Watu wa namna hii hopeless kabisa...Tanzania lugha rasmi ni English na Swahili. Hana hana hoja
Wanasema ndiyo usasa, wasipochanganya wataonekana hawajasoma,Meneja huduma za Utangazaji, TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka amesema kuwa tabia ya vyombo vya habari kuruhusu watangazaji kuchanganya lugha kwenye vipindi vyao ni kosa kisheria na watachukuliwa hatua.
View attachment 2904008
📹 TheChanzo
Written by Mjanja M1 ✍️
Huwa nashangazwa sana na hiki kitu, hivi ni kwamba watu wengi hawajui kuwa kiingereza ni lugha rasmi kabisa ya Tanzania..Tanzania lugha rasmi ni English na Swahili. Hana hana hoja
Mbona hata yeye amechanganya? Red light ni kiswahili?Meneja huduma za Utangazaji, TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka amesema kuwa tabia ya vyombo vya habari kuruhusu watangazaji kuchanganya lugha kwenye vipindi vyao ni kosa kisheria na watachukuliwa hatua.
View attachment 2904008
📹 TheChanzo
Written by Mjanja M1 ✍️
Kwanza hiyo T.C.R.A kirefu chake ni cha kiswahili au tunabagua vya kuviongelea 😁😁Wanasema ndiyo usasa, wasipochanganya wataonekana hawajasoma,
hii imekaaje mkuu sijaielewakuwekewa vikwazo kwenye kupokea malipo yao kutoka kwa clients wa nje..
nasema you are stupid TCRA! kwahiyo wakiite ASUBUHI NJEMA? Muwaachie watu watoe manEno ambyo wao wataona yanawavuta watazamaji. Good Morning sounds convincing ! sawa unaweza kusema Asubuhi NJema , lakini wabongo tunahitaji lugha ya malkia, rich in vocabulary!Meneja huduma za Utangazaji, TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka amesema kuwa tabia ya vyombo vya habari kuruhusu watangazaji kuchanganya lugha kwenye vipindi vyao ni kosa kisheria na watachukuliwa hatua.
View attachment 2904008
📹 TheChanzo
Written by Mjanja M1 ✍️
Redio kwizera ipo Ngara inatangaza Kirundi, Kihangaza na KihaHivi wanatoa leseni ya kuendesha chombo cha habari kwa kilugha cha kikabila hapa Tanzania.
Kuna baadhi ya channels za kenya na Uganda unakuta ni kilugha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania sasa inageuzwa kuwa shule ya msingi inayoendeshwa na mkuu wa shule akisaidiwa na madada na makaka. Yaani watu wazima hawakuona matatizo yote ya kuyatungia sheria wanatunga sheria ya umetamka nini! Naye hakimu anakufunga eti ulichanganya lugha kwenye redio mke wangu akaunguza nyama ya kuku!Meneja huduma za Utangazaji, TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka amesema kuwa tabia ya vyombo vya habari kuruhusu watangazaji kuchanganya lugha kwenye vipindi vyao ni kosa kisheria na watachukuliwa hatua.
View attachment 2904008
📹 TheChanzo
Written by Mjanja M1 ✍️
Hizo nchi zinajitambua, lugha ya kwenu si dhambi au haram.Hivi wanatoa leseni ya kuendesha chombo cha habari kwa kilugha cha kikabila hapa Tanzania.
Kuna baadhi ya channels za kenya na Uganda unakuta ni kilugha tu
Sent using Jamii Forums mobile app