makinda

Anne Makinda
Anne Semamba Makinda (born 26 July 1949) is a Tanzanian politician and the first female Speaker of the National Assembly of Tanzania, in office from 2010 to 2015.

She was the last Chairman and the first President of UNICEF at the international level from 1993 to 1994.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Anna Makinda: Lissu sio wa kwenda kuhojiana naye, ni wa kwenda kukubaliana naye anachosema

    Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anna Makinda ameshirikisha uzoefu wake wakati akiwa kazini. Amesema katika bunge aliloliongoza alipata kuwa na wabunge wenye akili kupita kiasi. Soma zaidi hapa chini upate kuona alichokisema.
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Makinda alimkatalia Mnyika, Leo hii Jaji Mkuu analalamika

    John Mnyika akiwa ni mbunge na Anna Makinda Spika wa bunge, kuliendeshwa mjadala wa ama ni sahihi wakuu wa Wilaya na mikoa kuwa mamlaka ya nidhamu Kwa mahakimu au si sahihi. Mjadala ule ulioendeshwa mpaka zaidi ya saa nne usiku Mnyika alipinga kabisa wakuu wa mikoa na wilaya kuwa mamlaka ya...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Makinda yaliyofia kiotani.. Ujumbe kwa watekaji

    Watoto hawa wa ndege walioachwa kwenye viota vyao—wanangoja wazazi wao waje na kuwaletea chakula. Lakini Kwa bahati mbaya, wazazi hawakurudi, waliuawa. Kumbuka, kila wakati unapotofautiana au kuumiza mtu, unauwamiza wengine kwa njia isiyo ya moja kwa moja wale wanaomtegemea. Usijiruhusu kuwa...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anne Makinda: Mpigieni kura Rais Samia, hao wengine hata mkiwapigia kura hawatashinda, kwanini upige kura ya kushindwa?

    Aliyewahi kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke wa kipekee mwenye akili na maono makubwa, kiasi kwamba hajawahi kumuona mwanamke mwingine mwenye uwezo kama wake. Akizungumza leo Juni 24, 2025, kwenye Jukwaa la...
  5. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Mama Makinda na mh Sumaye kwenye tuzo ya heshima ya rais Samia.

    Waziri mkuu mstaafu mh Fredrick Truwaye Sumaye na spika mstaafu mama Anne Makinda ni miongoni mwa vigogo wa nchi hii waliohudhiria utowaji wa tuzo ya heshima kwa mh rais Samia Suluhu Hassan toka kwa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Katika picha anaonekana mh Sumaye na mh Makinda...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mtifuano wa Tundu Lissu na Anna Makinda Bungeni. Nini cha kujifunza?

    Salaam Wakuu, Nimeangalia huu Mtifuano wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Wakili Tundu Lissu na aliyekuwa Spika wa Tanzania Anna Makinda. Je, Wabunge na Wanasiasa wa kizazi hiki, kuna cha kujifunza? Hili lilikuwa bunge la kumi Mkutano wa kumi na nane na kikao cha tatu wabishana kuhusu...
  7. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Tulipokuwa makinda wala tusingekubaliana na wazo la kumnunulia gari awala lakini kumbe safari ya mafanikio ailandani na ideology ya njaa.

    Mafanikio ya pesa ni addictive, utahitaji zaidi na zaidi, leo upo middle class lakini unahisi unastahili kuwa upper middle class. Mafanikio ya pesa ni "very demanding", utahitaji vya gharama zaidi na zaidi, leo utanunua harrier lakini unahisi kwa uwezo ulionao unapaswa ununue fortuner. Kama...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Amani Karume na Anna Makinda wateuliwa kuwa Wakuu wa Chuo

    Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Anne Semamba Makinda, Spika Mstaafu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Mkuu wa Chuo (Chancellor) cha Sayansi...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Anna Makinda afungua mafunzo ya matumizi ya matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022

    Leo tarehe 17 Julai, 2023 Mafunzo ya matumizi ya matokeo ya Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 yamefunguliwa Mkoani Manyara na Anna Makinda, Kamisaa na Muhamasishaji wa Sensa Tanzania, na Kuhudhuruwa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Cuthbert Sendiga, Sekretarieti ya Mkoa, Kamati ya Sensa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Mwanza awataka wanyonge kukataa wanaomtukana Hayati Magufuli

    Askofu Mkuu jimbo Catholic Lenatus Nkwande ameongoza misa leo uwanja wa Kawe Kamo umefurika watu wakiwa wamekusanyika kumkumbuka Magufuli kwa kweli Magufuli anapendwa. Baba askofu amewausia kuendelea kumuombea Magufuli na kuwaombea haters wake wakiwemo walamba asali na wazuri hawafi. Pia...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Anne Makinda awataka vijana kujitafutia ajira

    Kamisaa wa Sensa Kitaifa, Anna Makinda amewataka vijana wasomi kujitengenezea uchumi wao binafsi kupitia fursa zilizoko kwenye maeneo wanayoishi kuliko kutegemea ajira kutoka Serikalini au sekta binafsi. Akizungumza leo Oktoba 12 na Kamati ya sensa katika kikao cha kutathimini sensa kwa Mkoa wa...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Makinda: Matokeo ya SENSA yatatangazwa mwisho wa mwezi Oktoba 2022

    Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi kwa mwaka 2022, Spika mstaafu Anne Makinda amesema matokeo ya sensa hiyo iliyofanyika Agosti 23 yatatangazwa mwisho wa mwezi huu na matokeo yatabandikwa kwenye mbao za matangazo. Makinda ameyasema hayo leo Oktoba 12 na kusema hatua zote za uchakataji wa...
Back
Top Bottom