Naendelea kujifunza kuhusu mwanamke nje ya mama

mapema

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
411
1,139
Nje ya mama mwanamke hana upendo wowote kwa mwanaume.

Nje ya mama mwanamke hana huruma kwa mwanaume.

Mwanamke hamuhitaji mwanaume kwa aina yoyote ya hitaji kinyume na mwanaume mwanaume anavyo muhitaji mwanaume.

Mwanamke haingii kwenye ndoa kwa ajili ya sex na sababu zake nyingine.

Naendelea kujifunza mwanamke ni nini na ninani akiwa sio mama yangu.
 
Ishini nao kwa akili.

Dada aliwahi kuniambia "mdogo wangu tofauti na sisi dada zako na mama yako, hakuna mwanamke mwingine atakaekuonea huruma"

Sikumuelewa kipindi hicho ndio utiineja umepamba moto kinaingia sikio la kulia kinatokea la kushoto nkawa naona kama ananipigia kelele. Nilikuja kumuelewa baadae sana tena kwa maumivu.
 
Ni yule ambaye anaweza kuosha matapishi na uharo wako pale utakapo ugua.
 
Imagine kama baba yako atabahatika kuusoma huu uzi
 
Nyakati zimebadilika sana...

Wakati enzi hizo ndoa ndiyo ilikuwa ndiyo kila kitu kwa mwanamke, leo hii ndoa si lolote wala si chochote kwa wanawake..

Leo hii wanawake wengi wako tayari kuweka maslahi binafsi mbele kuliko miji yao, hawako tayari ku sacrifice chochote cha kwao ili tu ndoa yake idumu.

Wanawake wa sasa hawajui namna ya kutuliza ndoa zao, mwanamke ndiyo kama kipa ndani ya nyumba, asipojua namna ya kuutuliza uwanja basi lazima timu itafungwa tuu..

Vijana wa sasa mnaojiandaa kuingia kwenye ndoa, tegemeeni kabisa mnaoa kizazi cha wanawake ambacho MARRIAGE IS NOT THEIR PRIORITY.
 
Ishini nao kwa akili.

Dada aliwahi kuniambia "mdogo wangu tofauti na sisi dada zako na mama yako, hakuna mwanamke mwingine atakaekuonea huruma"

Sikumuelewa kipindi hicho ndio utiineja umepamba moto kinaingia sikio la kulia kinatokea la kushoto nkawa naona kama ananipigia kelele. Nilikuja kumuelewa baadae sana tena kwa maumivu.
kujifunza kunaambatana na garama, hata mimi nimeweza kujua hivi karibuni.
 
Nyakati zimebadilika sana...

Wakati enzi hizo ndoa ndiyo ilikuwa ndiyo kila kitu kwa mwanamke, leo hii ndoa si lolote wala si chochote kwa wanawake..

Leo hii wanawake wengi wako tayari kuweka maslahi binafsi mbele kuliko miji yao, hawako tayari ku sacrifice chochote cha kwao ili tu ndoa yake idumu.

Wanawake wa sasa hawajui namna ya kutuliza ndoa zao, mwanamke ndiyo kama kipa ndani ya nyumba, asipojua namna ya kuutuliza uwanja basi lazima timu itafungwa tuu..

Vijana wa sasa mnaojiandaa kuingia kwenye ndoa, tegemeeni kabisa mnaoa kizazi cha wanawake ambacho MARRIAGE IS NOT THEIR PRIORITY.
tahadhari kubwa sana kwao vijana
 
Naendelea kujifunza mwanamke ni nini na ninani akiwa sio mama yangu.
Wakati huohuo mama yako ni mwanaume! Wakati huohuo unavyowaza kuhusu mwanamke ndivyo baba yako anavyomuwaza mama yako!

Anamuona kama kituko tu! Ila ameamua kukaa kimya na kunyamaza!Jifunze kuwa na moyo wa kiume! Eti nataka nijue mwanamke ni nani wakati huo mama yako ni.......

Kosa hela maisha yako yote halafu tuone huyo mama yako unayemsifu na kumuona kama siyo mwanamke uone 'jinsi' atakavyokupenda na kukuhurumia!
 
Ni yule ambaye anaweza kuosha matapishi na uharo wako pale utakapo ugua.
hiyo wameisahau hao akina dada, wao wakishaolewa haoooo wameondoka wanashughulikia familia zao, leo wanakwambia wewe kaka usishughulike na yako.

Huyo mke anakuzalia watoto na kuwashughulikia kikamilifu, wewe sifa yako ni lile jina (bin au binti fulani).

Ukiumwa ndiyo full time nurse lakini hapo hana umuhimu kuliko akina dada.

Mbali ya mahitaji mengine mbali mbali ndani ya nyumba.

Hao ni madada roho mbaya wanataka kuendelea kummiliki kaka yao na kufanya fitna tu.

Hata huyo mama anatakiwa kuwa na mipaka na kijana wake wa kiume na siyo kuingilia maamuzi yake na mke wake.
 
Mwanamke ambaye si mama yako yaani yule mkeo ni mwanamke ambaye mmekubaliana kuendesha gurudumu la maisha pamoja ambapo humo ndani mtashirikiana hili na lile kulingana na majukumu ya kila mmoja kwa wakati wake.
Hivyo sasa anaweza kuwa mtu mzuri au mbaya , anaweza pia kubadilika kulingana na wakati/ umri/ na mazingira na hali yoyote itakayohitaji mabadiliko kwa namna yeye ametaka au kutamani.
Hali hiyo pia inaweza kutokea hata kwa mwanaume.
Hivyo basi ni vyema kuishi maisha ya mahusiano na ndoa kwa tahadhali kwakuwa mwenza wako anaweza kukubadilikia muda wowote tu kama atataka kufanya hivyo na wala sio kosa la jinai.
Mwenza wako sio ndugu yako ni mshirika tu.
Kwenye maisha tunajifunza kutokana na yanayotokea na uzoefu.
Mimi mke wangu tulikuwa karibu kiasi kwamba unahisi huyu ikitokea amekufa na mimi nitakufa sitaweza kuhimili kumkosa.lakini leo yupo na mtu mwingine kabisa na maisha yanakwenda hahaahaa.
Nikikumbuka nacheka tu.
Ndio maana saivi nna wanawake 9 na ushee sitaki mazoea kabisa
 
Hivyo basi ni vyema kuishi maisha ya mahusiano na ndoa kwa tahadhali kwakuwa mwenza wako anaweza kukubadilikia muda wowote tu kama atataka kufanya hivyo na wala sio kosa la jinai.
ujumbe muhimu wa kujifunza huu
 
Back
Top Bottom