lugha

  1. Manton

    JamiiForums Tanzania Lima Emilala: Jina la mwaka 2020 katika lugha ya Kihaya

    Nakusalimu katika lugha ya kiungwana sana,lugha asilia isiyo na chembe chembe za utumwa wala ubaguzi. 'Abawe naiwe mugumile?' maana yake 'wote hamjambo?' Jibu hivi; 'tugumile chwena!' yaani umejibu "sote hatujambo!" Baada ya salamu tuelekeze fikra zetu katika kichwa cha uzi huu, kisemacho...
  2. Tz boy 4tino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lugha ya kiingereza hata Kenya ni tatizo acheni Kujimwambafy.

  3. Charles Gerald

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe nahau na methali za lugha ya kisukuma

    Jamani wakati tunakua tulikuwa tuna ganilwa nahau na methali mbalimbali za kisukuma na bibi na babu zetu, hata sisi wenyewe wakati tunachunga tulikuwa na mchezo wa kugani methali na mwingine anatoa jibu. Naona kulingana na mabadiliko mbalimbali watoto wetu na uhakika kwa asilimia zote hawazijui...
  4. Richard

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania Uingereza walalamikiwa kwa kutopokea simu, huduma duni kutoka kwa wageni watarajiwa, je wahusika wanakwepa lugha ya kiingereza?

    Tangu kuanzishwa kwa huduma ya kufanya maombi ya viza mtandaoni kwa wageni wanaotarajiwa kutembelea Tanzania, huduma hiyo imezorota katika siku za karibuni. Muombaji viza anaetaka kutembelea Tanzania kwa kusudio lolote inanmbidi ajaze fomu ya maombi mtandaoni ambapo idara ya uhamiaji makao...
  5. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Misimu ndani ya JamiiForums

    Msimu ni maneno yasiyo sanifu yanayoanzishwa na kikundi cha watu wachache wenye utamaduni mmoja ili kueleza mahusiano yao kama kikundi. Kwa kawaida maneno hayo huzuka na kupotea, ila yale yanayodumu husanifiwa na kuwa msamiati rasmi wa lugha. Tafiti zimebaini kuwa mitandao ya kijamii imekuwa na...
  6. authjeremmy

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Matumizi ya Tarakilishi (Operating System) kwa Lugha ya Kiswahili

    Salamu kwenu wote. Jina langu ni Jeremiah Rotich, kutoka nchi ya Kenya. Ningependa kuchukua fursa hii kuwatangazia kuwa nimeanzisha shirika/ mradi linalowania kutengeneza Mfumo wa Matumizi (Operating System) kwa lugha ya Kiswahili. Wengine wenu mnaweza kuwa mnafahamu uwepo wa kilinux...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar ataka sheria ziandikwe kwa lugha ya Kiswahili ili wananchi wajue haki zao

    NA RAJAB MKASABA, IKULU RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ameitaka Jumuiya ya Majaji na Mahakimu ya Nchi za Afrika Mashariki (EAMJA) kuhakikisha sheria zinatafsiriwa kutoka lugha ya Kiingereza kwenda lugha ya Kiswahili. Alisema hatua hiyo...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania UDSM kuanza kutoa mitihani ya kimataifa ya Kiswahili ili kuikuza lugha hiyo duniani

    Na Ezekiel Mtonyole, Dodoma. Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) kinataraji kuanza kutoa Mitihani ya Kimataifa ya Ujuzi wa Lugha ya Kiswahili kwa lengo la kuhakikisha lugha ya kiswahili inakuwa zaidi Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia...
  9. Tukudzi

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kubadilisha lugha ya kompyuta iwe Kiswahili

    Ungependa kubadilisha lugha ya tarakilishi yako kutoka Kimombo hadi Kiswahili? Ungependa kutumia Microsoft Office kwa Kiswahili? Basi fuata maagizo haya. Kitu cha kwanza unachofaa kujua ni kuwa Windows hutumia faili aina ya LIP (language interface pack) kuwezesha lugha zisizo Kimombo kuonyeshwa...
  10. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kiarabu kuwa lugha Rasmi Tanzania

    Huku Taifa likipokea wawekezaji wengi kutoka nchi zinazozungumza lugha ya kiarabu duniani na pia kuwepo kwa fursa za ajira na biashara katika nchi zinazozungumza kiarabu (Morocco, Algeria, UAE, Saudi Arabia, Misri, Libyan n.k) Nafikiri ni busara sasa Lugha ya Kiarabu irasimishwe kwa kuingizwa...
  11. Mtoto Wabibi

    JamiiForums Tanzania Kwa lugha yetu ya kisintaksia kule Bangladeshi

    Kwa lugha hii ambayo inatumia symbols na herufi Kubwa na ndogo kwa pamoja za kibangladeshi lakini matamishi yakisikika sawa na ya lugha za kibantu na majina yakifanana sana.mfano: 1: JEbhh Sgsg Kafg Afgbb= kiongozi wa vilaza katika jamii hiyo. 2: Usfv Kmjhv Ahfhh Wsgh Ajvgj= ni kufikwa na...
Back
Top Bottom