Moto Kariakoo 01 Okt 2023: Tuwape maua yao vijana mateja wa jangwani. Wamejitoa mhanga kufanya uokozi

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,754
Nawapa pole nyingi sana kwa Watanzania wote walioathirika na moto mkubwa uliozuka Kariakoo alfajiri tarehe ya leo.

Bado Tanzania ina tatizo kubwa kwenye sekta ya uokozi wa majanga. Ketengo hiki kipo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu na huwa kinatengewa bajeti kupitia Bunge letu. Tanzania chini ya CCM imekuwa inasubiri majanga yatokee badala ya kuzuia ama kujiweka tayari kuyakabili. Kushindwa kwa magari ya zimamoto kudhibiti moto inaleta picha namna serikali ya mama Samia inavyoweka rehani na isivyojali maisha ya raia.

POLISI
Wamekuwa wakiwezeshwa zana za vita dhidi ya raia na mali zao kwani wamekuwa wakihakikisha wanaitimba demokrasia kwa zana kali za kivita. Tuongelee kuhusu yale magari yao ya majirusha ambayo yana uwezo mkubwa wa kurusha maji umbali mrefu, hatukuyaona magari hayo yakitumika kuokoa mali na maisha ya watanzania zaidi ya kutumika kukandamiza maisha yao.

VIJANA MATEJA
Jamii kubwa ya Watanzania tumepandikizwa fikra hasi dhidi ya vijana hawa ambao sehemu kubwa wameathirika na matumizi kithiri ya mihadarati. Lakini leo nimeshuhudia kwa macho yangu vijana hawa wakijitolea kuokoa maisha na mali za Watanzania wenzao. Maduka ambayo majengo yalianza kuathirika na moto, walivunja milango na kutoa mali zote na kuziwelka sehemu salama chini ya uangalizi wa polisi. Nimeshuhudia vijana wakivunja milango na sehemu za kuta ili kuokoa nyaraka, makasiki na samani za benki.

JAMII
Leo nimeshuhudia Polisi na mateja (wateja maarufu wa polisi) wakishirikiana bega kwa bega kuokoa maisha na mali za wananchi walipakodi wa nchi yetu.
Niwapongeze jeshi la polisi na mateja pamoja na kikosi cha zimamoto kwa kuikabili changamoto hii kubwa despite kukosa bajeti maridhawa ya kujiandaa na majanga.

MAAJABU YA SERIKALI
Nitashangaa sana kuona serikali inaunda tume kuchunguza. Kazi hii wapewe jeshi la polisi wakishirikiana na zimamoto pamoja na kitengo cha maafa kuchunguza ili ripoti ya kitaalam itoke
 
Umesema utashangaa serikali ikiunda tume kuchunguza. Na umeshauri kazi ya kuchunguza wapewe Polisi wakishirikiana na kitengo cha Maafa.
 
Picha za mateja wakiokoa watu na Mali vipi? Wengine tunaishi shimoni Huku katesh!
 
Nawapa pole nyingi sana kwa Watanzania wote walioathirika na moto mkubwa uliozuka Kariakoo alfajiri tarehe ya leo.

Bado Tanzania ina tatizo kubwa kwenye sekta ya uokozi wa majanga. Ketengo hiki kipo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu na huwa kinatengewa bajeti kupitia Bunge letu. Tanzania chini ya CCM imekuwa inasubiri majanga yatokee badala ya kuzuia ama kujiweka tayari kuyakabili. Kushindwa kwa magari ya zimamoto kudhibiti moto inaleta picha namna serikali ya mama Samia inavyoweka rehani na isivyojali maisha ya raia.

POLISI
Wamekuwa wakiwezeshwa zana za vita dhidi ya raia na mali zao kwani wamekuwa wakihakikisha wanaitimba demokrasia kwa zana kali za kivita. Tuongelee kuhusu yale magari yao ya majirusha ambayo yana uwezo mkubwa wa kurusha maji umbali mrefu, hatukuyaona magari hayo yakitumika kuokoa mali na maisha ya watanzania zaidi ya kutumika kukandamiza maisha yao.

VIJANA MATEJA
Jamii kubwa ya Watanzania tumepandikizwa fikra hasi dhidi ya vijana hawa ambao sehemu kubwa wameathirika na matumizi kithiri ya mihadarati. Lakini leo nimeshuhudia kwa macho yangu vijana hawa wakijitolea kuokoa maisha na mali za Watanzania wenzao. Maduka ambayo majengo yalianza kuathirika na moto, walivunja milango na kutoa mali zote na kuziwelka sehemu salama chini ya uangalizi wa polisi. Nimeshuhudia vijana wakivunja milango na sehemu za kuta ili kuokoa nyaraka, makasiki na samani za benki.

JAMII
Leo nimeshuhudia Polisi na mateja (wateja maarufu wa polisi) wakishirikiana bega kwa bega kuokoa maisha na mali za wananchi walipakodi wa nchi yetu.
Niwapongeze jeshi la polisi na mateja pamoja na kikosi cha zimamoto kwa kuikabili changamoto hii kubwa despite kukosa bajeti maridhawa ya kujiandaa na majanga.

MAAJABU YA SERIKALI
Nitashangaa sana kuona serikali inaunda tume kuchunguza. Kazi hii wapewe jeshi la polisi wakishirikiana na zimamoto pamoja na kitengo cha maafa kuchunguza ili ripoti ya kitaalam itoke
Mateja?
 
Nkisikiaga ule wimbo .....sumu ya Teja, ukonga, keko, segereaa....
Ka bado upo eneo la tukio wanunulie Pepsi moja baridiii
 
Kama unachosema ni kweli basi mateja wapewe zawadi na itakuwa dawa kuwatoa kwenye hilo lindi na kuchanganyikiwa.Siku nyengine ikitokea tena hawatapora wataendelea na kazi tu za uokozi.
 
Aisee.
Sijui namaka Kuhusu mateja, zimamoto,polisi,Waziri mkuu,au Moto uliotokea.

bado naamini huu ni muungano wa Jamuhuri za Watanzania.

zidumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom