Kipindi Cha "WATUBAKI" Cha Dstv Kijirekebishe Waache kutumia Lugha zenye Maudhui ya Kingono na Matusi

Malaika wa Misukosuko

JF-Expert Member
Jul 16, 2021
1,603
4,762
Habari Wakuu,

Kipindi cha uchekeshaji Kinachorushwa Katika King'amuzi cha Dstv channel Namba 160... Kimekuwa na Maudhui ya Lugha za kingono mno pamoja na Matusi ya rejareja, kwa mwanzo nilivyokuwa nafatilia hiki kipindi nilifikiri ni Bahati mbaya tu Maan muda mwingne Mdomo huteleza ila kadri siku zinavyozidi kwenda naona Tatizo linaongezeka,

Katika kipindi hicho ni Kitu cha kawaida sana kusikia maneno kama vumbi la kongo Au hata habari za Ushoga,... Siku moja katika show yao walianza kuongelea ile Video iliyosambaa ya yule askari wa Zanzibar aliyekuwa Anafanya mapenzi ya jinsia Moja,

Kiukweli kama hawa vijana hawatoonywa mapema basi tusiendelee kutafuta Wa kumlaumu kuhusu Mmomonyoko wa maadili...maan nimekuwa nikifatilia baadhi ya Shows zao naona kuna watu wanaenda hadi na Watoto wao kwenye zile shows,

Sasa kama show mpka na watoto wanaenda na wengne wanafatilia na Familia zao wakiwa nyumbani alafu ghafla zinaanza Topic kama hizo za Video ya askari wa zanzibar mara Matumizi ya vumbi la Kongo,... Ivi hamuoni kama Mnatengeneza Kizazi cha ajabu sana kutokana na Promotion ya vitu ambavyo vinachangia Maadili kushuka ?

Naomba waziri husika pamoja na Dstv wawape onyo hao vijana waache kutumia Lugha zinazo Promote Ngono na matusi, na badala yake watumie Lugha nzuri watu wafurahi kama ilivyo dhumuni la Kipindi,

Naimani Idara husika Watalitazama hili na kama mnaona Nachosema ni Uongo jaribuni kupitia vipindi vitano tu vya hao vijana Mtakuja kuleta ushahidi wenyewe hapa,

Wajifunze hata Kwa wakenya ile Churchill show watu tunaangaliaga mpka na Watoto wetu na Mnamaliza vizuri kabsa bila kuskia Matusi wala Promotion za Ngono Zembe, kiufupi mjirekebishe

Uzi Tayari
images (46).jpeg
 
Awa stand up comedy wanajitafuta lakini hawajipati tatizo ni talents nafikiri. Katika vitu alichemka Diamond Platnumz ni kuweka hela kwenye stand up comedy.
 
Hivi hawa watu baki wanafanyia events zao wapi?
Niliambiwa maeneo ya Sam nujoma road lakini sijui jengo lipi?!
 
Awa stand up comedy wanajitafuta lakini hawajipati tatizo ni talents nafikiri. Katika vitu alichemka Diamond Platnumz ni kuweka hela kwenye stand up comedy.
Wewe msssssenge innocent dependent unapenda kuongea uongo kisa tu dayamondi anakutatua marinda. Wewe matterco lokole tunakujua vizuri shoga wewe mpigwa miti
 
Habari Wakuu,

Kipindi cha uchekeshaji Kinachorushwa Katika King'amuzi cha Dstv channel Namba 160... Kimekuwa na Maudhui ya Lugha za kingono mno pamoja na Matusi ya rejareja, kwa mwanzo nilivyokuwa nafatilia hiki kipindi nilifikiri ni Bahati mbaya tu Maan muda mwingne Mdomo huteleza ila kadri siku zinavyozidi kwenda naona Tatizo linaongezeka,

Katika kipindi hicho ni Kitu cha kawaida sana kusikia maneno kama vumbi la kongo Au hata habari za Ushoga,... Siku moja katika show yao walianza kuongelea ile Video iliyosambaa ya yule askari wa Zanzibar aliyekuwa Anafanya mapenzi ya jinsia Moja,

Kiukweli kama hawa vijana hawatoonywa mapema basi tusiendelee kutafuta Wa kumlaumu kuhusu Mmomonyoko wa maadili...maan nimekuwa nikifatilia baadhi ya Shows zao naona kuna watu wanaenda hadi na Watoto wao kwenye zile shows,

Sasa kama show mpka na watoto wanaenda na wengne wanafatilia na Familia zao wakiwa nyumbani alafu ghafla zinaanza Topic kama hizo za Video ya askari wa zanzibar mara Matumizi ya vumbi la Kongo,... Ivi hamuoni kama Mnatengeneza Kizazi cha ajabu sana kutokana na Promotion ya vitu ambavyo vinachangia Maadili kushuka ?

Naomba waziri husika pamoja na Dstv wawape onyo hao vijana waache kutumia Lugha zinazo Promote Ngono na matusi, na badala yake watumie Lugha nzuri watu wafurahi kama ilivyo dhumuni la Kipindi,

Naimani Idara husika Watalitazama hili na kama mnaona Nachosema ni Uongo jaribuni kupitia vipindi vitano tu vya hao vijana Mtakuja kuleta ushahidi wenyewe hapa,

Wajifunze hata Kwa wakenya ile Churchill show watu tunaangaliaga mpka na Watoto wetu na Mnamaliza vizuri kabsa bila kuskia Matusi wala Promotion za Ngono Zembe, kiufupi mjirekebishe

Uzi TayariView attachment 2829738
Kwani mkuu ulienda kuangalia Commedy au ulienda kusikiliza mahubiri...

Na usiku huo mtoto wa nini kwenye show ina maana hujui kuwa mtoto Ni marufuku kuwa Kwenye kumbi za starehe kisheria zaidi ya saa 12 ....
Hapa umeonyesha ulivyo irresponsible father..

Na kama ni kipindi kiko saa nne unawezaje kumuacha mwanao kwenye Tv mpaka saa nne...
 
Sasa unamtukana mwenzako kakosa nini? Sio vyema jitahidi uwe na heshima kwa wengine.
 
Back
Top Bottom