baba askofu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frank Wanjiru

    Baba Askofu Bagonza: Jina la Edward lina maana kubwa Monduli

    Tar 17/2/2024 tumemzika EDWARD Lowasa. Miaka 40 iliyopita tulimzika EDWARD Sokoine eneo hilohilo la Monduli. Tulivyomzika Edward yule ndivyo tulivyomzika Edward huyu. Jina “Edward” lina maana kubwa katika eneo hilo. Yalikuwa mazishi yenye hadhi. Usingejua kama ni ya Waziri Mkuu Mstaafu. Hata...
  2. Frank Wanjiru

    Anaandika Baba Askofu Bagonza kuhusu Edward Lowassa

    Edward Ngoyai Lowasa ameondoka. Yuko mahali salama pasipo na mgao wa umeme wala usanii wa treni za umeme. Amepumzika baada ya kazi ngumu. Anapokufa mtu mzito kama Lowassa, kuna makundi matatu hujitokeza; 1. Wanaolia 2. Wanaofurahia 3. Wasiojua kama walie au wafurahie. Makundi yote matatu tunayo...
  3. Erythrocyte

    Baba Askofu Mwamakula awasha moto kwenye Kongamano la miaka mitatu ya Maalim Seif

    Akizungumza kwenye kumbukumbu ya miaka 3 tangu kufariki kwa Maalim Seif, ambaye ni Gwiji la Siasa za Zanzibar, Baba Askofu Mwamakula amesema kwamba kwenye utawala wa Mkapa hakukuwahi kuwa kesi wala tatizo kwa viongozi wa kidini kutoa waraka wa kukosoa matendo maovu ya serikali, amedai hana...
  4. ChoiceVariable

    Papa Francis amtimua Askofu anayempinga kuhusu kuruhusu ndoa za jinsia moja, kutoa mimba na waliobadili jinsia

    Ikumbukwe huyu Papa wa Vatican anaeongoza Kanisa la RC almaaufu Kanisa Takatifu la Mitume kama wanavyojiita wao ameamua kuwaburuza wenzake wafuate msimamo wake. Baadhi ya mambo ambayo anataka Kanisa lake lifuate ni - Kuwatambua Mashoga bila kukemea akisema wenye dhambi ndio wanatakiwa kwenda...
  5. comte

    TAMKO la TEC: Upo uwezekano baadhi ya ma Baba Askofu hawajui kilichomo

    Na Ezekiel Kamwaga KUELEKEA kipindi cha Kwaresma na Sikukuu ya Pasaka ya mwaka 2018, Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC) lilitoa waraka ambao kimsingi ulikosoa vitendo vya uminyaji wa demokrasia na uhuru wa watu kujieleza uliokuwepo wakati wa utawala wa hayati Rais John Magufuli...
  6. Unasemeje

    Top Manyota Top Manyota, Chesko mzee wa Matunda, Manka Mushi, Baba Askofu

    Wakali wa salamu, walikuwa ni hatari sana kupiga simu namba 2700588 ya radio one na kusambaza upendo.
  7. ndiuka

    Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

    Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa Mhashamu Protase Rugambwa sasa Mhadhama. Baba Mtakatifu Fransisco amemteua Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa kuwa Kadinali. Mhashamu Protase Rugambwa ni mwandamizi wa kiti cha uaskofu Jimbo kuu Katoliki la Tabora. Hongera sana Mhashamu Rugambwa...
  8. Ileje

    Busara ya Baba Askofu Bagonza kuhusu mkataba wa bandari

    BANDARI IMEUZWA au IMEKODISHWA? Suala la Bandari limekuwa gumzo. Hata Bubu wanaongea na woga unajaa ujasiri. Waliozoea kuongea wamekuwa bubu. Kwanini? 1. Je, imeuzwa au imekodishwa? 2. Je, imeuzwa au tumekodi mwendeshaji? 3. Je, ni kweli tayari imeuzwa, imekodishwa au kuajiri hiyo...
  9. Kurunzi

    Abdudlquarim Malisa naye Ajitokeza Kumuomba Baba Askofu Mwamakula na Viongozi wa CHADEMA Msamaha

    Drama inaendelea baada ya jana Voronica France kujitokeza kuomba msamaha Baba askofu Mwamakula na Viongozi wa wa CHADEMA https://www.jamiiforums.com/threads/veronica-france-amuomba-msamaha-baba-askofu-mwamakula-na-viongozi-wa-chadema-naye-akubali-msamaha-wake.2099988/page-2 Naye Mjumbe wa...
  10. D

    Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Mwanza awataka wanyonge kukataa wanaomtukana Hayati Magufuli

    Askofu Mkuu jimbo Catholic Lenatus Nkwande ameongoza misa leo uwanja wa Kawe Kamo umefurika watu wakiwa wamekusanyika kumkumbuka Magufuli kwa kweli Magufuli anapendwa. Baba askofu amewausia kuendelea kumuombea Magufuli na kuwaombea haters wake wakiwemo walamba asali na wazuri hawafi. Pia...
  11. U

    Baba askofu wa Kanisa Katoliki Nchini Marekani Father Hilarion Heagy amesilimu na kuingia katika Uisilamu

    baba askofu Hilarion Heagy baada ya kusilimu amechagua jina "Said Abdul Latif" alisema kwamba "Baada ya miongo kadhaa ya kuhisi kuvutiwa na Uislamu kwa viwango tofauti, hatimaye niliamua kusilimu", "Sikuwa na chaguo lingine isipokuwa ni kusema Laailaha illa Allah Waanna Muhammad...
  12. S

    Hongera Baba Askofu Shao wa Kanisa Katoliki Zanzibar

    Kiongozi wa dini ni kiungo cha jamii. Hapaswi kuwa mrengo wa kulia au kushoto (katika kujenga jamii moja). Hivyo ni muhimu mno kwa kiongozi wa dini atumie vema ulimi wake ili mwisho wa siku utoe matunda ya umoja, amani, utulivu, usalama na upendo katika jamii. Ndivyo alivyofanya Baba Askofu...
  13. YEHODAYA

    Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

    Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi. Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
  14. B

    Askofu Niwemugizi: Nyerere angekuwapo angewacharaza CCM viboko

    Askofu Severine Niwemugizi pasipo na kumung'unya maneno amefunguka: “Mwalimu Nyerere alikuwa muumini wa uhuru wa mawazo, mijadala na kujenga hoja. Alipenda kuona jamii ya watu wanajadiliana kwa hoja hata pale wanapokinzani kimtazamo. Hakupenda hoja za upande mmoja ndiyo maana licha ya wenzake...
  15. comte

    Askofu Shoo, samahani unapata wapi nguvu za kuihukumu Serikali kuwa imemuonea Mbowe?

    Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
  16. Nyendo

    Tukuyu: Waumini KKKT wamfukuza Baba Askofu Dkt. Edward Mwaikali

    Waumini wa kanisa la KKKT Usharika wa Tukuyu Mjini ulioko Dayosisi ya Konde wamemfukuza kanisani hapo Baba Askofu wa Dayosisi hiyo Dkt. Edward Mwaikali. Waumini hao wamedai kuwa Askofu huyo hawasikilizi na amekuwa akiwafukuza kazi wachungaji wasiomuunga mkono katika maamuzi yake. Pia soma...
Back
Top Bottom