Wakuu,
Mwaka 2023 unakaribia kuisha, tumekutana na mambo mengi, ya kufunza, kukatisha tamaa, kutusogeza mbele ama kuturudisha nyuma, kutupa nguvu na kutufurahisha pia.
Katika mambo yote uliyokutana nayo, ni kipi kimekugusa sana kwa namna moja ama nyingine na kukufunza jambo?
Wakuu wasaalam
Mwezi huu nimefanikiwa kupaua nyumba yangu, kuweka magrill, kuchimba shimo la choo na nina mpango wa kupiga plasta nadni na nje pamoja na jamvi. kinachoniumiza kichwa mwezi Januari mwishoni kodi yangu inaisha na ninatakiwa kulipa kodi ya miezi sita kila nikiwaza nihamie kwa hatua...
Nimefurahi sana nilipokutana na jamaa zangu tulimaliza chuo mwaka mmoja na wamefanikiwa kimaisha japo hawakuwahi kuajiriwa
Mmoja aliamua kuwa bodaboda pamoja na digrii yake. Kwasasa amejenga nyumba mbeya mjini. Anazo bajaji kadhaa kaajiri vijana na analo duka kubwa la jumla.
Mwingine yeye...
Kwenye pitapita zangu huko kwenye YouTube nimekutana na channel yenye subscribers 151 tu. Ila ukiplay video inaleta kwanza matangazo. So, hii ndo kusema hii channel ya watu 151 Iko monetized??? Kama jibu ni YES, Je inawezekana hii??
Kwani vigezo hasa vya channels kuwa monetized ni vipi???
Yaani ni kama nimetapeliwa,
leo ni siku ya sita naomba kuhamishiwa huduma kwenye jengo jipya ila hayo majibu ninayopewa we acha tu
Huku huduma sipati, na huku siku zinakataaa na simu hawapokei na wakipokea hiyo shombo sasa
Najuuuutaaa kuwajua zuku
Katika maisha tunaishi ila usikubali kumpa MTU ahadi yoyote , ishi maisha yako tu.
Kuwa na ule mfumo wa MTU akikuomba kitu mwambie ebu tuone hali itakuaje.
Wafanyie WATU surprise ila usiwape ahadi.
Avoid entitlement trap -this life is yours hakuna MTU aliapa kuwa atakupa chochote unachokitaka...
Hii hofu kwamba siku ya Uchaguzi itafika,halafu watakuja watu kwenye vituo,na maboksi yamejaa kura za "Ndiyo" kwa mgombea wa CCM.
Au hofu kwamba Uchaguzi utafika na viongozi wote wa Upinzani watakuwa roundef up, watapelekwa mahabusu. Hizi hofu hazina msingi, ndiyo mawazo yangu.
Kweli...
Mabaraza ya Maaskofu wa Katoliki huko Nigeria na Ghana pia wamesema hawatatoa baraka zozote kwa wapenzi wa jinsia moja. Kiuhalisia waraka wa Papa Francis umezua taharuki sana, Papa John Paul II na Benedict XVI hawakuwahi kuyumba wala kutoa matakamko ya kuzua taharuki kiasi hiki
Habari ndugu zangu,
Mimi ni kijana(25) wa kiume niko Dar es Salaam, katika kutafta kazi baada ya kumaliza chuo( miezi 4 mtaani) mwaka huu mambo yamekuwa magumu nilipga kazi mbalimbali kama ujenzi, kulima, kubeba mizigo Kariakoo ila pesa ni kidogo kiasi kwamba kodi ikifika ya nyumba huna cha...
Habari ndugu zangu, mm Ni wa kiume (25). Nilipokuwa chuo nikipata na mdada ambaye mazingira ya chuo yalikuwa magumu kiasi kwamba ilibaki kidogo kudisco, ila nikapata huruma kunisaidia ktk kusaidiana mwaka wa mwisho ikabid tuishi pamoja km wapenzi.
Maisha yalikuwa matamu sana sikuwahi kuona...
1. Kwa imani ya kikristo, uwepo wa dunia na vyote vilivyomo umejengeka kutokea katika kitabu cha Mwanzo.
2. Kwa mujibu wa kitabu hicho binadamu aliumbwa siku ya sita baada ya awali kuumbwa mbingu na nchi.
3. Kwamba hapo #2; day 1: kuliumbwa nuru katika giza; day 2: kukaumbwa mbIngu day 3...
Madebe Lidai tunakudai utuombe msamaha sisi wakristo kwa kauli yako hii uliyoitoa kwenye instastory yako;
"Mtu kaenda Maka akirudi anaacha mke anachukua mke wa mtu aliyeachwa akaanza Kuzini hadharani hapo ndipo utaamini hata maka wakristo wapo 🤣🤣"
Kauli hii ni ya kichochezi na inamaanisha...
Walitaka "kumshughulikia" Mchungaji aliyekuwa akikwamisha kazi zao, lakini wakaishia kukutana na nguvu za Mungu na hatimaye kiongozi wao kudondoka na ungo.
"Atheist" atalichukuliaje tukio hilo?
Mungu Yupo, na watu wanaomwamini si wa kuchezewa na wachawi.
Video hiyo hapo.
Sheria inasemaje...
Baada ya nchi za Malawi, Cameroon, Nigeria na Zambia kupinga waraka wa Papa Francis unaoelekeza kanisa katholiki kubariki ama kuwapa baraka watu wanaojihusishwa na mapenzi ya jinsia moja ama mashoga, sasa nchi za Ulaya Mashariki kama Ukraine na Poland wameupinga huo waraka.
Nchi hizo za Ulaya...
Salaam, Shalom!!!
Hii ni dira muhimu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Katibu MKUU wa Chama Cha DEMOKRASIA na Maendeleo CHADEMA, ndugu John Mnyika amefanya Press Conference na vyombo mbalimbali vya habari nchini Kutoa ufafanuzi juu ya HOJA mbalimbali kujibu HOJA ikiwamo Ile iliyoibuliwa na...
1.Moyo ndio kiungo pekee katika mwili ambacho hakitulii katika maisha yote.
2. Moyo huanza kupiga wiki nne baada ya mimba kutungwa na hauachi hadi kifo.
3.Kila seli katika mwili wako hupata damu kutoka kwa moyo wako, isipokuwa kwa konea zako.
4.Moyo kwa wastani hupiga mara 60-100 kwa dakika...
Sheikh Kipozeo amshukia Afande Sele kuhusu kifo cha Magufuli.
Sitii langu hapa kwa sasa, jionee mwenyewe:
Chanzo: https://youtu.be/_rImiIvDHnI?si=jVvGaHv0PVX-7CeH
Nimeshangaaa kuona baadhi ya watu wanashea habari na picha za uongo kuwa kijana molel alijiunga na jeshi la isael, watu Hawa wasio na akili wamekuwa wakituma picha zilizoeditiwa kiasi Cha Mimi kuzifanyia uchunguzi nikabaini Ni upotoshaji, lakini nikajiuliza wanapata faida gani kufanya hivyo? Au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.