaidi hii kauli yake utaona ilikuwa ni ya kishabiki zaidi maana alikuwa akiwatukana washabiki wa Yanga ambao walikuwa wakimzodoa mara kwa mara.

Upande wa pili Tukiiangalia hii kauli ya Mashabiki wa Simba ni Mbumbumbu ilitolewa na Aden Rage Mwenyekiti wa klabu ya Simba tena aliyekuwa madarakani Kwa kipindi hicho.
Kitu cha kushangaa zaidi ni kuwa ndugu Rage aliyatamka maneno haya ndani ya mkutano mkuu wa klabu ya Simba kwa kuwaita wanasimba wote ni mbumbumbu

Kwa maoni yako mdau wa Michezo wewe unadhani kauli ipi ilikuwa sahihi kimantiki?View attachment 2576139View attachment 2576141
Aden Rage ajengewe sanamu
 
Mashabiki wa Simba ni wafuasi waaminifu wa kauli za Haji Manara, huyo ndiye bwana wao wa kudumu ndiyo maana hata afanye nini wataendelea kuzirejea kauli zake dhidi ya Yanga.
hali kadhalika, Yanga nao ni Wafuasi waaminifu wa kauli za Aden Rage, huyo ndiye bwana wao wa kudumu, ndiyo maana hata afanye nini wataendelea kuzirejea kauli zake dhidi ya Simbaa.
 
Mashabiki wa Simba ni wafuasi waaminifu wa kali za Haji Manara, huyo ndiye bwana wao wa kudumu ndiyo maana hata afanye nini wataendelea kuzirejea kauli zake dhidi ya Yanga.
hali kadhalika, Yanga nao ni Wafuasi waaminifu wa kali za Aden Rage, huyo ndiye bwana wao wa kudumu, ndiyo maana hata afanye nini wataendelea kuzirejea kauli zake dhidi ya Simbaa.
Mkuu upo nje ya mada, hapa tunaangalia uzito wa hizi kauli mbili kwa kuzingatia namna zilivyotolewa
 
Kama aliyeanzisha thread hii sio JK au mzee Manara. basi hata kuichangia sitakiwi kabisa
Mkuu huna hoja, Maana ukitafuta mantiki ya kauli ya Haji Manara haipo, ni sawa na wewe ambaye tunakujua ni shabiki wa Simba useme Yanga wote hawana akili, Hapo hii kauli inakuwa ni ya kishabiki tu na Lengo ni ku wa provoke Yanga
 
Nipo sawa mkuu, mitazamo ya hao miamba wa Soka ndiyo muongozo wa wafuasi wa timu hizi mbili
Mkuu we huoni izo kauli zote mbili zilitolewa na watu wa upande mmoja? Mmoja alikuwa akirusha kijembe kwa wapinzani wa timu yake kipindi hicho na mwingine alikuwa anawapa makavu live wanachama wenzake?
 
Mkuu huna hoja, Maana ukitafuta mantiki ya kauli ya Haji Manara haipo, ni sawa na wewe ambaye tunakujua ni shabiki wa Simba useme Yanga wote hawana akili, Hapo hii kauli inakuwa ni ya kishabiki tu na Lengo ni ku wa provoke Yanga
Manara ni Afisa Habari wa Yanga na atakachosema ni msimamo wa klabu yake, labda viongozi waje waseme hatukumuagiza aongee, na pengine wampe adhabu. Lakini hakuna kiongozi wa Yanga aliyekuja kutengua au kukanusha kauli ya Afisa Habari wa Klabu, jambo linaloashiria kuwa alitumwa akaseme kuwa Yanga wote hamnazo isipokuwa wawili aliowataja
 
Back
Top Bottom