maua

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wakina dada msiopaka Makeup nawapeni maua yenu

    Hongereni sana Akina dada wote ambao hampaki make up na Bado mnapendeza. Mnanyoa na Bado mnapendeza. Amen!
  2. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Hayati Magufuli apewe maua yake

    Mnyonge mnyongeni haki yake apewe. "Pamoja na ubinadamu wako nabii jiwe upumzike kwa amani."
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wangu nikiwa kama mtumiaji wa tigo post paid Internet, The juice i get is worth the squeeze from my wallet

    Nipo natumia huduma hii tangu mwaka jana na msukumo wa kuja huku ilikuwa ni baada ya mitandao kupandisha bei za mabando, nadhani wote mnakumbuka mabando yalikuwa bei chee ila kuna wabongo hawakutosheka wakaanza kuyabipu makampuni ya simu kwamba vifurushi visiwe vina expire, Mb ni chache, n.k...
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apewe maua yake

    JAMHURI ya Muungano wa Tanzania-Kazi Iendelee. Mei Mosi kulifanyika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi duniani, kama ilivyo kawaida ya siku zote inapofika tarehe na mwezi huo. Kitaifa siku hiyo iliadhimishwa mkoani Morogoro ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan. Katika sherehe...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Sadio Mane apewe maua yake

    Mchezaji maarufu wa mpira wa miguu duniani "Sadio Mane wa Senegal" (Afrika Magharibi), ambaye kipato chake ni dola 186K kwa wiki, alionekana katika maeneo mengi akiwa na simu zilizovunjika. Katika mahojiano alipoulizwa kuhusu hilo, alisema nitaitengeneza. Alipoulizwa kwa nini usinunue mpya...
  6. Mwesiga frolian

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tumpe maua yake Rais Samia

    TUMPE MAUA YAKE MHE. SAMIA ( picha kwa hisani ya Ikulu.go.tz) UTANGULIZI Andiko hili limelenga kumpa maua yake mhe. Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wake jadidi wa nchi yetu ya Tanzania. Naomba kuchukua fursa hiii kumpongeza kwa dhati mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kumpa maua yake kwa kuiongoza...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma wapewe maua yao

    Nilikwenda hapo hospitali ya Benjamin Mkapa siku ya Alhamis wiki iliyopita, nikiwa na tatizo ambalo lilihitaji wabobezi. Mimi ninaishi Dodoma, baada ya kutafakari sana, nikakata shauri kuwa niende tu. Mwanzoni niliwaza labda niombe ruhusa kazini, nifunge safari Dar niende hospitali kubwa kubwa...
  8. Faana

    JamiiForums Tanzania Je, ni sababu gani ya Kisayansi hufanya maua ya alizeti kugeukia mashariki wakati wa kuchanua?

    Nimekuwa safarini tangu mwezi March katika mikoa mbalimbali, nilichokiona humo njiani ni alizeti kuchanua ziki face upande wa mashariki, nimeiona hii Singida, Dodoma, Iringa, Morogoro, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro. NB: Naomba michango yenye kuelimisha tafadhali.
  9. Akabi kemanya

    JamiiForums Tanzania Yanga apewe maua yake

    hakika Yanga leo inetuwakilisha vyema kama walivyo tuwakirisha leo wafanya biashara wa kariakoo nasema asanteni sana
  10. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apewe maua yake changamoto ya wafanyabiashara Kariakoo

    Leo Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa amefanya jambo Kubwa sana namna alivyotatua Mgomo wa wafanyabiashara. Mambo makubwa nimejifunza kupitia mgogoro wa Leo Moja amekuwa sehemu ya wenye Tatizo, amekuwa mwalimu mzuri katika kufundisha namna ya kutatua migogori katika Jamii na Kubwa ameshirikisha...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Bacca top defender, tumpeni maua yake

    Katika sajili ambazo Yanga walizifanya na scouting ya maana ni uyu mzanzibari Ibrahim Bacca, ni beki ambaye anastahili maua yake Anajua kukaba mshambuliaji wa aina yeyote yule, anatumia akili zinapohitajika na anatumia nguvu pale inapoitajika Namuona Nadir Haroub Canavaro ndani ya Bacca, yule...
  12. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Apple kwenye Airpods mpya wapewe maua yao

    Kwenye tasnia ya music systems na vinu huwezi kukwepa Giants wa kijapani kama akina Kenwood, Sony, Pioneer na wamarekani kama Bose, JBL, Harman Kardon na wengineo. Mimi ni music Enthusiast toka niko ng'aa na nimeshapitia mengi ila nikiri tu sijawahi kuwa fan wa products za Apple na accessories...
  13. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Hadi kufikia sasa, hakuna kituo cha runinga ama redio kilichocheza wimbo wa "Nipeni maua yangu"

    Sawa, hauna video, lakini hata kwenye redio haukuchezwa pia (a) Ni kwamba wamiliki wa redio zetu pamoja na watangazaji wao hawana uhakika na uhuru wa vyombo vya habari walionao? (b) Au ndo kusema kuwa barua kutoka BASATA zilisambazwa sehemu husika kimya kimya pasi na taarifa kwa umma? Wacha...
  14. Escotter20

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Bacca apewe maua yake

    ... Mechi ambazo Ibrahim Bacca amecheza kuanzia group stage CAFCC. 🇹🇿 Yanga 2 - 0 Bamako 🇲🇱 🇹🇿 Yanga 2 - 0 Monastir 🇹🇳 🇹🇿 Yanga 1 - 0 Mazembe 🇨🇩 - (A) 🇹🇿 Yanga 2 - 0 Rivers 🇳🇬 - (A) 🇹🇿 Yanga 0 - 0 Rivers 🇳🇬 00 - Magoli ya kufungwa. Rivers katika mechi zote (2) hawajapiga shot on...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kwa Rivers hii Yanga wapewe maua Yao.

    Hakuna namna Rivers wanaweza kupata ushindi au sare. Hawaoneshi kuwa serious na kazi. Ngoja watimize wajib warudi kwao.
  16. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga Chini Ya Hersi tuupeni Maua yake

    Yanga For Many Years ilikua inajitafuta sana kiukweli ilikua inajitafta na hilo halina ubishi na katika misimu iliyokua inajitafta simba ilipiga hatua kubwa sana japo hayo mafanikio ya simba yanaanza kupoteza nguvu ikiwa ndio mwaka mmoja wa Hersi pale yanga. Hersi ndani ya mwaka mmoja wa...
  17. beatboi

    JamiiForums Tanzania Tamaduni Music tuwape maua yao kwa kuchangia pakubwa hawa madogo wanaofanya vizuri kwenye game hivi sasa

    Hiki ndio chuo kikuu cha hiphop hapa bongo kwani tangu waanze harakati zao wanatoa vichwa vinavyofanya kweli kwenye kila angle. Hawa ni baadhi ya waliopitia University of tamaduni music wakatoka na bachelor degree inayowasaidia kupata mkate wa kila siku, *Kontawa *Maarifa *Toxic *Pmawenge...
  18. NetMaster

    JamiiForums Tanzania P Funk na Master J wapewe maua yao lakini nao walichangia pia kuua mziki na vipaji vya wengi

    walichangia pia kuua mziki na vipaji vya wengi kwa kiwaringia na kunyanyasa wasanii chipukizi maana wkt huo kuonana na hao ni kama kuonana na rais na waliringa mno saabu wakikuwa wao tu, yaani ukigombana nao tu hata iwe sababu ya mademu unabaki ndio imeisha hio ama ukikaza basi ni options chache...
  19. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki, mpe Rais Samia maua yake kwanza

    Nimesikiliza wimbo wa Roma Mkatoliki, napenda ila Chorus hasa kwa kuwa ameimba ABIUD ambaye wengi wanapenda anavyoimba mitaani. Roma amefanya vyema kumopa nafasi kuimba Chorus japo kweli Chorus na anachoimba Roma havifanani. Katika wimbo huu Roma anaomba kupewa maua yake ayanuse kabla hajafa...
  20. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania SI KWELI BASATA yafungia wimbo wa Roma Mkatoliki, "Nipeni Maua Yangu"

    Kuna taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia wimbo mpya wa Nipeni Maua yangu wa Roma Mkatoliki. Je, taarifa hizi zina ukweli ndani yake?
Back
Top Bottom