lugha

  1. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania CAF yamfungia mechi 8 Kocha wa Taifa Stars, huku TFF ikimsimamisha. Aliishutumu Morocco kwa kupanga mechi

    Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemfungia mechi nane Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania Adel Amrouche kwasababu ya shutuma zake alizozitoa dhidi ya Morocco Adhabu hiyo ulitolewa jana na Kamati ya Nidhamu ya CAF baada ya malalamiko yaliyowasilishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu la...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Askofu aliyesema Bora abariki Jiwe kuliko ndoa za jinsia moja kaongea kauli ileile ya Papa kwa Lugha tofauti

    Kwa mujibu wa wachambuzi wa kauli za Papa. Wanadai hajasema ndoa za jinsia moja zibarikiwe, bali vitu vya hawa watu akija mmojammoja na anavitu vyake basi wasisite kuvibariki. Kusema bora ubariki jiwe ni sawa na kusema kilekile alichokisema Papa kuwa bora ubariki Sofa au Mradi au nyumba ya...
  3. Mtumbatu

    JamiiForums Tanzania Kwanini salamu za rambi rambi tusiandike kwa Kiswahili tu maana ... lugha hii hatuijui

    Kisha tuiachie X iweke tafsiri, kuliko kutumia lugha ya malkia halafu tunaonekana wa hovyo tu.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa hatua za ukuaji Kwa mtoto (Delayed milestone) na ufumbuzi wake. Mtoto anapozaliwa anatakiwa kukua kimwili, kiakili, lugha na kijamii

    Kuchelewa hatua za ukuaji Kwa mtoto (Delayed milestone) na ufumbuzi wake. Mtoto anapozaliwa anatakiwa kukua kimwili, kiakili, lugha na kijamii. Wengine hukua haraka au hufuata hatua za ukuaji pasipo kuchelewa ila Kuna wale ambao kutokana na sababu mbalimbali huchelewa kuendana na hatua za...
  5. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu Kiswahili kuwa lugha ya kufundishia?

    Ni mjadala wa miaka mingi, lakini bado muafaka haukafikiwa. Kuna wanaotaka Kiswahili kitumike kufundishia kuanzia Chekea Hadi Chuo Kikuu, na kuna wanaotoka English iwe lugha rasmi ya kufundishia madarasa yote. Mimi nakubaliana na wanaotaka Kiingereza ndiyo kitumike? Kwa wale wanaotaka...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso yafuta Kifaransa kama lugha yao ya Taifa, yabakia kuwa Lugha ya Kazi

    Burkina Faso ikiwa chini ya Ibrahim Traoré kwa mpito umepitisha muswada wa marekebisho ya Katiba na hivyo kutangaza lugha zao za ndani kuwa lugha rasmi badala ya Kifaransa ambayo sasa imeshushwa hadhi kuwa "Lugha ya kazi". "Katika rasimu hii, lazima tukumbuke kuwa lugha za kitaifa zimeainishwa...
  7. KENGE 01

    JamiiForums Tanzania Sasa utaweza kueleweshwa na Kutafsiriwa video yoyote yenye lugha yoyote kupitia AI(Akili bandia)

    IQ>>AI Na KENGE Technology ya AI inazidi kukua siku hadi Siku,kupelekea makampuni makubwa kama Google na Microsoft kushindana ubunifu wa AI Technology.Kwasasa tumeona picha nyingi zikisambaa kila mtu anaweza kutengeneza picha yake kama tulivyoona hapa Jinsi ya kutengeneza Picha kwa AI...
  8. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tafsiri ya shairi zuri kutoka katika lugha ya kisukuma kuwa kiswahili

    Ndugu zangu kuna Msukuma anakijua vizuri zaidi basi please: Umo wing'we anambeleje kutafsiri Lugano lwenulu na mambo gose du. Tusaidiane tafadhali wasukuma. Nitumie tafsiri yake kupitia 0734189022 tafadhali The DEDE legend: Sukuma tradition ""Lugano lwa DEDE, lwa kabili: Dede 1 Kimala...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Lugha zifuatazo hazifundishwi darasani na mwanadamu yeyote

    Salaam, shalom, INTRODUCTION. Lugha ni chombo na mawasiliano, ni nyenzo ambayo hutumika kama kiunganishi kati ya mtu mmoja na mwingine au kundi moja na jingine. Lugha hizo zaweza kuwa Rasmi au zisizo Rasmi, pia lugha zaweza kuwa zinazotamkika zingine zaweza kuwa za Ishara. Dunia ilipoumbwa...
  10. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Kipindi Cha "WATUBAKI" Cha Dstv Kijirekebishe Waache kutumia Lugha zenye Maudhui ya Kingono na Matusi

    Habari Wakuu, Kipindi cha uchekeshaji Kinachorushwa Katika King'amuzi cha Dstv channel Namba 160... Kimekuwa na Maudhui ya Lugha za kingono mno pamoja na Matusi ya rejareja, kwa mwanzo nilivyokuwa nafatilia hiki kipindi nilifikiri ni Bahati mbaya tu Maan muda mwingne Mdomo huteleza ila kadri...
  11. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Hili Taifa Vijana wangetumia ⅓ ya Akili zao leo hii tungekuwa Taifa kubwa kiuchumi zaidi ya Taifa la Marekani!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Ukiona viongozi wa Serikali wana wang'ang'ania wazee kwenye nafasi nyeti tambua ya kwamba vijana watakuwa na matatizo ya kiakili,Vijana wengi waliopewa nafasi ili waonyeshe uwezo wao wamekuwa wapumbavu kuliko hata wazee waliochokaa!. Hili Taifa la...
  12. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Vyakula vya kitanzania ambavyo huwezi kupata majina yake kwa lugha ya kigeni

    Hizi ni 'brand zenye hati miliki ya kitanzania' Vitumbua, chapati, makange, ugali, kachumbali, mtori, "ebyenshoro(wahaya)", "enumbu", "ensharazi", "amakongo", "entutunu", "ebila", "ebitomasi", "amasoma", udaga, kisusio(wachaga), n.k. EBU NA WEWE ONGEZEA KWA LUGHA YA KWENU
  13. R

    JamiiForums Tanzania Lugha gongana: Wananchi tunataka pesa irudi, wanasiasa wanavizia koti la kiranja mkuu

    Salaam, shalom!! Hapo bungeni, mpo Kwa ajili ya wananchi. LUGHA YA WANANCHI. Wananchi tunataka kuona wabadhirifu walioiba pesa za umma, walioguswa na Ripoti ya CAG , wananchi tunataka watu hao wafungwe wote, na pesa yetu irudi. Wakamuliwe Hadi sent ya mwisho, Mali zao ziuzwe pesa irudi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Makosa ya kuunganisha maneno katika lugha ya kiswahili

    Kuna makosa mengi yanajitokeza katika uandishi ambayo ni makosa ya kuunganisha maneno kana kwamba ni neno moja ilhali ni maneno mawili tofauti na yenye uamilifu tofauti. Mfano wa maneno hayo ni kama; Nakadhalika badala ya Na kadhalika. Halikadhalika badala ya Hali kadhalika. Kwanini badala ya...
  15. Afrocentric view

    JamiiForums Tanzania Kunena kwa lugha ni nini? Na nini hutokea pale mtu anaponena kwa lugha?

    Wakuu, Hapa duniani Kuna Imani nyingi, Kuna watu ambao hawaamini Mungu (atheists), Kuna waislam,Kuna wabudha. Kuna wakatoliki,wasabato na Kuna hawa wahusika wenyewe (walokole na wengineo). Ninapenda kujua mitazamo yenu juu ya Hawa watu kunena kwa lugha. Je ni Mungu au sio? A) Wanaosema ni...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Zifahamu zaidi sababu za utata katika lugha ya kiswahili

    Utata (Ambiguity) ni hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja. Mfano; Kima, kombe, meza, zama, barabara, kanda na katika sentensi "kaka zangu wote wana wake". SABABU ZA UTATA (i) Neno kuwa na maana zaidi ya moja mfano; Mbuzi, paa, tupa, pasi, Mswahili n.k. (ii) Kutozingatia alama...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Makosa yatokanayo na tafsiri ya moja kwa moja (SISISI) katika Lugha ya Kiswahili

    Tafsiri sisisi [ Literal translation] Hii ni aina ya tafsiri ambayo maneno hufasiriwa yakiwa pweke pweke kwa kuzingatia maana za msingi katika lugha chanzi bila kujali sana muktadha (Mwansoko na wenzake 2006).
  18. The Genius

    JamiiForums Tanzania Kijue kitabu kilichotafsiriwa kwa lugha nyingi zaidi duniani

    Kitabu cha kwanza kutafsiriwa kwenda kwenye lugha nyingi ni Biblia, Ambayo ilitafsiriwa kwenda kwenye lugha takribani 3589. Kitabu cha pili kutafsiriwa kwa lugha nyingi ni Don Quixote, riwaya iliyoandikwa na Miguel de Cervantes (Pichani), Riwaya hii huhesabiwa kuwa ni riwaya bora ulaya nzima...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Septemba 30, Siku ya Kimataifa ya Tafsiri ya Lugha

    Siku ya Kimataifa ya Tafsiri huadhimishwa Septemba 30 kila mwaka ikiwa na lengo la kuwaenzi Wataalamu wa Lugha, kuyaleta Mataifa Pamoja, Kuwezesha Mazungumzo, Maelewano na Ushirikiano, Kuchangia Maendeleo na Kuimarisha Amani na Usalama Duniani. Mei 24, 2017, Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa...
  20. City Of Lies

    JamiiForums Tanzania Hatimaye GO BET waomba radhi kwa kutumia lugha ya kuudhi

    Baada ya kutumia neno la kuudhi wameamua kuomba radhi ingiwa wametumia maneno ya kijanjajanja
Back
Top Bottom