Lugha gongana: Wananchi tunataka pesa irudi, wanasiasa wanavizia koti la kiranja mkuu

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,103
22,547
Salaam, shalom!!

Hapo bungeni, mpo Kwa ajili ya wananchi.

LUGHA YA WANANCHI.

Wananchi tunataka kuona wabadhirifu walioiba pesa za umma, walioguswa na Ripoti ya CAG , wananchi tunataka watu hao wafungwe wote, na pesa yetu irudi. Wakamuliwe Hadi sent ya mwisho, Mali zao ziuzwe pesa irudi.

LUGHA YA WANASIASA.

Zimesikika sauti ndani ya nyumba Ile "Vunja Barazaaa"!!! Ni kama hawajui wapi Hasa lilipo tatizo.

Wengine wamekaa Mahali wanachanga karata zao, wanaotumia mwanya wa ubadhirifu uliotokea kutaka kupita na koti la kaka mkubwa ,kiranja mkuu wakiamini tutahadaika na kuona wamechukua hatua stahiki.

Kaka mkubwa Hana mkono mrefu maskini wa watu, Eti wale wale waliozipiga, Wanataka tena Yeye Abebe lawama za wizi wao.

HATUDANGANYIKI 😳

Tumeshajifunza nini kilitokea Awamu ya nne, Mzee wetu aliondolewa na pesa zetu hazikurudi.

Ikiwa pesa za umma zinaibwa, na pesa zenyewe ni za MKOPO ,sisi wananchi tupate wapi pesa za kurudi kulipa mkopo na riba wakati pesa zetu hazikufanya KAZI yoyote zaidi ya kuibwa?

Nani wa kumfunga paka kengele?

Tukutane kwenye Sanduku la kura baada ya Kupata kwanza Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya.

NB: Mungu aliyemsaidia Majaliwa kuokoa majeruhi wa Ajali ya ndege Mwanza, ndiye huyo atamsaidia kiranja mkuu kuepuka zengwe mbele yake.

Karibuni 🙏

Elli
 
Salaam, shalom!!

Hapo bungeni, mpo Kwa ajili ya wananchi.

LUGHA YA WANANCHI.

Wananchi tunataka kuona wabadhirifu walioiba pesa za umma, walioguswa na Ripoti ya CAG , wananchi tunataka watu hao wafungwe wote, na pesa yetu irudi. Wakamuliwe Hadi sent ya mwisho, Mali zao ziuzwe pesa irudi.

LUGHA YA WANASIASA.

Wao wamekaa Mahali wanachanga karata zao, wanaotumia mwanya wa ubadhirifu uliotokea kupita na koti la kaka mkubwa ,kiranja mkuu wakiamini tutahadaika na kuona wamechukua hatua stahiki.

Kaka mkubwa Hana mkono mrefu maskini wa watu, Eti wale wale waliozipiga, Wanataka tena Yeye Abebe lawama za wizi wao.

HATUDANGANYIKI 😳

Tumeshajifunza nini kilitokea Awamu ya nne, Mzee wetu aliondolewa na pesa zetu hazikurudi.

Ikiwa pesa za umma zinaibwa, na pesa zenyewe ni za mkopo, sisi wananchi tupate wapi pesa za kurudi kulipa mkopo na riba wakati pesa zetu hazikufanya KAZI yoyote zaidi ya kuibwa?

Tukutane kwenye Sanduku la kura baada ya Kupata Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya.

Kama wanaotaka ajiuzulu mwenyewe hatojiuzulu na ana back up coz angeshajiuzulu zamani sana!

Kama wanaotaka kuvunja Baraza maksudi Ili wamtose aiseh namuonea huruma sana mama coz I'd za kimkakati zilikuja zikaonya maonyo makali!voicer uko wapi!?

Wanasiasa wetu sijui wanafikiria Nini yaani unaiba mkopo na sio faida ya mkopo!!?kwanini wasisubiri faida ya mkopo ndio waibe!!
 
Hujasikia Kuna mbunge amesema Rais avunje Baraza la mawaziri?

Wizi ni haramu, bila kujali anaiba mkopo au faida ya mkopo.

Wenyenchi tunaongea lugha isiyoeleweka vizuri na wanasiasa!!

Tusubiri.
 
Salaam, shalom!!

Hapo bungeni, mpo Kwa ajili ya wananchi.

LUGHA YA WANANCHI.

Wananchi tunataka kuona wabadhirifu walioiba pesa za umma, walioguswa na Ripoti ya CAG , wananchi tunataka watu hao wafungwe wote, na pesa yetu irudi. Wakamuliwe Hadi sent ya mwisho, Mali zao ziuzwe pesa irudi.

LUGHA YA WANASIASA.

Wao wamekaa Mahali wanachanga karata zao, wanaotumia mwanya wa ubadhirifu uliotokea kupita na koti la kaka mkubwa ,kiranja mkuu wakiamini tutahadaika na kuona wamechukua hatua stahiki.

Kaka mkubwa Hana mkono mrefu maskini wa watu, Eti wale wale waliozipiga, Wanataka tena Yeye Abebe lawama za wizi wao.

HATUDANGANYIKI 😳

Tumeshajifunza nini kilitokea Awamu ya nne, Mzee wetu aliondolewa na pesa zetu hazikurudi.

Ikiwa pesa za umma zinaibwa, na pesa zenyewe ni za mkopo, sisi wananchi tupate wapi pesa za kurudi kulipa mkopo na riba wakati pesa zetu hazikufanya KAZI yoyote zaidi ya kuibwa?

Tukutane kwenye Sanduku la kura baada ya Kupata Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya.

NB: Mungu aliyemsaidia Majaliwa kuokoa majeruhi wa Ajali ya ndege Mwanza, ndiye huyo atamsaidia kiranja mkuu kuepuka zengwe mbele yake.

Karibuni 🙏
una hoja lakini imechuja
 
Ok, fafanua HOJA yangu kuhusu mada hapo juu, imechuja vipi?
kwahiyo wewe pamoja na wananchi wanaotaka kuandamana pamoja na mpina kule Mbeya wanataka majizi wafungwe kwa matakwa na mapendekezo yao sio wafungwe kwa mujibu wa sheria kulingana na wizi wao right?
 
Mpina ameandamana bungeni?

Mpina anasema Mwigulu na Mbarawa wakamatwe, na ushahidi amesoma pale.

Wananchi tunataka, wasiishie kufungwa, pesa zote warudishe Kwa namna yoyote.

Usihamishe magoli!!
 
Mpinga ameandamana bungeni?

Mpina anasema Mwigulu na Mbarawa wakamatwe, na ushahidi amesoma pale.

Usihamishe magoli!!
embua aende mahakamani na huo ushahidi kwa niaba ya nyie waandamanaji haramu tuone ukweli halisi sio kubwekabweka kama umbwa koko ndani ya geti.....
 
Aende mahakamani Mpina, waandamanaji au TAKUKURU?

Mbona unajibu HOJA kama layman?
ndugu yangu Punguani,
sasa kwahiyo huyo ndugu yako mapina akibwekabweka kama mbvwa koko ndio atakua amewasaidia nyinyi waaandamanaji haramu, right?
 
Leo hauko sawa ndugu!!

Maandamano Si MAPINDUZI. MAKONDA alipokelewa Juzi Kwa maandamano, na halipo baya lililotokea.

Mada inaongelea lingine, wewe unaongea lingine!!

Pole sana🙏
 
msingeiba ndizi, vitunguu, nyanya , karoti, hoho, ndimu, viazi, mauzo ya siku na vingine vingi mlivyoibaga kwenye banda langu la kujitaftia riziki, angalau ningewaelewa kuhusu maandamano ya amani....

ule ujamabazi mlufanya kumbafu zenu nyie wezi nina hasira siku mjichanganye tena......

mnaimba, tunadai haki zetu huku mnabugia ndizi za wizi mlizoiba bandani kwangu kweli? hiyo ndio haki?
au kupora vya watu ndicho mnachtetea?

yaani mnadhulumu vitu vya wanyonge halafu mnaenda kudai serikalini.......

na huyo adelphina wenu hizo data za matrilioni ya pesa mbona anazo yeye tu? amejipiklishia wapi......
 
Back
Top Bottom