lugha

  1. B

    JamiiForums Tanzania Jopo la Wanasheria 10 kuwaburuza kortini wanaotumia lugha ya matusi katika mjadala wa Bandari

    Jopo la wanasheria 10 Wakujitegemee kwenda Mahakamani kuomba kufungua kesi binafsi Juma Nasoro kuongoza jopo la wanasheria 10 wakujitegemea akiwemo wakili msomi Yahya Njama, wakili Abdulfataha Abdallah, wakili Hussein Hitu, wakili Salim Abubakar, Wakili Daimu Khalfani kuomba mahakama...
  2. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ni Mtanganyika kweli kweli, hakuwahi kwenda Ulaya. Alisalimia kwa lugha 27 kila alipohutubia

    Mwamba kweli kweli, Mtanganyika kweli kweli na Mtanzania halisi, hakuwahi kumuita mzungu au mwarabu wajomba zake. Safari zake zilikuwa kuzunguka Tanzania na uko alisalimu kila kabila alilokutana nalo njiani kwa lugha ya hiyo kabila, wanasema alijua lugha hizo wakati akizunguka Tanzania kujenga...
  3. Unasemeje

    JamiiForums Tanzania Lugha ya Taifa ya Tanganyika iwe Kiingereza

    Baada ya Tanganyika kuhuishwa kwenye katiba mpya, lugha ya taifa iwe Kiingereza, Kiswahili kimetuchelewesha sana, ona sasa kila nchi unayoomba kwenda kusoma au kufanya kazi wanataka ufanye English test simply because lugha ya taifa lako si kiingereza. Tukirejesha Tanganyika yetu, Lugha ni...
  4. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania CCM sasa tunaelewana, Chongolo amekubali mkataba DP World ulikuwa na makosa! Sasa tusonge mbele!

    Baada ya kuonywa mara nyingi na wadau, sasa CCM imeanza kuelewa. Na mimi kada nilionya huko nyuma, CCM ikiendelea kushupaza shingo, itavuna mabua 2025. https://www.jamiiforums.com/threads/ccm-kwa-mtaji-wa-ukakasi-wa-suala-la-bandari-kaeni-mguu-sawa-kungolewa.2113301/page-2#post-46992236 Suala...
  5. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kuhusiana na herufi A na lugha ya kiswahili?

    Lugha ya kiswahili imetawaliwa.na herufi A tazama. Uganda. Tanzania. Kenya.Botswana. Kaka. Dada. Mama. Baba. Chakula. Maisha.... Yaani karibia kila.kitu kimeishia na herufi a.
  6. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mali: Katiba Mpya yaondoa Kifaransa kama lugha rasmi

    Katiba mpya ya Mali imeondoa Kifaransa, ambacho kimekuwa lugha rasmi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi tangu mwaka 1960. Chini ya Katiba Mpya iliyopitishwa kwa wingi wa asilimia 96.91 ya kura katika kura ya maoni ya Juni 18, Kifaransa si lugha rasmi tena. Kifaransa itakuwa lugha ya kazi kuanzia...
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hata siku moja usikubali kuhojiwa kwa lugha ya watu. Utashindwa tu

    Siku zote ukitaka kuhojiwa hakikisha unatumia lugha yako mama. Usijidai kutumia lugha usiyozaliwa nayo. Utashindwa na kuabika. Ndiyo yaliyompata Mruma.
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukiona kiongozi anatumia Lugha za kutisha Watu, jua huyo ni dhulmati" mdhalimu", mashetani ndio hufanya hivyo

    UKIONA KIONGOZI ANATUMIA LUGHA ZA KUTISHA WATU, JUA HUYO NI DHULMATI"MDHALIMU", MASHETANI NDIO HUFANYA HAYO. Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Saikolojia ya mtu mwovu anapokabiliana na Mijadala hukimbilia Vitisho. Yupo mwovu hutoa vitisho Kwa sababu ya kuficha Maovu yake...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Lugha yasababisha Mahakama kuamuru kesi ya aliyehukumiwa kunyongwa isikilizwe tena

    Mahakama ya Rufani Kanda ya Shinyanga, imeamuru kesi ya mauaji inayomkabili, Juma Ndodi, aliyehukumiwa kunyongwa, ianze kusikilizwa upya kwa sababu hoja za awali na maelezo ya mashahidi yalisomwa kwa Lugha ya Kiswahili wakati yeye anaelewa Kisukuma. Uamuzi huo ulitolewa juzi mbele ya jopo la...
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Tukosoane kwa hoja na lugha za staha. Kutukanwa kwa mama mmoja ni kutukanwa kwa kina mama wote Tanzania

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknoloji ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) amewataka watanzania kutotumia lugha za matusi kukosoa jitihada mbalimbali zinazofanywa nchini na Rais wa Serikali ya Awamu ya Sita, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Waziri Nape ameyasema hayo leo Julai 18 Mkoani Dar es Salaam...
  11. DDAVYX

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ziba pengo katika mawasiliano

    Katika kutafuta huduma mbalimbali toka sehemu tofauti-tofauti, Lugha ni nyenzo muhimu sana. Ili uweze kueleweka unachotaka, ni lazima utumie lugha inayoeleweka kwa atakaye kuhudumia. Mfanyo, mgonjwa anatakiwa kutoa maelezo kiasi Fulani kabla ya daktari kuagiza aina ya vipimo vitakavyomsaidia...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Leo tusalimiane kwa lugha za makabila yetu

    Ndugu zangu kama itawapendeza leo tusalimiane kwa lugha za makabila yetu. Mimi ni mnyiramba natoka kule singidani Inye mbii kate.
  13. FIKRA NASAHA

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa ni siku ya lugha adhimu, lugha ya Kiswahili

    Hii ni Aburani na ahadi Iliyowekwa Siku za Nyuma na Umoja wa Mataifa, Kuwa Kutakuwa na Siku Maalumu ya Kusheherekea Lugha ya Kiswahili Duniani Kila Mwaka. Hii ni Abra nzuri kwa sisi wazungumzao lugha hii Adhwimu ya Kiswahili kujadili Mustakabali mzima wa lugha yetu. Basi na Sisi Waswahili Tuwe...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Akili Bandia ya 'Bard AI' sasa inakubali lugha ya Kiswahili

    Akili Bandia ya Bard ambayo inamilikiwa na Google ili kushindana na Akili Bandia ya ChatGPT imefanya mabadiliko. Google Bard imeongeza upatikanaji wake kwa lugha zaidi ya 40 ikiwemo lugha ya Kiswahili. Sasa hivi unaweza kuuliza akili bandia ya Google maswali yoyote kwa lugha ya kiswahili na...
  15. Kakira

    JamiiForums Tanzania Matamshi ya alama

    Katika matumizi ya simu tunakuta alama: * inatamkwa nyota. # inatamkwa alama ya reli. Kwanini * isitamkwe alama ya nyota sababu sio nyota kihalisia.
  16. Mtemi Eno

    JamiiForums Tanzania Lugha gongana, Naombeni tafsiri ya “Received from” na “Issued to”

    Good afternoon members (sijui kama nimepatia 😂 ) Kuna sehemu imeandikwa Received from / issued to. hapa unaweza kuandika bidhaa flani imeletwa kutoka stoo ama naandika majina ya wateja waliokuja kuchukua bidhaa . Naombeni msaada kuibadili iwe kiswahili
  17. R

    JamiiForums Tanzania Utungaji wa Sheria nchini uzingatie Mtiririko Mzuri na Matumizi ya Lugha Rahisi

    Ili wananchi waweze kuelewa vizuri Sheria mbalimbali nchini pamoja na vifungu vyake, kunatakiwa kuwe na mtiririko mzuri katika uandishi wake pamoja na matumizi ya lugha rahisi. Wananchi wanapaswa kuwa na uwezo wa kuelewa sheria bila kuhitaji msaada wa kisheria au ufafanuzi wa ziada. Hii...
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Anayejua hii lugha ya Tanganyika na Zanzibar itatufikia wapi anisaidie

    Siku haipiti bila kusikia malalamiko juu ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulioanzishwa kwa shinikizo la Marekani na tamaa ya madaraka ya Abedi Amani Karume na genge lake la mapinduzi. Je huu mnyukano ulioibuliwa na kutaka kuwekezwa kwenye bandari zetu utatufikia wapi kama taifa? Je muungano...
  19. F

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu bila Lugha: Mtaala mpya haujatutoa kwenye mtumbwi wa Vibwengo

    Nilipopata habari za mpango wa serikali ya Tanzania wa kupitia upya mtaala wa elimu, nilipata faraja na matumaini. Kuna matarajio makubwa yalianza kujijenga kichwani mwangu – matarajio ya kuondokana na elimu isiyoweza kutafsirika katika uhalisia wa maisha na kazi. Lakini kama wasemavyo waswahili...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Urusi kushirikiana katika kueneza lugha ya Kiswahili

    Na Eleuteri Mangi, WUSM, Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Urusi nchini Mhe. Andrey Avetisyan ambapo wamejadili namna bora ya Tanzania na Urusi kushirikiana katika sekta ya Utamaduni na Sanaa kwa manufaa...
Back
Top Bottom