Sera ya lugha Tanzania

Jan 28, 2023
5
2
Wadau mliosoma uwalimu Haswa walimu wa lugha kwa level zote diploma na degree. Kuna yoyote anayekumbuka kujifunza juu ya sera ya lugha ya Tanzania.

Katika kozi ulizosoma chuo je kunakozi yoyote iliyokufundisha kutambua sera ya lugha ya Tanzania na malengo yake.

Kama walimu watarajiwa mlijadili juu ya sera hiyo kuanzia mchakato wake, utekelezaji wake, matumizi yake hasa katika elimu.

Naomba maoni yenu kwani Mimi sikumbuki kusoma kozi yoyote iliyokuwa na discussion ya sera hiyo hata tu kuniona nikiwa Kama mwalimu mtarajiwa.
 
Back
Top Bottom