TANESCO wamejificha kwenye kichaka cha uzalishaji wa umeme wa gesi ili kupika data za kiasi cha umeme.
Leo hii mvua zimeanza na hali ya umeme imeboreka sana. Inaonekana umeme wetu mwingi ni wa maji. Upatikanaji wa umeme wetu unabadilika kulingana na uzalishaji wa umeme wa maji. Ule wa gesi...
Naweza kusema haya sasa ndiyo maelezo sahihi ambayo yana make sense, maana kama umemaliza form 4 naamini umesoma Geography, na hizi mambo za Mass Wasting na Mud Slides ni vitu tulivyosoma kwenye Physical Geography.
★★★★★★★★★★★★★★★★★★★★
Dr. Derick Magoma, Ph.Dambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA...
Last week niliandika Uzi hapa kuhusu namna unavyo weza kutengeneza pesa, network na connection kwa kufanya kazi ya KUBADILISHA UPEPO kuhusu watu wanao tuhumiwa au nyooshewa vidole na jamii kuhusu mambo mbalimbali.
Leo nimefanya jambo hilo kwa vitendo na nimekuwa monetary rewarded.
Ni hivi...
https://youtu.be/FHNY4s5ekxk
"Mnamo saa kumi na mbili asubuhi, nilikuwa nimelala ndipo mume wangu aliponiamsha, akiuliza, 'hilo si tetemeko la ardhi?' Mimi na watoto wetu tulianza kukimbia nje, lakini tulijikuta tumezungukwa na matope kila mahali, na yalianza kutuburuta. Tulikwama kwa saa...
Wanazuoni wa Dini za Kikristo na Kiislam (Dr Sule na Pastor Ndacha ) wameandaa mdahalo wa Dini hizi mbili hapo Ukumbi wa PTA tarehe 16 na 17 December 2023.
Katika mahojiano yao kupita Vivo online tv, wamejinasibu kuwa mdahalo huo utakuwa wa kistaarabu na wenye kuimarisha imani za waumini wao...
Wanaume wengi hawaelewi uhusiano uliopo kati ya mke wake na watoto wako (mama na mtoto), na hivyo huwaonea wivu wake zao baada ya kujifungua .(kupata mtoto)
Watu wanapooana, miezi ya mwanzoni huona ndoa kuwa tamu sana ila sababu za ugomvi mwingi katika ndoa ni pale mtoto anapopatikana, wanaume...
Habari ndugu zangu wa JF ..kama heading inavyojieleza naomba msaada wenu kwa ushauri najua JF ina kila aina ya watu nimeamua Nije apa kwakuwa nina amini hii ni nyumba ya kila kitu.
Tatizo langu la koo kuhuma lilianza takribani miezi 6 iliyopita..Nilianza kusikia maumivu ninapomeza chakula,shida...
Wengi wanamfananisha Selemani na Mtoto lddi,...Mnakosea sana....
Historia kamili hii hapa,
Miaka ya themanini Kalubandika wa bendi ya Orchestra Maquis Original,
Aliingia katika mahusiano na binti mmoja hivi jina limenitoka,baada ya kumpa ujauzito huyu binti, Kalubandika aliukataa.
Bahati...
Tumekuwa wepesi kupeleka watu,mali na kutoa salam za pole pale janga au maafa yanapowakumba majirani zetu.
Leo ni siku ya tatu hakuna jirani aliyetukimbilia aidha kwa misaada au hata pole ya maandishi. Hawa majirani hawana taarifa ya matatizo haya wanayopitia ndugu zetu?
Lakini pia hakuna...
Sabaya ni watu wakatili na wamefanya ukatili kwa vipindi tofauti. Baba akiwa DC alichoma nyumba za wafugaji huko Arusha akaondolewa kwenye nafasi hiyo.
Mwanaye akiwa DC wa Hai alifanyia watu ukatili na alipohojiwa mahakama alitamka kwamba alikuwa anatenda hayo kwa kutumwa na JPM.
Leo Mzee...
Kama unapitia thread hii naamini unaelewa kuhusu cryptocurrency kwahiyo sitaelezea kuhusu introduction to Cryptocurrency kwasabu naamini hizo mada zipo humubau waweza kuzikuta Google.
Katika Cryptocurrency wadau wengi wamekua wakiamini ni njia Moja salama zaidi ktk kufanya miamala salama na...
Wanaukumbi,
Tuliambiwa kuwa Jeshi la Israel limechukua umiliki wa Gaza na wanakamilisha vitu vidogo vidogo kumaliza vita, lakini cha kushangaza mbona kila siku tunasikia vifo vya Wanajeshi wa Israel IDF hawajahi kutuonyesha maiti za Hamas zaidi ya kuona Maiti za Watoto na wanawake.
DF...
Wakuu mimi nilichoma YELLOW FEVER zamani..nakumbuka niliambiwa inakaa mwilini miaka 10. Kipindi nachoma ilikua zile passport za zamani.
Nimechoma 2016 hivyo kimsingi haijaisha mwilini kinga yake itaisha 2026. Sasa nauliza kuna haja ya kuchoma tena au kutoa pesa nipewe kadi mpya ambayo...
Wasalaam wana jamvi
Nimekuwa nikipita bango la Akuzamu International Church maeneo ya njia panda ya Bahari Beach kila mara.
Naomba kujua zaidi kwa mwenye undani au ufahamu wa hili kanisa.
Asanteni.
Inasemekana baada ya kupewa timu kwa Muda. Mo aliridhika na kiwango cha Timu. Akaamua kumpigia kujua vitu anavyotaka ili awe kocha. Mgunda akasema gharama zote na mahitaji.
Mo akaona huyu ndio anayefaa sasa. Kwasababu viongozi hawakupata cha juu zikaanza figisu.
Kuchonganishwa na baadhi...
Heshima kwenu ndugu zangu!
Nashawishika kuandika maoni haya Leo nikitambulika kama fundi Samico, Fundi bora kabisa wa umeme na ujenzi kwa bei nafuu kwa watu wote na taasisi!
Wateja wangu ni wengi wakiwemo hata makahaba wenyewe! Napatikana kwa simu 0711756341 au Instagram tafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.